Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

Hiyo ndiyo shida ya waswahili, kwani hapa tunabishana??!, , Kama kwangu umeshindwa je hao wakubwa zangu utawaweza??.

Wewe umepofushwa na chuki dhidi ya Uisilamu, mahala pa kutumia logic ili ujue ukweli wewe unapandikiza chuki.

Na Mimi pia nilitaka kukuonyesha kwamba naweza kupanda chuki dhidi ya Ukristo jinsi ulivyopanda chuki dhidi ya uislamu.

Aya ulizo nukuu 23:6 na 70:30 kutoka katika Qur'an kama msingi wa hoja yako ya uongo ya "utumwa wa ngono", aya zenyewe zinasema;-

"Isipokuwa kwa wake zao au kwa wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, basi hakika hao ndio wasiolaumiwa."

Hapo lliitakiwa uwajue wale waliomilikiwa na mikono ya kuume ni nani??, Hao ni mateka wa kivita ambao walikubali kwa hiyari yao kuwa Waislamu hivyo wakawa na haki ya kuolewa, kwasababu Muislamu haruhusiwi kuoa asiyekuwa muislamu.

Ndiyo maana nikataka kwa ufafanuzi zaidi usome aya hizi:- 2:221 na 24:32. Ili upate picha halisi.

Juu ya yote acha chuki dhidi ya uislamu bila sababu.

Generally hatreds blindfold ones sense of understanding and wisdom.
Mbona neno chuki limekutawala sana mvaa vipedo?

Utumwa ni kanuni ya sheria za kiislamu.
Uharibifu ni kanuni ya sheria za kiislamu.

o9:15 it is permissible in jihad to cut down the enemy trees and destroy their dwellings.

Siku zote huwa tunasema Islam ni dini ya violence mnakataa embu soma
o9:14 When an adult male is taken captive (in jihad) the caliph considers the interest of Islam and muslims and decides between the prisoners death, slavery, release without ransoming himself in exchange for money or muslim captive held by enemy.

Kumbuka chochote kilichoandikwa kwenye koran hakibadiliki japo nafahamu kila muislamu anaweza kutafsiri aya fulani kivyake na mwingine kivyake.
Mfano koran 41:44 kila mtu anaweza itafsiri kivyake ila maana yake ili tu muionyeshe dini yenu kuwa ya namna fulani ila maana ya msingi itabaki palepale.

Kataa au kubali

1.allah karuhusu ndoa kwa mtoto mdogo wakike.
2. Allah kasema mwanamke hana akili kumzidi mwanaume.
3. Wazinifu wapigwe mawe hadi kufa.
4. Atakaye mtukana Muhammad auwawe.
5. Watu wasioamini uislamu ni wahovyo kuliko wanyama.
6. Allah kaelekeza namna ya kuwafanya watumwa wa ngono.
7. Allah hapendi sanaa.

Tutamalizia na suala la Ezra
 
Shida yako ni prejudices juu ya Uislamu hivyo ndani ya moyo wako chuki na husuda imetawala dhidi ya Uislamu.

Ungekuwa na akili japo kidogo tu kwanza ungeuliza jambo usilojua ndani ya uislamu kuliko kuanza kushutumu tu.

Sasa tuone ni dini ipi ina advocate violence, Yesu anasema:-

But those enemies of mine who did not want me to be KING over them bring them here and kill them in front of me, (Luke 19:27)

Hapa yesu alisahau lile fundisho la "geuza shavu uzabwe" (turn the other cheek parable) Mathew 5:38-48.

Na ndiyo maana kanisa kwa kufuata hilo fundisho la Yesu la kuua maadui zao ndipo likatekekeza vita vya crusades na enqusition vilivyo angamiza mamilioni ya watu wale walioonekana ni wapinzani wa ukristo, Hitler aliua waisraeli moja ya sababu ikiwa ni uyahudi wao, Makaburu wa AFrika kusini walitekekeza ubaguzi wao kwa kunukuu vifungu vya Biblia kuhalalisha ubaguzi wao.

