Uongozi Chuo kikuu kishiriki Muhimbili umewazuia wahitimu wa Kikristo chuoni hapo kufanya mahafali

Uongozi wa chuo kikuu kishikiri cha Muhimbili umewazuia wahitimu wa kikristo chuoni hapo kufanya mahafali yao ambayo mgeni rasmi alikuwa Edward Lowassa leo hii. Amri imetolewa muda mfupi kabla ya kuanza sherehe.
Kamanda samahani hebu nitoe tongotongo hapo Lowassa, anaalikwa kama nani kiongozi wa wanafunzi wakirsto hapo chuoni hama? Na kwa nini wamejichaguwa Wakristo watupu?
 
Ningekuwa nina mamlaka hizi graduation zote ningefutilia mbali ukimaliza chuo chapa lapa katafute kazi maisha ya mbwembwe ndio yametufikisha hapa tulipo
 
Back
Top Bottom