Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

Unabisha Muhammad hakuuwa wayahudi 700-800 nikupe ushahidi?

katika vita vya Crusades na vita vya inquisition vilivyoendeshwa na KANISA, unajua viliua watu wangapi??. Soma kwanza history yenu ndipo uvuke mipaka kuangalia historia ya wengine.

Vita vyote alivyopigana mtume (saw) vilikuwa ni vita vya kujilinda (self defensive war), yeye hakufuata mafundisho ya "ukipigwa kofi shavu la kushoto geuza na la kulia uzabwe pia"--- nonsense.🤣🤣
 
Masikini hata koran

Kweli sijui, cha ajabu wewe unayeijua hata kuandika jina lake umeshindwa!! QUR'AN (القران). 🤣🤣mimi ninaijua Bibilia, na Yesu alisema ; Sio vyema Kuwatupia MBWA chakula cha watoto.

(Mathew 15:26).🤣🤣
 
Wewe mbona unatoa maneno ua Uongo hivyo??,
Yapi?

Qur'an inapinga zinaa kabisa sasa iweje Mtume Muhammad (saw) aunge mkono utumwa wa ngono (sex slavery) ??,
Swali zuri sana.
Muhammad alikuwa na wanawake na watoto wa Banu Quraidha (Jewish) aliwauza utumwani baada ya kuwauwa wanaume wao wapatao 900
(USWA HASSANA)

Mtume alikuja kuondoa uovu wa aina zote katika jamii na ndiyo maana watu wanapokuwa civilised huitwa Wastaarabu, neno "--- staarabu" maana yake kuwa kama muarabu, waarabu waliokuwa Wamesilimu na wameshika mafundisho ya Qur'an.
Ameondowaje uovu wote wakati kitabu chake kinatamka waziwazi muwauwe Wakristo na Wayahudi?
Mtu akijitoa kwenye hiyo dini mumkate kichwa, Muhammad na allah wake wanachukia muziki, wazinifu wapigwe mawe hadi wafe, watu wasiomwamini are worse than cattle hii ndio kuondoa uovu?

Hayo yote anayotapika dhidi ya Uislamu sio ya kweli, lakini inawezekana watu wabaya wakatumia jina la uislamu kutekekeza maovu kwa ajili ya nafsi zao kama jinsi baadhi ya wakristo wa Magharibi wanavyotetea Ushoga kwa kunukuu vifungu vya ijnjili (maneno ya yesu).
Huwezi kuitetea dini yako bila kuuingiza Ukristo?

Katika Qur'an Mungu anamwambia Mtume (saw) kwamba; And indeed you are of a great moral character (68:4).
o9:13 when (during a jihad) a child or a woman is taken captive, they become slaves by the fact of capture, and the woman's previous marriage is immediately annulled.

Ninazo nyingi hizi aya nitakupa taratibu

Wewe umenukuu nukuu za Uongo na unasema ni kutoka katika Qur'an eti, Al bujhaari 6922 !!!😯😯,
Wewe ni muislamu kweli?
Al-bukhaari 6922 inasemaje kama kweli wewe muislamu?

wewe umevuta bangi ndipo ukaja kuandika hayo matapishi yako,
Ndivyo mlivyofunzwa madrasa kutetea dini yenu?

pia unashikilia kuwa uislamu umeleta "sex slaves", je wewe ulikumbwa na sex slavery kutoka kwa waislamu?? au kuna ndugu yako aliyekumbwa na hiyo slavery kutoka kwa waislamu??!!.
Naam mpaka allah ametoa njia za kuwafanyia watumwa wa ngono wakike na kiume yapi na yapi.

Surah al- manimun (23:6)
Surah al maarij (70:30)

Kinyume chake tunaona Sex slavery ipo kwa Wakristo, eti utaona masista wasiokuwa na waume na mapadri wasiokuwa na wake wakifanya kazi ya "DINI" 🤣🤣🤣, hiyo siyo sex slavery in action? ?? 🤣🤣.
Tetea hili usiruke ruke kama chura itetee dini yako
Muhammad alikuwa na wanawake wangapi na kwa ajili gani unafahamu kama sio umalaya?

Usijifiche kwenye kivuli cha Ukristo nina elimu pana sana ya uislamu haujui tu
 
katika vita vya Crusades na vita vya inquisition vilivyoendeshwa na KANISA, unajua viliua watu wangapi??. Soma kwanza history yenu ndipo uvuke mipaka kuangalia historia ya wengine.

