T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,516
Pia mpende adui yakoWaislamu wakipata kazi mahali wakionekanaonekana japo ni wengi wengi kidogo hata kama Over all majority bado sisi Wakiristo ni wengi zaidi kuna Wakiristo wenzetu huanza kuona nongwa, hii sijui kwa nini!. Maneno ya humu JF kuwa eti waislamu walijazana mahali fulani ni ushahidi wa hili ninalolisema!
Hivi leo hii hizi teuzi zinazofanyika nchini ambapo Majority ni Wakiristo wanateliuwa kila teuzi laiti ingekuwa reversed na waislamu wakawa ndio wenye kuteuliwa kwa wingi zaidi humu JF zingejaa mada za kulia udini udini
Mimi huwa siwaelewi kabisa Wakiristo wenzangu kwa kuleta madai ya udini pindi waislamu wakiwa angalau wengiwengi katika taasisi fulani
Yesu Kristo wa Nazareti hakutufundisha hivi, alitufundisha mpende Jirani yako!
Kwahiyo la uadui halipingiki ila tuwapende