Bonson
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 183
- 147
Uongozi wa ATC,
Kwanini mnataka kudhoofisha nia ya Mheshimiwa Rais wetu ya kufufua shirika letu la Ndege? Watu wenu kwenye ofisi hawana lugha ya kuongea vizuri na wateja. Customer service yenu ni ya hovyo kweli kweli. Labda niwakumbushe kwamba hata kama mtaletewa hizo Airbus na Boeing, kama huduma kwa wateja isipobadilika basi ATC itakufa tena.
Badilikeni jamani.
Mungu ibariki Tanzania.