Vita vyote alivyopigana mtume (saw) vilikuwa ni vita vya kujilinda (self defensive war), yeye hakufuata mafundisho ya "ukipigwa kofi shavu la kushoto geuza na la kulia uzabwe pia"--- nonsense.🤣🤣
Ndivyo ulivyofunzwa madrasa kwamba dini yako ikikosolewa jibu kwa kukosoa kwanza upande wa mkosoaji?

Haoa tunazungumzia sexy slavery ya allah na Muhammad ukitaka tujadili ya Ukristo sema tubadili mada a tujikite huko tu sio kutanga tanga
 
Kweli sijui, cha ajabu wewe unayeijua hata kuandika jina lake umeshindwa!! QUR'AN (القران). 🤣🤣mimi ninaijua Bibilia, na Yesu alisema ; Sio vyema Kuwatupia MBWA chakula cha watoto.

(Mathew 15:26).🤣🤣
Sheikh ubwabwa shida nini umeshindwa kuliweka sawa suala la watumwa wa ngono kwa mujibu wa allah na Muhammad?
 
It is fact that most of the people these days have been brainwashed to extreme hate of Islam and Muslims.

Hata ukijaribu kuwaelewesha vipi huwezi fanikiwa.

And why have they succeeded so well, it's because these lies that they plant or people's minds serves both those people and the haters well.

Islam don't want people to walk naked, they say Islam oppresses women, Islam has zero tolerance for gays, they want just want to marry each other regardless of their sex.

It's crazy, leave them with their ignorance!!!

Last time I saw a thread here , someone made a list of most influential people in history and put jesus as the first, being Muslim I don't mind at all. But the fact is the whole world knows it is Mohammed(saw) and it was not even Muslims who made the list, it was Western, white, Caucasian, Christian men that made the list.

Ironically in Tanzania, jesus is number one of the list!!!

Wewe "Shehe Ugali" wa kikristo jadili kwanza juu ya watumwa wenu wa ngono mnaowaita MASISTA (masista duu) waliopo huko makanisani wasiokuwa na waume. Eti mnawaita watawa na hapo hapo Mapadri wasio kuwa na wake nao mnawaita watawa!!??🤣🤣--- nonsense, that is a typical, purely legalising the sex slavery in the name of religion.

"Ondoa boriti jichoni mwako ndipo uweze kuona kibanzi katika jicho la mwenzako."

Wewe unashikilia sex slavery, je umepatwa katika maisha yako kufanywa sex slave na waislamu hadi ushikilie huo ujinga wako kwamba waislamu wana entertain hicho kitu??!!- nauliza hivyo kwakuwa wewe nakuona ni mwanamke katika hiyo Avatar yako (ID) 🤣🤣
 
MSIKITI WAVUNJWA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM), WAISLAM KUMI NA MOJA (11) WANATAALUMA NA WAENDESHAJI CHUO KIKUU CHA DODOMA WAHAMISHWA (Prof. Petter Msoffe) asimamia kikamilifu zoezi hilo

Tumepokea kwa Masikitiko makubwa sana uhamisho wa watumishi waislamu Chuo Kikuu cha Dodoma uliofanyika ijumaa tarehe 11 January, 2019. Uhamisho huo umefuatia baada ya Amri ya Prof. Msofe DVC ARC (Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma) na Acting VC kuvunja Msikiti uliokuwa unajengwa Chuoni hapo.

Viongozi wote waliokuwa waislam Udom wakiwemo ma Lecturers, Administrative Staffs, Lawyers na Directors wamehamishiwa taasisi zingine za umma.

Harakati hizi za kuondoa waislamu hawa zilishika hatamu mara baada ya kifo cha Prof. Edig Beautus Mobofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo kufariki dunia mnamo tarehe 18 Desemba, 2018. Huku jamii ya UDOM ikishutumu kuwa waislamu wamemloga Prof. Mobofu kwasababu ya kusimamisha ujenzi wa MSIKITI hali ya kuwa vipimo vya hospitali vilionyesha kaagua ugonjwa wa kiharusi.

Kufuatia sintofaham hizo mnamo tarehe 9 Januari , 2019 Siku ya. Jumatano, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo aliyeshika nafasi ya Prof. Mobofu naye ni Prof. Peter Msoffe (DVC - ARC) na Acting VC alitoa amri ya kuvunja Msikiti huo kwa madai kuwa kapokea amri hiyo kutoka juu na kisha watumishi hao waislamu kumi na moja kuhamishwa (11). Tunajiuliza amri hiyo iliyotoka juu imetoka juu kwa nani?

Hatuna shaka na kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli na hatujui kama Mh. Rais anajua hili linaloendelea katika taasis mbalimbali za umma hususani UDOM. Tunamuomba Mh. Rais alitazame hili ktk sura ya kipekee kwani kuachia haya yaliyofanyika yaendelee ni kuleta uhasama na chuki ktk jamii ya wasomi waliobakia Chuo Kikuu cha Dodoma jambo ambalo linaweza kupelekea migogoro ya kidini mpaka kwa wanafunzi. Hivyo ni vyema na busara uhamisho ukatazamwa kwa jicho la kipekee na kuwarejesha watu hawa kuepuka kupandikiza chuki zisizonatija katika jamii ya wasomi..!!!

--------
Uhamisho UDOM
1. Dr. Mariam Khamisi - UDSM
2. Dr. Yusuph Kambuga - ADEM Bagamoyo
3. Dr. Masoud - DIT
4. Dr. Ibuni Kombo -
5. Khamisi Mkanachi - UDSM
6. Mohammed Mwandege - Arusha Atomic Energy
7. Omar Simba - Wizara ya Ardhi
8. Subira Issa Sawasawa - Wizara mambo ya ndani
9. Wema Mbegu - Wizara ya Ardhi
10. Aziz Gendo - Arusha Technical
11. Dr. Mwinyikondo Ameir - UDSM mbeya branch

Pia soma > Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo
Serikali haina dini kwahiyo badala ya Rais pelekeni malalamiko yenu BAKWATA.
 
Pumbavu zenu, kwani icho ni chuo cha dini? Toa mambo yenu yakulazimisha ujinga mlipewa viwanja na majengo bure na Mkapa alafu mnatetea misikiti mnayojenga hovyohovyo. Ata ao unaowasema wamehamishwa wangepotea tu.
 
Wewe "Shehe Ugali" wa kikristo jadili kwanza juu ya watumwa wenu wa ngono mnaowaita MASISTA (masista duu) waliopo huko makanisani wasiokuwa na waume. Eti mnawaita watawa na hapo hapo Mapadri wasio kuwa na wake nao mnawaita watawa!!??🤣🤣--- nonsense, that is a typical, purely legalising the sex slavery in the name of religion.

"Ondoa boriti jichoni mwako ndipo uweze kuona kibanzi katika jicho la mwenzako."

Wewe unashikilia sex slavery, je umepatwa katika maisha yako kufanywa sex slave na waislamu hadi ushikilie huo ujinga wako kwamba waislamu wana entertain hicho kitu??!!- nauliza hivyo kwakuwa wewe nakuona ni mwanamke katika hiyo Avatar yako (ID) 🤣🤣
Sheikh ubabwa 😂😂 umeshaowa kwanza binti wa miaka sita?
Au ushaowa bibi yako tayari?

Athuman aliyeitengeneza koran mjanja sana hakutaka mumfike umalaya wake
 
Na wewe huwezi kuhubiri ukristo wako bila kuutukana Uislamu??, au ndio mkuki kwa nguruwe??!.
Nina aya kibao za kuthibitisha is x slavery iko allowed na allaah na Muhammad wake nimekupa umeingia mitini.
Sijautukana uislamu wako ni maneno ya allah

Nina elimu kubwa sana ya uislamu naweza hata kukufundisha moja baada ya jingine tukimaliza tuhamie kwenye Bible na huko nikupige T.K.O
 
It is fact that most of the people these days have been brainwashed to extreme hate of Islam and Muslims.

Hata ukijaribu kuwaelewesha vipi huwezi fanikiwa.

And why have they succeeded so well, it's because these lies that they plant or people's minds serves both those people and the haters well.

Islam don't want people to walk naked, they say Islam oppresses women, Islam has zero tolerance for gays, they want just want to marry each other regardless of their sex.

It's crazy, leave them with their ignorance!!!

Last time I saw a thread here , someone made a list of most influential people in history and put jesus as the first, being Muslim I don't mind at all. But the fact is the whole world knows it is Mohammed(saw) and it was not even Muslims who made the list, it was Western, white, Caucasian, Christian men that made the list.

Ironically in Tanzania, jesus is number one of the list!!!

Islam don't want people to walk naked, they say Islam oppresses women, Islam has zero tolerance for gays, they want just want to marry each other regardless of their sex.
Why do you guys try to use silly things as a proof that Islam is the truth?

Islam don't have zero tolerance only for gays but it's totally religious intolerance!
Let me amaze you with this desert religion from deserted arabs!

1. It doesn't tolerate gays but it allows sex slaves.
2. It allows Child sex (muhamad is a good example)
3. It allows killing on Innocents (Muhammad killed 900 jews of the banu quraidha (Jewish)
4.religious intolerance (It describes nonbelievers as worse thab the cattle.
Whoever changes his religion, execute him (al-bukhaari 6922)

5. This religion underrate women, it say women are inferior to men in intelligence.
6. This religion hates creativity! (Allah hates music and arts)
7. Allah legislate that the apostate has to be executed.
8. Adulterer have to be stoned to death.

I know you're experiencing "whay" known as cognitive dissonance put it aside na uitetee dini yako je ni ya Ukandamizaji, vita au kiuwaji?

I am a kid in High school!
 
Yapi?

Swali zuri sana.
Muhammad alikuwa na wanawake na watoto wa Banu Quraidha (Jewish) aliwauza utumwani baada ya kuwauwa wanaume wao wapatao 900
(USWA HASSANA)

Ameondowaje uovu wote wakati kitabu chake kinatamka waziwazi muwauwe Wakristo na Wayahudi?
Mtu akijitoa kwenye hiyo dini mumkate kichwa, Muhammad na allah wake wanachukia muziki, wazinifu wapigwe mawe hadi wafe, watu wasiomwamini are worse than cattle hii ndio kuondoa uovu?

Huwezi kuitetea dini yako bila kuuingiza Ukristo?

o9:13 when (during a jihad) a child or a woman is taken captive, they become slaves by the fact of capture, and the woman's previous marriage is immediately annulled.

Ninazo nyingi hizi aya nitakupa taratibu

Wewe ni muislamu kweli?
Al-bukhaari 6922 inasemaje kama kweli wewe muislamu?

Ndivyo mlivyofunzwa madrasa kutetea dini yenu?

Naam mpaka allah ametoa njia za kuwafanyia watumwa wa ngono wakike na kiume yapi na yapi.

Surah al- manimun (23:6)
Surah al maarij (70:30)

Tetea hili usiruke ruke kama chura itetee dini yako
Muhammad alikuwa na wanawake wangapi na kwa ajili gani unafahamu kama sio umalaya?

Usijifiche kwenye kivuli cha Ukristo nina elimu pana sana ya uislamu haujui tu
Mokaze mvaa vipedo usikimbie hili
 
Mbona ni kawaida kwa nyumba za ibada kuwepo maeneo ya vyuo vikuu. Hapo UDOM inakuwaje? Sitaki kuamini kuwa mchora ramani akumbuke kuweka viwanja vya michezo halafu asahau kuweka msikiti, hadi itokee unajengwa na kuvunjwa
Tatizo lenu hua mnaleta ubaguzi wa hovyo sana, kujitenga na kutengeneza ka_ uadui ka kijinga. Mimi naunga mkono kubomoa na ningekua karibu hapo ningeshiriki zoezi kikamilifu kabisa. Mkitaka kuswali nendeni sijui mnapaita Makulu au mjini. Shenzy kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kikubwa akili ndogo. Ndo uwezo wako wa kufikiri umeishia apo !!!
 
Mokaze mvaa vipedo usikimbie hili

Nikimbie kitu gani wewe mvaa vimini kanisani??!🤣🤣.

Inaonyesha wewe kutukana ni moja ya mafundisho uliyoyapata kutoka kwa mwokozi wako Yesu, na inaanzia pale Yesu alipomwita mama yake mzazi "MWANAMKE" (Yohana 19:26).

Mimi nitanukuu Biblia ili kurudisha akili yako to normal kwamba "nyani haoni kundu lake."

Umenukuu aya za Qur'an 23:6 na 70:30, kuonyesha kwamba Uislamu unashadidia utumwa wa ngono, aya ulizonukuu hapo zinaendana na aya nyingi za Qur'an zinazofafanua juu ya jambo hilo lakini kwakuwa wewe unayochuki binafsi dhidi ya uislamu hapo umejifanya hamnazo kutokuziona kwasababu zitabainisha uongo na upotofu wako wa makusudi.

Sasa nenda kasome aya hizi ambazo kimsingi zinafungamana na hizo aya ulizonukuu:-

24:32, 2:221, 4:25.

Katika aya 24:32, hapo inaelezewa juu ya wafungwa wa kivita wote wanaume kwa wanawake ambao wamekubali kuwa Waislamu hao wanayo haki ya kuoa na kuolewa kwa mujibu wa sheria za ndoa za kiislamu.

Hao waliozungumzwa katika hizo aya ulizonukuu ni ما ملكت أيمانهم (maa malakat 'ayamaanuhum), wale ambao wanamilikiwa na mkono wa kuume, hawa ni mateka wa kivita ambao baadaye wakiwa Waislamu kwa hiyari yao wanahaki ya kuolewa na kuoa.

Sasa angalia hadithi ya mtume (saw) inayozungumzia juu ya msichana anayemilikiwa na mkono wa kuume, hadithi inasema:-

Mtu yeyote anayemmiliki msichana na ampe elimu bora na amlee katika adabu njema na ampe uhuru na halafu amuoe (huyo mtu) atapata thawabu marambili. (Bukhaarii, bab kitabul ilm)., katika hiyo hiyo Bukhaari, kitaabul Bai na Abuu Daawuud, kuna hadithi inayozungumzia juu ya
kumfanya mtu mtumwa nayo inasema:-
Mtu amfanyaye mtu mwingine mtumwa wake huyo anafanya dhambi mbaya mbele ya Mungu na watu., hapo utaona ni jinsi gani Uislamu unavyopinga utumwa, hivyo basi wake watumwa wanaotajwa katika zile aya 23:6 na 70:30 ni mateka wa vita na wanaitwa watumwa kwasababu wanakuwa hawana uhuru kama watu huru nao ni "maa malakat aimaanukum" na wanapokubali kuwa Waisilamu kwa hiyari yao ndipo wanaweza kuoa wakiwa ni wanaume au kuolewa wakiwa ni wasichana au wanawake,aya ya 23:32 inaeleza kwa ufasaha. Na katika kuoa ni mwanamke gani anatakiwa kuolewa hiyo imefafanuliwa katika aya 2:221.

Acha chuki dhidi ya Uislamu bila sababu, kwani Uislamu umekufanya nini??!, au unadhani ulikufanya uwe mtumwa wa ngono??
 
Niletee wakubwa zako huna uwezo wa kubishana nami kwa kutumia koran.

Niletee unaowaamini wana elimu nzuri na pana ya koran si wewe
 
Hiyo ndiyo shida ya waswahili, kwani hapa tunabishana??!, , Kama kwangu umeshindwa je hao wakubwa zangu utawaweza??.

Wewe umepofushwa na chuki dhidi ya Uisilamu, mahala pa kutumia logic ili ujue ukweli wewe unapandikiza chuki.

Na Mimi pia nilitaka kukuonyesha kwamba naweza kupanda chuki dhidi ya Ukristo jinsi ulivyopanda chuki dhidi ya uislamu.

Aya ulizo nukuu 23:6 na 70:30 kutoka katika Qur'an kama msingi wa hoja yako ya uongo ya "utumwa wa ngono", aya zenyewe zinasema;-

"Isipokuwa kwa wake zao au kwa wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, basi hakika hao ndio wasiolaumiwa."

Hapo lliitakiwa uwajue wale waliomilikiwa na mikono ya kuume ni nani??, Hao ni mateka wa kivita ambao walikubali kwa hiyari yao kuwa Waislamu hivyo wakawa na haki ya kuolewa, kwasababu Muislamu haruhusiwi kuoa asiyekuwa muislamu.

Ndiyo maana nikataka kwa ufafanuzi zaidi usome aya hizi:- 2:221 na 24:32. Ili upate picha halisi.

Juu ya yote acha chuki dhidi ya uislamu bila sababu.

Generally hatreds blindfold ones sense of understanding and wisdom.
 
Back
Top Bottom