Uongozi Chuo kikuu kishiriki Muhimbili umewazuia wahitimu wa Kikristo chuoni hapo kufanya mahafali

Kwa hiyo wote wanapinga hili hawajasoma secondary?

Halafu naomba uandike kama msomi huu uandishi wako Facebook hapa siyo mahala pake JF unasomwa na watu wengi unawachanganya.

Au hiyo secondary yako uliyosoma ndiyo mlifundishwa huo uandishi wa SMS.
Uwezo wako ni wa kulike tuu na co kucomments,suala la secondary nimetolea mfano ili kutoa ufafanuzi wa sherehe za kidin katka vyuo,,kama sherehe za kivyama znafanywa na wanavyuo sembuse za kidini,,,uelewa wako mfupi ndo maana huwez elewa nimelenga nn katka comment yangu,,,
 
Usiwe punguani wewe kutetea ujinga toka lini siasa zikafanyika kwenye chuo cha afya halafu mbaya zaidi mnachagua Wakirsto watupu mnataka kumwambia nini Lowassa?
Unaweza kuthibitisha pasina shaka kuwa Lowassa alialikwa kisiasa? Au mapovu tu yanakutoka kwa sababu ya mrengo wako?
Pia unaweza ukathibitisha kuwa mwaliko haukuenda kwa madhehebu mengine?
Maana hizo mahafali zinapofanyika wawe waislam, wasabato n.k huwa wanapewa mwaliko!
Huna hoja wewe ni upumbavu tu umekutawala...
Ukiulizwa hata unachotetea unaishia kutoa povu..eti kwa nini Lowasa, mara siasa! yaani umeshikwa pabaya! Ulitaka wewe au Baba yako ndio apate mwaliko?
Au uliomba kuchangiwa ukakataliwa...
 
Punguani kama wewe unataka nikuthibitishie nini?

Nimekujibu hivi kutokana na post yako ya kipunguani.
 
Uwezo wako ni wa kulike tuu na co kucomments,suala la secondary nimetolea mfano ili kutoa ufafanuzi wa sherehe za kidin katka vyuo,,kama sherehe za kivyama znafanywa na wanavyuo sembuse za kidini,,,uelewa wako mfupi ndo maana huwez elewa nimelenga nn katka comment yangu,,,
Teh teh teh!!

JF kuna vituko huyu naye anakosoa watu wakati hata kuandika mtihani kwake.
 
Punguani kama wewe unataka nikuthibitishie nini?

Nimekujibu hivi kutokana na post yako ya kipunguani.
Kweli kabisa huwezi kuthibitisha Kwa kuwa wewe ni lofa na mpumbavu! Nimekuona boongee la fara...povu tu huna jipya!!
 
Hii ni medical institute sio kanisa wala msikiti...watanzania acheni kuchanganya mamabo ukristo wenu acheni kwenu au makanisani..tunapokuwa shule ni shule siasa na fini wekeni pembeni...nashauri kupiga marufuku shunghuli zote za kidini au kisiasa..kwenye taasisi za umma ...mashule,maofisi,vyuo..hospital n.k
 
Kamanda samahani hebu nitoe tongotongo hapo Lowassa, anaalikwa kama nani kiongozi wa wanafunzi wakirsto hapo chuoni hama? Na kwa nini wamejichaguwa Wakristo watupu?
Maswali ya watu wa dar . back to the point. Kunasheria ya kuruhusu nani aalikwe kwenye nini? We hujui kuwa kuna mashirikisho ya kidini katika vyuo?
 
Maswali ya watu wa dar hayo, mafuta yamezuiwa mshaanza kuchanganyikiwa, back to the point. Kunasheria ya kuruhusu nani aalikwe kwenye nini? We hujui kuwa kuna mashirikisho ya kidini katika vyuo? Ukikosa mafuta tumia hata bamia.
Kwa hiyo bila mafuta unaumia daah!!
 
Kweli kabisa huwezi kuthibitisha Kwa kuwa wewe ni lofa na ********! Nimekuona boongee la fara...povu tu huna jipya!!
Hahahaha kumbe na wewe umemuona huyo ritz ,,yaan haelewi hata anachokicomments,uwezo wake ni wa ku like tuu naona analazimisha kucoment,,,achana nae mkuu tatizo elimu elimu elimu,,
 
Hahahaha kumbe na wewe umemuona huyo ritz ,,yaan haelewi hata anachokicomments,uwezo wake ni wa ku like tuu naona analazimisha kucoment,,,achana nae mkuu tatizo elimu elimu elimu,,
Nilimpuuza tokea comment yake ya kwanza mkuu!!
 
Back
Top Bottom