Uongo mwingine hataa haufai

Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,838
1,266
UONGO MWINGINNE HATA HUFAI!
jamaa:unasoma?
demu:sisomi,vipi wewe unasoma?
jamaa:ndio nipo kidato cha nne roleto.
demu:jamani hiyo si ni shule ya wasichana?
jamaa:aaah nimechanganya nipo ngaza
demu:mweeembona nayo ya wasichana
jamaa:ha! ha! ha! nilikuwa nakutania tu nachukua masters VETA.
demu:mh ina maana VETA imeanza kutoa masters?
jamaa:ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini unaniuliza maswali kama tuko uhamiaji?
KWA TAARIFA NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE
[/SIZE]
 
Hii kitu umetunga mwenyewe.
 
Unaposema uongo kuwa makini.
kuna jamaa m1 aliwadanganya wa2 kuwa yy ni baharia na ameshawahi kutembelea nchi nyingi km Italy, England, Afrika yote, Marekani, akaambiwa basi utakuwa unaijua sana Geography? akajibu,aaaa! pale Geography tulikaa wiki 2 lkn ckupata kutembea nilikua naumwa
 
huyo jamaaa ni walewale wanaoandka sound kwenye karitas kisha anaisoma kabla ya kumtokea demu
 
Unaposema uongo kuwa makini.
kuna jamaa m1 aliwadanganya wa2 kuwa yy ni baharia na ameshawahi kutembelea nchi nyingi km Italy, England, Afrika yote, Marekani, akaambiwa basi utakuwa unaijua sana Geography? akajibu,aaaa! pale Geography tulikaa wiki 2 lkn ckupata kutembea nilikua naumwa

mkuu, nimegonga like
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom