Leo wakati anahojiwa clouds kasema analaani vikali vitendo vya wanahabari kupigwa pale Vina hotel, na wale vijana hakuwatuma. Wakati juzi msemaji wake Kambaya alisema ni vijana wao huwa wanafanya doria....... tutaona mengi mwaka huu.
Amemsifu Jecha Kufuta Matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar mimi nafikiri wakati Umefika wa Kuwasifu hawa FFU waliomtupa nyuma ya Land Rover!
Nilia Machozi yangu Bure wakati Ule kwa Kukasirikia Uonevu uliofanywa Kwa Lipumba, Lakini ikitokea tena Kama hivi Nitanunua Popcorn Nivute kiti niangalie Movie!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.