Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

Udom sio chuo cha dini. Hakuna dini yenye nyumba ya ibada chuoni.
Lengo kuu la chuo ni kutoa elim sambaba ikiheshim dini za wanafunzi ila sio ku support.
Udom ina eneo kubwa yes, lakin dini flan ikitaka jengo.. zingine pia zita fuata.. matokeo yake ni udin utakuwa na nguv kuliko masomo.

Nimesoma hapo so napaelewa sana. Dini nyingi huomba chumba, au eneo la kufanyia ibada. Baada ya hapo hurudisha kwa matumiz mengine. Kitivo cha informatics kinafanya hivyo na maisha yanaenda.
Hayachanganyi, isipokuwa ni chuki binafsi za watu ndizo zinazofanya mambo ya dini yaonekane hivyo.

Hivi kujenga nyumba za Ibada za dini zote katika Udom ni dhambi au shida au kero au???, kwa kusudi la watu wamuabudu Mungu. Mahali popote asipotakiwa Mungu basi mahali hapo Shetani atatawala na kutamalaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu hua mnaleta ubaguzi wa hovyo sana, kujitenga na kutengeneza ka_ uadui ka kijinga. Mimi naunga mkono kubomoa na ningekua karibu hapo ningeshiriki zoezi kikamilifu kabisa. Mkitaka kuswali nendeni sijui mnapaita Makulu au mjini. Shenzy kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kufikiria kwako kote ndio umebahatika kung'amua hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu ya ugonjwa na hatimaye kifo cha prof. Mobofu ambae alikua ni mchapakazi mzuri tangu akiwa TBS, na mmoja wa marafiki wakubwa wa mhe. Rais wetu tangu walipokutana pale chemistry Udsm inafuatiliwa kwa karibu sana 'nyumba nyeupe', na hayo yanayotokea (yatakayoendelea kutokea) ni matokeo. Mliyakoroga wenyewe, hamna budi kuyanywa. Tulieni dawa iwaingie

the Legend☆
 
Ww uongozi wa UDOM hauufaham vizur. Kipind chote nikichokuwepo pale nimeona mambo mengi. Chuo kina fanya progress nzuri kwenye elimu ila din zikianza kutake over.. hadhi ya chuo lazima ivurugike .
Leo mtataka msikiti,kesho mtakitaka na chuo chenye.
Udom sio chuo cha dini, wanaruhusu kwenda nje ya chuo ukaswali. Kama wanavyofanya dini nyingine..
Mkitaka msikiti, na wengine wakitaka makanisa patakalika ?
Msikiti utajengwa tu mtake au msitake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu tupe deep story. Ni nn uliona?
Ila swala la ubaguzi wa kidini kati ya waislam na wakristu, Nadhani waislam wanaongoza kwa ubaguzi.

Nimezunguka mikoa mingi na sehem nyingi Tanzania na Africa ndio maana nasema hivi.

Ila yote tisa, ila nilichokutana nacho pale Tanga kwenye shule ya secondary ya Usagara kilikuwa ni 1st class.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninakaa Dodoma na Udom kila mara nipo kule kwa kiasi tunajua kitu gani kilikuwa kiktendeka wakati wa prof Kikula na prof Mlacha hakuna asiyejua hata Mkuu mwenyewe anajua kwamba kulikuwa na Udini ulio vuka mipaka.

Kama Waislamu wakitaka kujenga msikiti chuoni tena chuo cha Umma na Dini singine zikidai kujenga makanisa na mahekalu kuktakuwa kuna kusoma au kutangaza dini na madua.

Mbona chuo Kikuu cha st john hakuna msikiti na waislamu wamepewa sehemu nzuri tu ya kufanyia dua.

Mbona CBE hakuna msikiti wala makanisa na kila kitu kinakwenda vizuri bila shida.

Vyuo vyote dodoma havina misikiti wala makanisa isipokuwa chuo kikuu cha st johns na wao hilo kanisa lilikuwepo toka enzi za mkoloni kwa maana chuo hiko ilikuwa shule ya kanisa la Anglikani miaka za 1940 na baadaye kutaifishwa na kuwa shule ya sekondari mazengo na baadaye tena kurudishwa kanisa la Anglikani kwa St John university.

Haya yanayotokea UDOM ni dhambi ya prof Kikula na Prof Mlacha kuendeleza Uislamu katika Chuo hicho kikubwa Afrika mashariki na kati.

Narudia kusema Wailamu wengi walioajiriwa Udom waliajiliwa kimkakati wa kuwainua na kuwaendeleza Waislamu.

Sina uhakika lakini yalisemwa hapo Udom kwamba kuna fist lady mmoja naye anahusika sana na kupandikiza kwa makusudi/kimkakati Uislamu hapo Udom.

Ombi kwa serikali ni kuchuja na kufuatilia kikamilifu mienendo ya chuo kikuu cha Dodoma wakati wa prof kikula na Prof Mlacha (walikuwa ni zaidi ya Miungu watu Hapo chuoni kwa maana prof Mlacha alikuwa Mkuu wa Administration na Fedha na Kikula alikuwa ni Mkuu msaidizi wa chuo juu yake akiwepo Mh Mkapa).

Prof Mlacha ni Mpare. Wapare ni kabila dogo hapa nchini lipo kwenye wilaya moja tu. Lakini chunguza waajiriwa wapare hapo UDOM ndio utashangaa.

Sina chuki na mtu Ila ninachukia sana Ukabila na Udini unawafanya makabila na dini zingine kuwa wanyonge sana katika nchi yao.
Umejenga hoja vizuri na nakubaliana na wewe. Ulipoingiza hoja za wapare ndio umeharibu kabisa hoja yako.

Hao waislam wakasali mjini kama ilivyo kwa wakristo.
 
Uislamu ulipewa nafasi kubwa sana UDOM na tayari tulishaanza kuitana makafiri na kutengana kipumbavu, Kitu sipendi kuhusu uislamu ni kubagua makundi mengine na kuona kwamba hakuna dini zaidi ya wao, Vunja huo msikiti, na makanisa yasiruhusiwe kujengwa hapo.

Ni aibu taasisi kubwa kama UDOM kuwa na migogoro ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app



Mkuu Mimi binafsi sijafika na wala sijui mazingira ya Udom, ila jinsi nilivyohadithiwa ninajaribu ku "imagine" kwamba ni eneo kubwa lililojumuisha jamii kubwa, katika jamii lazima huduma za kiroho na kimwili zipatikane, hakuwezi kukawa na mapungufu fulani katika jamii na dawa yake iwe ni kuadhibu sehemu ya jamii au jamii yote kutokana na wajinga wachache katika hiyo jamii.

Umesema kitu kibaya sana juu ya uislamu kwamba:- " kitu sipendi kuhusu uislamu ni kubagua makundi mengine na kuona kwamba hakuna dini zaidi ya wao---vunja huo msikiti-----"

👆🏻Hiyo ni kauli yenye chuki kali sana dhidi ya Uislamu na bila shaka Wewe ni MDINI.

Uislamu kama dini, mtu anaweza kujifunza kupitia Qur'an na sunna za mtume Muhammad (saw), na wala hatuoni katika maisha ya mtume (saw) alipokuwa kiongozi wa Maka kwamba alibagua Wakristo au Mayahudi kwa sababu walikuwepo katika uongozi wake na walimpenda sana kwa sababu aliwapa uhuru kamili wa kuabudu ibada zao na haki zote kama raia na huku akiwahubiria juu ya uislamu na ilikuwa ni hiyari yao kupokea au kukataa uislamu, maana yangu ni kwamba Usilaumu Uislamu kutokana na matendo maovu ya Waislamu, kama vile, mfano, siwezi kuulaumu Ukristo kwa matendo machafu ya (wakristo) mapadre wa kikatoliki waliowanajisi wavulana.

Inatakiwa ifanywe mipango mizuri kuhakikisha nyumba za ibada zinajengwa ili Mungu awe na nafasi yake katika jamii ya Udom, bila Mungu shetani huingia mahali pake na baraka na amani zitatoweka.

Umesema:- " vunja huo msikiti----" Sasa badala yake unajenga CASINO???!!.
 
Umeongea pumba. Mungu ni Mungu wa utaratibu hilo lipo wazi, kila kitu kina sehemu na wakati wake, huwezi badilisha kila kitu kuwa kanisa au msikiti mwishoe utataka kila jengo libadilishe liwe sehemu ya kuombea na shughuli zingine zote zisimame
Hayachanganyi, isipokuwa ni chuki binafsi za watu ndizo zinazofanya mambo ya dini yaonekane hivyo.

Hivi kujenga nyumba za Ibada za dini zote katika Udom ni dhambi au shida au kero au???, kwa kusudi la watu wamuabudu Mungu. Mahali popote asipotakiwa Mungu basi mahali hapo Shetani atatawala na kutamalaki.
 
63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom