Uongozi BAWACHA: Suzan Kiwanga ajitosa rasmi kuwania Uenyekiti wa BAWACHA Taifa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,495
215,350
Wakuu wakati Taifa letu likiwa tulivu kabisa baada ya wananchi kuombwa wawe na mshikamano , basi kule BAWACHA nako mambo yanazidi kusogea kimya kimya .

Mh Suzan Kiwanga mbunge wa zamani wa Mlimba aliyedhulumiwa hata kutetea tena ubunge wake kwa sababu ambazo hata Tume ya Uchaguzi haizifahamu , leo amerejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa BAWACHA baada ya Halima Mdee aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa kuvuliwa uanachama kwa tuhuma za usaliti

Tunamtakia kila la heri .

Pia soma >
Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom