Uongo upi unaoukumbuka uliambiwa wakati ukiwa mdogo na ulijua ni ukweli

umenikumbusha wakati nipo o-level tulikua na imani mwaka ambao unaoishia na namba zisizogawanyika mfano 1,3,5,7 pepa huwa ngumu sana tofauti na mwaka unaoishia na namba zinazogawanyika km 2,4,6 pepa huwa nyanya
Hahahaha itikadi zingine za kipumbavu sana ...

Na ile ya kutupa jina ukilitoa

Ila mm nlkuaga siamini
Nilijitambua mapema sana
 
Kuna askari CID mmoja alikuwa akipita kijijini kweti na pikipiki mara kwa mara,nikaambiwa huyo ndo Willy Gamba,,ha ha ha,kila nikimuona nilikuwa namchuinguza kweli kweli nikiamini eti ndo willy gamba.....baadae nimekua na about 12 years ndo nagundua kumbe siye
 
Nakumbuka nikiwa darasa la tano
Mwalimu wa sayansi alikuwa anafundisha Mfumo wa Uzazi
Baada ya kipindi kuisha akauliza kuna mtu ambaye hajui sehem zake za siri humu nimuoneshe
Basi hakuna aliyejitokeza
Ticha alivosepa
Rafiki angu akaniuliza mbona hujanyoosha au unazijua
Nikamwambia ndio
Akasema nioneshe
Nkamuonesha mbavuni ( Ubavu wa kushoto na kulia )
Na yy akaamini
Kumbe alikuwa punga tu kama mm
Bibi yangu ndio aliniambiaga hivyo
 
Kuna mmasai alikuwa anamiliki bunduki,sasa wamasai huwa ni watu wenye siri sana.Waligombana huko porini yule Masai kachukua bunduki masihara tu risasi ikamaparasa usoni,SASa wakayamaliza huko porini mtihani umekuja kwenye kutibiwa lazima utoe taarifa either police au kokote ambako unaweza pataPF3,Sasa yule Masai akaenda hospital ndipo wakamkatalia kumtibu mpka atoe taarifa police,kweli wakafanya hivyo,SSA kule wataeleza vipi police????Ndipo walipotunga uongo"WAKAWAELEZA POLICE KWAMBA ALITOKEA NYOKA MKUBWA SANA,NDIO MIMI NIKAENDA KUCHUKUA BUNDUKI YA MJOMBA ILI KUMPIGA,GHAFLA SISASI IKAGOMA KUTOKA NDIO NIKACHOKONYOA NA MTI KWENYE TUNDU LA BUNDUKI NDIO KUTOKA IMENIKOSAKOSA"ni uongo wa kiwqngo cha juuu
 
Tuliambiwa miti huwa inaongea yenyewe kwa yenyewe kwan kuna mzee alishawahi kuta miti inaongea Ila sauti yao ni ya chini sana na sauti ya haiyundi herufi,mpka Leo namfikiria yule mzeee "ALITUCHUKULIAJE KIPINDI KILE"
 
Uking'oa jino ukamchekea jogoo halioti, wakat wa kula naambiwa kula twende gari linakuja ha ha ha, ukimg'ata mwenzio akapaka kinyesi cha kuku pale ameng'twa, aliemng'ata ataoza meno yote
 
Kuna askari CID mmoja alikuwa akipita kijijini kweti na pikipiki mara kwa mara,nikaambiwa huyo ndo Willy Gamba,,ha ha ha,kila nikimuona nilikuwa namchuinguza kweli kweli nikiamini eti ndo willy gamba.....baadae nimekua na about 12 years ndo nagundua kumbe siye
ha ha ha
 
Nakumbuka nikiwa darasa la tano
Mwalimu wa sayansi alikuwa anafundisha Mfumo wa Uzazi
Baada ya kipindi kuisha akauliza kuna mtu ambaye hajui sehem zake za siri humu nimuoneshe
Basi hakuna aliyejitokeza
Ticha alivosepa
Rafiki angu akaniuliza mbona hujanyoosha au unazijua
Nikamwambia ndio
Akasema nioneshe
Nkamuonesha mbavuni ( Ubavu wa kushoto na kulia )
Na yy akaamini
Kumbe alikuwa punga tu kama mm
Bibi yangu ndio aliniambiaga hivyo
dah u kill it mkuu
 
Sijajua,kwanni walikuwa wanatuongopea sana zamani na ndio maana tumekuwa wajinga badala ya kutuelimisha wao wanatuongopea ili kuendeleza ujinga
 
Kuna mmasai alikuwa anamiliki bunduki,sasa wamasai huwa ni watu wenye siri sana.Waligombana huko porini yule Masai kachukua bunduki masihara tu risasi ikamaparasa usoni,SASa wakayamaliza huko porini mtihani umekuja kwenye kutibiwa lazima utoe taarifa either police au kokote ambako unaweza pataPF3,Sasa yule Masai akaenda hospital ndipo wakamkatalia kumtibu mpka atoe taarifa police,kweli wakafanya hivyo,SSA kule wataeleza vipi police????Ndipo walipotunga uongo"WAKAWAELEZA POLICE KWAMBA ALITOKEA NYOKA MKUBWA SANA,NDIO MIMI NIKAENDA KUCHUKUA BUNDUKI YA MJOMBA ILI KUMPIGA,GHAFLA SISASI IKAGOMA KUTOKA NDIO NIKACHOKONYOA NA MTI KWENYE TUNDU LA BUNDUKI NDIO KUTOKA IMENIKOSAKOSA"ni uongo wa kiwqngo cha juuu
duu askari wa wapi hao walikua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom