Uongozi BAWACHA: Suzan Kiwanga ajitosa rasmi kuwania Uenyekiti wa BAWACHA Taifa

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,753
2,000
Unaamini bila Lowasa 2015 chadema isingepata idadi ya wabunge na madiwani iliopata? Mimi naamini ubora wa chama wa wakati ule ndio uliomvuta na kumshawishi kununua nafasi ya kugombea urais.
Magufuli was too strong.... Slaa was a no match.

They badly needed cash and slaa couldn't provide that

CHADEMA ilihitaji allies wote ili kupiga final blow kwa CCM kuanzia CUF mpka Ex CCM members.

Walihitaji kura za vyama vyote na bila shaka Lowassa aliconsolidate kura za pande zote mbili.

Then kununua kiti.... Big No.... Kila mtu alimhitaji mwenzie kusema alinunua it's an understatement really. Hvi kwa mtandao wa Lowassa alihitaji kununua kiti?

NB: Tukiwa wakweli Magufuli alikua na track record nzuri ya uwaziri na walau alikua msafi kuliko wenzake. So ilihitajika kampeni ya nguvu haswaa ili kuzima ushawishi wake and tbh Lowassa provides that kiasi akafikia stage anazomewa.
Whatever the repercussions ila risk ya 2015 was worth taking.
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,236

Nashukuru walao umekuwa mkweli; lakini hapo nilipo"bold" naomba tukubaliane kutokubaliana.
 
PhD PM

Senior Member
Apr 29, 2019
112
250
CHADEMA wanataka kurudia makosa ya Lipumba na Hayati Maalim Seif. Kuchagua viongozi wa ku kaimu! Badala ya kuitisha Mkutano Mkuu wa Dharura wa BAWACHA na kuunda uongozi wa Kudumu. Unless otherwise itakuwa wale Covid-19 ni Mademu wa Viongozi wakuu CHADEMA! Wana vuta muda wawarudishe tena kwa mlango wa nyuma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom