Uongozi CHADEMA unaua vipaji vya Wabunge-vijana

Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Inasikitisha kuona jinsi wabunge vijana wa Chadema wanavyonyimwa fursa za kujifunza kutoka kwa wabunge wengine wazoefu kutoka vyama vingine.

Kipindi hiki ndicho muafaka kwa vijana hawa kugema elimu, busara na uzoefu wa wenzao kwa njia ya kubadilishana mawazo. Wenzao kina Zito na Halima walipata fursa hiyo walipoingia bungeni kwa mara ya kwanza. Hata Mbowe na Slaa walipitia mkondo huo huo, ndio maana sasa wanaonekana kubobea katika siasa na bungeni.

Kwa sasa ni vigumu sana kwa wabunge vijana wapya kubadilishana mawazo wazi wazi na wabunge wa CCM, CUF au NCCR. Hii ni kutokana na ukweli kwamba akibainika kufanya hivyo wataitwa msaliti na majina mengine yanayofanana na hilo. Matokeo yake wanaishia kuulizana na kuelimishana wenyewe kwa wenyewe, na kuishia kudanganyana au kurithi mapungufu ya viongozi wao.

Ikumbukwe kuwa vipaji vya vijana hawa ni hazina ya taifa na si ya Chadema. Uongozi wa juu wa Chadema kuendelea kuwatenga, kuwatisha/kuwaogofya wasishirikiane na kupata uzoefu kutoka kwa wabunge wengine ni sawa na kuwamaliza kisiasa.

Aina hii ya uongozi ndiyo imeanza kukimaliza chama kwa sababu haina upeo na haizingatii maslahi ya Taifa.
 
Oyaa wewe si ulianzisha thread umeahama CHADEMA? Sasas hizi ny..g, ny..ge za CHADEMA CHADEMA zinatokea wapi? man up bro, kuna mambo mengi sana ya kushughulika nayo zaidi ya kuzungumzia CDM kila kukicha. After all mambo ya CHADEMA waachie CHADEMA.
 
inategemea na jambolenyewe sio kila kitu, unaweza kujikuta umekalia kaa la moto.sio kila kitu lazima kujifunza kwao,kwani chadema hakuna watu wakuuliza, mpaka wakaulize cuf na tlp au nccr.
 
Inasikitisha kuona jinsi wabunge vijana wa Chadema wanavyonyimwa fursa za kujifunza kutoka kwa wabunge wengine wazoefu kutoka vyama vingine.

Kipindi hiki ndicho muafaka kwa vijana hawa kugema elimu, busara na uzoefu wa wenzao kwa njia ya kubadilishana mawazo. Wenzao kina Zito na Halima walipata fursa hiyo walipoingia bungeni kwa mara ya kwanza. Hata Mbowe na Slaa walipitia mkondo huo huo, ndio maana sasa wanaonekana kubobea katika siasa na bungeni.

Kwa sasa ni vigumu sana kwa wabunge vijana wapya kubadilishana mawazo wazi wazi na wabunge wa CCM, CUF au NCCR. Hii ni kutokana na ukweli kwamba akibainika kufanya hivyo wataitwa msaliti na majina mengine yanayofanana na hilo. Matokeo yake wanaishia kuulizana na kuelimishana wenyewe kwa wenyewe, na kuishia kudanganyana au kurithi mapungufu ya viongozi wao.

Ikumbukwe kuwa vipaji vya vijana hawa ni hazina ya taifa na si ya Chadema. Uongozi wa juu wa Chadema kuendelea kuwatenga, kuwatisha/kuwaogofya wasishirikiane na kupata uzoefu kutoka kwa wabunge wengine ni sawa na kuwamaliza kisiasa.

Aina hii ya uongozi ndiyo imeanza kukimaliza chama kwa sababu haina upeo na haizingatii maslahi ya Taifa.

hahahahaha...............................,hazina lazima ilindwe sio kama unavotaka wewe.
 
Ungeanza kuwasikitikia wabunge wa CCM ambao hata mdahalo tu wa kujieleza watakavyotumikia wananchi walikatazwa!!!
 
Ndugu,baada ya kutafakari sana ndo ukaishia na bandiko hili.Sitaki kuamini kuwa una upeo mdogo kiasi hiki.Siasa sio uadui,kutofautiana misimamo sio maana pia tushindwe kuchangamana na kubadilishana uzoefu na mawazo.Hakuna mbunge wa CHADEMA aliyezuiwa kushirikiana na wabunge wa vyama vingine.Mtazamo na hisia zako sio sahihi mkuu!
 
Inasikitisha kuona jinsi wabunge vijana wa Chadema wanavyonyimwa fursa za kujifunza kutoka kwa wabunge wengine wazoefu kutoka vyama vingine.

Kipindi hiki ndicho muafaka kwa vijana hawa kugema elimu, busara na uzoefu wa wenzao kwa njia ya kubadilishana mawazo. Wenzao kina Zito na Halima walipata fursa hiyo walipoingia bungeni kwa mara ya kwanza. Hata Mbowe na Slaa walipitia mkondo huo huo, ndio maana sasa wanaonekana kubobea katika siasa na bungeni.

Kwa sasa ni vigumu sana kwa wabunge vijana wapya kubadilishana mawazo wazi wazi na wabunge wa CCM, CUF au NCCR. Hii ni kutokana na ukweli kwamba akibainika kufanya hivyo wataitwa msaliti na majina mengine yanayofanana na hilo. Matokeo yake wanaishia kuulizana na kuelimishana wenyewe kwa wenyewe, na kuishia kudanganyana au kurithi mapungufu ya viongozi wao.

Ikumbukwe kuwa vipaji vya vijana hawa ni hazina ya taifa na si ya Chadema. Uongozi wa juu wa Chadema kuendelea kuwatenga, kuwatisha/kuwaogofya wasishirikiane na kupata uzoefu kutoka kwa wabunge wengine ni sawa na kuwamaliza kisiasa.

Aina hii ya uongozi ndiyo imeanza kukimaliza chama kwa sababu haina upeo na haizingatii maslahi ya Taifa.

Umekuwa lakini thread zako hazikui, sasa umeandika maneno mengi halafu hakuna reference ndo nini si bora uende kanisani ukaimbe kwaya leo j-pili
 
Inasikitisha kuona jinsi wabunge vijana wa Chadema wanavyonyimwa fursa za kujifunza kutoka kwa wabunge wengine wazoefu kutoka vyama vingine.

Kipindi hiki ndicho muafaka kwa vijana hawa kugema elimu, busara na uzoefu wa wenzao kwa njia ya kubadilishana mawazo. Wenzao kina Zito na Halima walipata fursa hiyo walipoingia bungeni kwa mara ya kwanza. Hata Mbowe na Slaa walipitia mkondo huo huo, ndio maana sasa wanaonekana kubobea katika siasa na bungeni.

Kwa sasa ni vigumu sana kwa wabunge vijana wapya kubadilishana mawazo wazi wazi na wabunge wa CCM, CUF au NCCR. Hii ni kutokana na ukweli kwamba akibainika kufanya hivyo wataitwa msaliti na majina mengine yanayofanana na hilo. Matokeo yake wanaishia kuulizana na kuelimishana wenyewe kwa wenyewe, na kuishia kudanganyana au kurithi mapungufu ya viongozi wao.

Ikumbukwe kuwa vipaji vya vijana hawa ni hazina ya taifa na si ya Chadema. Uongozi wa juu wa Chadema kuendelea kuwatenga, kuwatisha/kuwaogofya wasishirikiane na kupata uzoefu kutoka kwa wabunge wengine ni sawa na kuwamaliza kisiasa.

Aina hii ya uongozi ndiyo imeanza kukimaliza chama kwa sababu haina upeo na haizingatii maslahi ya Taifa.

ni kweli unaua vipaji vya wabunge vijana mbumbu wa ccm vitakuwa havionekani bungeni mbele ya vijana wa makini
wa chadema, au nimekuelewa vibaya
 
Nataribu kutafakari lengo lako ni nini hasa kupost hii thread, mpaka kufikia kufanya uamuzi wa kugombea ubunge ni wazi kuwa unautashi wa kutosha, na mpaka jamii kukupigia kura za kuwawakilisha ni wazi kuwa jamii ina imani kubwa na wewe.

Uzoefu wa vijana hawa ni mkubwa sana, ukiruhusu tukuambie! Wameweza kujifunza kutoka kwa wabunge waliopo na waliowashinda kwa muda mrefu. Sizani kama wanahitaji uzoefu zaidi ya huo. Kanuni na sheria za bunge wamekabidhiwa na sinafahamika, kwa hiyo waachane watekeleze wajibu wao.

Siwashauri hata kidogo wafate ushauri wako, mosi watafundisha HOFU, UFISADI na mambo ambayo yataturudisha tusipopataka. Let the old learn from the young and new MPs, that is what I will conclude.:embarrassed:
 
Inakuwaje watuwazima unawafanya wajinga kiasi hiki? hivi ninani aliye toa tamko la kuwazuia wabunge wa vyama vingine wasiongee na wa bunge wa CDM? mbona mnazua mambo au ndio ndoto zenyewe halafu mnaandika thread........
 
Oyaa wewe si ulianzisha thread umeahama CHADEMA? Sasas hizi ny..g, ny..ge za CHADEMA CHADEMA zinatokea wapi? man up bro, kuna mambo mengi sana ya kushughulika nayo zaidi ya kuzungumzia CDM kila kukicha. After all mambo ya CHADEMA waachie CHADEMA.

Naondoka nikiwa na uchungu na yanayoendelea kutokea.
Pia nahisi bado nina haki ya kutoa mawazo yangu manake pamoja na mapungufu yake, Chadema ni ya Watanzania.
 
Bora uondoke maana suala siyo watu hawakubali mawazo yako bali umeshindwa kuthibithisha ukweli wa unachosema labda tukuelewe kuwa una agenda yako nyingine
 
Naondoka nikiwa na uchungu na yanayoendelea kutokea.
Pia nahisi bado nina haki ya kutoa mawazo yangu manake pamoja na mapungufu yake, Chadema ni ya Watanzania.
Yawatanzania ila si wajinga kama wewe! peleka upuuzi wako huko.
wa zungumza mpasuko ndani ya ccm Msaidie mwenyekiti kuokoa ccm huku kwingine unaharibu tuu!
 
sasa kwa mfano pale CCM utamuomba ushauri nan?wote wezi labda uende kwa magufuli,mwakiembe na Anne kilango mallecela kidogo ntakuelewa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom