Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

Tena wanaubaguzi wa hali ya juu utakuta wanakusanyana wanaenda jifungia msikitini wanafanya discussion huko kama sio ubaguzi ni nn? Mbona vyuoni hukohatuoni makanisa yakajengwa? Kama umevunjwa well done

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hata mliman ilikuwepo. Madesa meng ya ma lecturers waislam yalikuw yanapatikana msikini. Kuna ka madam ka1 ka LL miaka ya 2009-10 kenye asili ya zbar kalikuwa kanaendekeza sana huu ujinga
 
Kwani Dodoma haina misikiti? Christian wanaabudu wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app


Kumbuka unaongelea juu ya dini mbili tofauti zenye misingi ya imani tofauti na waumini tofauti hivyo Mahitaji ya dini nayo ni tofauti, mfano huwezi sema mahitaji ya simba ni sawa na mahitaji ya ng'ombe japo wote hao ni wanyama na ndivyo ilivyo kwa uislamu na ukristo au dini zingine, zote hizo ni dini lakini zenye mahitaji tofauti.

Liangalie jambo hilo katika mtazamo huo wala usiliangalie katika mtazamo wa UDINI.
 
Tanzania tunaishi kinafiki sana,waisilamu na wakristo tunachekeana vijino pembe tu,hii ya udom ndoinaonyesha uhalisia wetu!!ikiwa awamu ya mkristo anabeba wakwake ikiwa ya musilamu anabeba wakwake
 
Inaonekana wewe hujapitia hata elimu ya primary school, huko primary, secondary na hata vyuoni kuna Masomo mangapi ambayo tunasoma kwa pamoja na kila moja kwa wakati wake??---- ndiyo hivyo hivyo kuhusu mambo ya dini na elimu ya dunia inavyokuwa, halafu elimu ya dini inaisaidia kukuza uelewa wa mtu katika kutambua elimu ya dunia na kubwa kabisa ni kwamba elimu ya mambo ya dini inahusu kumjua Mungu aliyetuumba isitoshe ni elimu inayohusika za kiroho kwa ajili ya maisha ya hapa duniani na huko ahera na mwisho ni kwamba elimu ya mambo ya dini kwa kiasi kikubwa ni endelevu hadi unaingia kaburini lakini elimu ya kidunia inao mwisho yaani (formal).
Dini bhana ukiikomalia unakuwa mwehu mwehu tu
 
Serikali ingeondoa misikiti na yote katika vyuo vikuu vyote siku wakristo wakidai nao wajenge makanisa yao so itakuwa matatizo na hili janga linaongelewa na wasomi

mpuuzi mpuuzi tu
 
Back
Top Bottom