safi kabisa*KADHIA MSIKITI UDOM YATUA IKULU*
Mheshimiwa Raisi John Magufuli amesema anatambua katika maeneo ya Vyuo Vikuu panastahili kujengwa Msikiti na Kanisa ili kusaidia kuwajenga kiimani wanafunzi wanaosoma katika vyuo hivyo.
Kauli hiyo imekata mzizi wa fitna ulioibua sintofahamu hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kufuatia uongozi wa Chuo hicho kusambaratisha harakati za ujenzi wa Msikiti uliokuwa unaendelea kujengwa chuoni hapo. Raisi Magufuli ametoa kauli hiyo katika Mkutano wake na Viongozi wa dini uliofanyika Jumatano wiki hii Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Awali katika Mkutano huo, Amir wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Sheikh Mussa Kundecha na Kaimu Katibu Mkuu wa Bakwata, Ustadhi Nuhu Mruma, kwa nyakati tofauti walimuomba Mheshimiwa Rais Magufuli kulitupia macho suala la Msikiti wa UDOM na kulipatia ufumbuzi.
"Naomba niliseme hili mbele yako Mhe.Rais. ambalo unaweza kulifanyia kazi. Wiki moja iliyopita tumejiwa na ndugu zetu waislamu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, wakilalamika kubomolewa uzio uliozungushiwa kwaajili ya ujenzi wa Msikiti." Alisema Sheikh Kundecha.
Sheikh Kundecha aliishukuru Serikali kwa kuona umuhimu wa kutenga maeneo kwa ajili ya nyumba za ibada katika Chuo hicho kwa Waislamu na Wakristo, kwani ni jambo muhimu katika kuwajenga wananchi wake. Alisema katika hatua hiyo wapo walioanza kutekeleza jambo hilo kwa kuendeleza eneo la ibada, hata hivyo akasema inawezekana utendaji haukuwa mzuri kiasi kwamba Uongozi wa Chuo umesitisha uendelezaji wa maeneo hayo ya ibada. "Mimi niliamini kusitisha huko ujenzi huo kungekuwa katika muelekeo wa kutafuta namna nzuri ya kuliweka suala hilo katika utaratibu mzuri na si kufuta au kusitisha uwepo wa nyumba za ibada chuoni hapo"
Lakini usitishaji huo umekwenda mbali zaidi kwa uongozi kuingiza tingatinga kwenda kuvunja Msikiti na sisi pesa zetu ni za sadaka kwa kuchangishana, Waislamu wamejitolea wakiamini wanampa Mungu, kisha wanaona 'greda' linaingia na kubomoa. Alifafanua zaidi Sheikh Kundecha.
Ustadh Mruma yeye alitanabahisha kuwa migogoro kama hiyo inapotokea ni bora ikatafutiwa ufumbuzi unaokubalika kwa pande zote na kwamba viongozi wa kiimani hutiiwa zaidi na waumini wao na kupokea maagizo kwa jambo ambalo linagusa imani zao.
Alisema mwaka 2016 Mufti Abubakari Zubeir alitembelea Chuoni hapo na kuonyeshwa eneo hilo ambalo lilitengwa kwaajili ya kujengwa Msikiti na akatoa baraka zake na utaratibu ulikuwa ukiendelea.
"Lakini Mh. Rais (Magufuli) kwa bahati mbaya sasa ilitokea sintofahamu ambayo hadi sasa hatujapata maelezo ya kina yaliyopelekea kusambaratisha harakati za ujenzi huo, sasa hali hiyo imeleta tafrani kubwa." Alisema Ustadh Mruma. Alisema, suala hilo pia limefikishwa BAKWATA, lakini wao kama walinda amani wasio kuwa na silaha, wamelituliza ili wapite katika njia sahihi na kulitatua katika njia ambayo inafaa kwa amani ya nchi. Mara baada ya viongozi wa dini kumaliza kutoa maoni yao, Mheshimiwa Rais Magufuli alianza kujibu baadhi ya hoja za viongozi wa dini na nyingine kuahidi kuzichukua na kwenda kuzishughulikia.
Akijibu kadhia ya Msikiti UDOM, Rais Dkt. Magufuli, alisema kwa utaratibu na mwendo unaotumika katika Vyuo vingine kuhusu nyumba za kuabudia (Msikiti na Kanisa) utakuwa kama ule wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Raisi Magufuli alitoa mfano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kwamba ndio huo huo utatumika katika Chuo Kikuu cha Dodoma.
"Lakini natambua pia kwamba katika maeneo ya vyuo vikuu panahitaji kujengwa mahali pakuabudia, panastahili kujengwa kanisa ambapo watu wote wenye imani zao watakuwa wanaingia humo kwa utaratibu maalum na pajengwe Msikiti pia ambao nao utatumika kwa utaratibu maalum."
"Kwa hiyo hata Dodoma (UDOM) mwendo ule ule wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ndio utaendelea kuwa pale Chuo Kikuu cha Dodoma na haswa kwasababu wanafunzi wanasoma pale lazima tuwajenge kiimani" Alisema Rais Dkt. Magufuli.
Akifafanua zaidi, Rais Dkt. Magufuli, alisema katika vyuo vikuu, kuna Msikiti na Kanisa.
Alisema, hata alipokuwa anasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kuna Msikiti ambao unatumiwa na madhehebu yote ya Kiislamu, wanaswalia kwa pamoja katika Msikiti huo.
Kwa upande wa Kanisa, Rais Dkt. Magufuli alisema madhehebu yote ya Kikristo, pia kuna Chapel (Kanisa) pamoja na tofauti ya madhehebu laikini wanawekeana utaratibu wa zamu za ibada, kwa maana wanaingia Wakatoliki (RC) wakimaliza wanatoka na kuingia dhehebu jingine mpaka madhehebu yote yanamalizika.
"Dodoma tunalishughulikia. 'Spirit (nia na dhamira) ile ile ya Chuo Kikuu (UDSM) ndio itaendelea UDOM". Alimaliza Rais Magufuli.
Umesema yote nilotaka kusema.Mimi ninakaa Dodoma na Udom kila mara nipo kule kwa kiasi tunajua kitu gani kilikuwa kiktendeka wakati wa prof Kikula na prof Mlacha hakuna asiyejua hata Mkuu mwenyewe anajua kwamba kulikuwa na Udini ulio vuka mipaka.
Kama Waislamu wakitaka kujenga msikiti chuoni tena chuo cha Umma na Dini singine zikidai kujenga makanisa na mahekalu kuktakuwa kuna kusoma au kutangaza dini na madua.
Mbona chuo Kikuu cha st john hakuna msikiti na waislamu wamepewa sehemu nzuri tu ya kufanyia dua.
Mbona CBE hakuna msikiti wala makanisa na kila kitu kinakwenda vizuri bila shida.
Vyuo vyote dodoma havina misikiti wala makanisa isipokuwa chuo kikuu cha st johns na wao hilo kanisa lilikuwepo toka enzi za mkoloni kwa maana chuo hiko ilikuwa shule ya kanisa la Anglikani miaka za 1940 na baadaye kutaifishwa na kuwa shule ya sekondari mazengo na baadaye tena kurudishwa kanisa la Anglikani kwa St John university.
Haya yanayotokea UDOM ni dhambi ya prof Kikula na Prof Mlacha kuendeleza Uislamu katika Chuo hicho kikubwa Afrika mashariki na kati.
Narudia kusema Wailamu wengi walioajiriwa Udom waliajiliwa kimkakati wa kuwainua na kuwaendeleza Waislamu.
Sina uhakika lakini yalisemwa hapo Udom kwamba kuna fist lady mmoja naye anahusika sana na kupandikiza kwa makusudi/kimkakati Uislamu hapo Udom.
Ombi kwa serikali ni kuchuja na kufuatilia kikamilifu mienendo ya chuo kikuu cha Dodoma wakati wa prof kikula na Prof Mlacha (walikuwa ni zaidi ya Miungu watu Hapo chuoni kwa maana prof Mlacha alikuwa Mkuu wa Administration na Fedha na Kikula alikuwa ni Mkuu msaidizi wa chuo juu yake akiwepo Mh Mkapa).
Prof Mlacha ni Mpare. Wapare ni kabila dogo hapa nchini lipo kwenye wilaya moja tu. Lakini chunguza waajiriwa wapare hapo UDOM ndio utashangaa.
Sina chuki na mtu Ila ninachukia sana Ukabila na Udini unawafanya makabila na dini zingine kuwa wanyonge sana katika nchi yao.
Watu wanasali mara tano zote na zote wenzao wasisomeshwe wawasubiriHatushangai. Tunajua, baada ya dunia kuondoa ukomunist, kinachofuata kuondolewa na uislamu. Sishangai.
Nenda maofisi mengi ya umma, mikristo imejimilikisha. Nenda kwenye ufisadi, wakiristo mnangoza.
Watoto wetu shule za msingi na secondary, hawapewi haki zao za kujistiri na kufanya ibada. Wanaovaa mihijabu, huvuliwa. Wakienda kusali ijumaa, wenzao husomeswa. Hii ni kinyume na maagizo na miongozo ya serikali
Mnapoteza muda mwingi kupambana na mlichokaririshwa.
Hakuna muislamu anayeogopa, mitihani na chuki za kidunia.
Pambaneni ila hamtoshinda
Sent using Jamii Forums mobile app
tabia fulani ya ushenzi.
Haizidi dk tano kila sala, ni sawa na wewe kwenda the next room kupiga soga.Watu wanasali mara tano zote na zote wenzao wasisomeshwe wawasubiri
Duh
Mpaka madam mmoja alianzisha ... Kwa wadadaUdom enzi zile kulikuwa na Utawala wa Kiislam mpaka kero. Namkumbuka yule mama Deputy Dean alikuwa mlemavu wa ngozi alikuwa mnoko kishenzi sijui bado yupo. Ujumlishe Prof Mlacha anakuambia Umenizid urefu na ujinga nakuzidi kila kitu mpaka mademu zako naku***a.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mohammed hakujua kusoma wala kuandikaMohammed hajui kusoma wala kuandika
Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Hawa jamaa wameumbwa kuchochea machafuko na vuruguTatizo lenu hua mnaleta ubaguzi wa hovyo sana, kujitenga na kutengeneza ka_ uadui ka kijinga. Mimi naunga mkono kubomoa na ningekua karibu hapo ningeshiriki zoezi kikamilifu kabisa. Mkitaka kuswali nendeni sijui mnapaita Makulu au mjini. Shenzy kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 59 mpk leoAngalia sensa ya muingereza ya mwaka 1959, sensa ya wabongo waligomea kipengele cha dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu hua mnaleta ubaguzi wa hovyo sana, kujitenga na kutengeneza ka_ uadui ka kijinga. Mimi naunga mkono kubomoa na ningekua karibu hapo ningeshiriki zoezi kikamilifu kabisa. Mkitaka kuswali nendeni sijui mnapaita Makulu au mjini. Shenzy kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninakaa Dodoma na Udom kila mara nipo kule kwa kiasi tunajua kitu gani kilikuwa kiktendeka wakati wa prof Kikula na prof Mlacha hakuna asiyejua hata Mkuu mwenyewe anajua kwamba kulikuwa na Udini ulio vuka mipaka.