Yesu ndiye muanzilishi wa USHOGA duniani ndiyo maana hakuoa, na kauli zake zinathibitisha kwamba alikuwa anampenda sana mmoja wa wanafunzi wake, soma Yohana 13:28, 18:26, 20:2, 21:7, 21:20, nk. Na ndiyo maana huko Ulaya leo kuna Wakristo wengi mashoga kwasababu wanafuata mafundisho ya Yesu.

Sasa utaanzaje kulaumu uislamu wakati kwako kuko hovyo??!!, unazima moshi kwa jirani wakati kwako kwawaka moto!!!,

Unasema Mimi mvaa vipedo lakini wewe ni mvaa vimini kanisani, anza kwanza wewe kuvaa vizuri na mimi nitavaa vizuri. Kweli nyani haoni kundu lake.

Halafu kwanini huwezi kutoa hoja bila kutukana??--- Yesu alikuwa hodari wa kutukana na wewe umefuata njia hiyo hiyo ya mwokozi wako wa matusi!!🤣

Domo lako kubwa linatoa harufu kwa matusi kama choo cha stendi ambacho kila msafiri hujisaidia.

Mtume mtukufu Muhammad (saw) alisema: Jiepusheni na husuda kwani husuda inakula mema ya mtu jinsi moto unavyokula kuni.

Islam ranks number one in the list of the fast growing religions in the world, that news cherish us but irk you and your cohorts, the harder you try to frustrate the growth the faster it will keep on growing, the bottom line is; if you can not halt it growth you have to join and support it as it is hand of God which is behind its course.

Adieu.
 
Hii response ina likes 257
Mimi ninakaa Dodoma na Udom kila mara nipo kule kwa kiasi tunajua kitu gani kilikuwa kiktendeka wakati wa prof Kikula na prof Mlacha hakuna asiyejua hata Mkuu mwenyewe anajua kwamba kulikuwa na Udini ulio vuka mipaka.

Kama Waislamu wakitaka kujenga msikiti chuoni tena chuo cha Umma na Dini singine zikidai kujenga makanisa na mahekalu kuktakuwa kuna kusoma au kutangaza dini na madua.

Mbona chuo Kikuu cha st john hakuna msikiti na waislamu wamepewa sehemu nzuri tu ya kufanyia dua.

Mbona CBE hakuna msikiti wala makanisa na kila kitu kinakwenda vizuri bila shida.

Vyuo vyote dodoma havina misikiti wala makanisa isipokuwa chuo kikuu cha st johns na wao hilo kanisa lilikuwepo toka enzi za mkoloni kwa maana chuo hiko ilikuwa shule ya kanisa la Anglikani miaka za 1940 na baadaye kutaifishwa na kuwa shule ya sekondari mazengo na baadaye tena kurudishwa kanisa la Anglikani kwa St John university.

Haya yanayotokea UDOM ni dhambi ya prof Kikula na Prof Mlacha kuendeleza Uislamu katika Chuo hicho kikubwa Afrika mashariki na kati.

Narudia kusema Wailamu wengi walioajiriwa Udom waliajiliwa kimkakati wa kuwainua na kuwaendeleza Waislamu.

Sina uhakika lakini yalisemwa hapo Udom kwamba kuna fist lady mmoja naye anahusika sana na kupandikiza kwa makusudi/kimkakati Uislamu hapo Udom.

Ombi kwa serikali ni kuchuja na kufuatilia kikamilifu mienendo ya chuo kikuu cha Dodoma wakati wa prof kikula na Prof Mlacha (walikuwa ni zaidi ya Miungu watu Hapo chuoni kwa maana prof Mlacha alikuwa Mkuu wa Administration na Fedha na Kikula alikuwa ni Mkuu msaidizi wa chuo juu yake akiwepo Mh Mkapa).

Prof Mlacha ni Mpare. Wapare ni kabila dogo hapa nchini lipo kwenye wilaya moja tu. Lakini chunguza waajiriwa wapare hapo UDOM ndio utashangaa.

Sina chuki na mtu Ila ninachukia sana Ukabila na Udini unawafanya makabila na dini zingine kuwa wanyonge sana katika nchi yao.
 
Wewe mbona unatoa maneno ua Uongo hivyo??, Qur'an inapinga zinaa kabisa sasa iweje Mtume Muhammad (saw) aunge mkono utumwa wa ngono (sex slavery) ??, Mtume alikuja kuondoa uovu wa aina zote katika jamii na ndiyo maana watu wanapokuwa civilised huitwa Wastaarabu, neno "--- staarabu" maana yake kuwa kama muarabu, waarabu waliokuwa Wamesilimu na wameshika mafundisho ya Qur'an.

Hayo yote anayotapika dhidi ya Uislamu sio ya kweli, lakini inawezekana watu wabaya wakatumia jina la uislamu kutekekeza maovu kwa ajili ya nafsi zao kama jinsi baadhi ya wakristo wa Magharibi wanavyotetea Ushoga kwa kunukuu vifungu vya ijnjili (maneno ya yesu).

Katika Qur'an Mungu anamwambia Mtume (saw) kwamba; And indeed you are of a great moral character (68:4).

Wewe umenukuu nukuu za Uongo na unasema ni kutoka katika Qur'an eti, Al bujhaari 6922 !!!, wewe umevuta bangi ndipo ukaja kuandika hayo matapishi yako, pia unashikilia kuwa uislamu umeleta "sex slaves", je wewe ulikumbwa na sex slavery kutoka kwa waislamu?? au kuna ndugu yako aliyekumbwa na hiyo slavery kutoka kwa waislamu??!!.

Kinyume chake tunaona Sex slavery ipo kwa Wakristo, eti utaona masista wasiokuwa na waume na mapadri wasiokuwa na wake wakifanya kazi ya "DINI" , hiyo siyo sex slavery in action? ?? .
Mtume alimuoa bi Aisha akiwa na miaka 7 kwa kweli alikuwa na pepo la ngono na alikuwa na wanawake 11 utabishaje hakuwa kahaba? Tena alipaswa kufungwa kwa child abuse
 
Shida yako ni prejudices juu ya Uislamu hivyo ndani ya moyo wako chuki na husuda imetawala dhidi ya Uislamu.

Ungekuwa na akili japo kidogo tu kwanza ungeuliza jambo usilojua ndani ya uislamu kuliko kuanza kushutumu tu.

Sasa tuone ni dini ipi ina advocate violence, Yesu anasema:-

But those enemies of mine who did not want me to be KING over them bring them here and kill them in front of me, (Luke 19:27)

Hapa yesu alisahau lile fundisho la "geuza shavu uzabwe" (turn the other cheek parable) Mathew 5:38-48.

Na ndiyo maana kanisa kwa kufuata hilo fundisho la Yesu la kuua maadui zao ndipo likatekekeza vita vya crusades na enqusition vilivyo angamiza mamilioni ya watu wale walioonekana ni wapinzani wa ukristo, Hitler aliua waisraeli moja ya sababu ikiwa ni uyahudi wao, Makaburu wa AFrika kusini walitekekeza ubaguzi wao kwa kunukuu vifungu vya Biblia kuhalalisha ubaguzi wao.

Yesu ndiye muanzilishi wa USHOGA duniani ndiyo maana hakuoa, na kauli zake zinathibitisha kwamba alikuwa anampenda sana mmoja wa wanafunzi wake, soma Yohana 13:28, 18:26, 20:2, 21:7, 21:20, nk. Na ndiyo maana huko Ulaya leo kuna Wakristo wengi mashoga kwasababu wanafuata mafundisho ya Yesu.

Sasa utaanzaje kulaumu uislamu wakati kwako kuko hovyo??!!, unazima moshi kwa jirani wakati kwako kwawaka moto!!!,

Unasema Mimi mvaa vipedo lakini wewe ni mvaa vimini kanisani, anza kwanza wewe kuvaa vizuri na mimi nitavaa vizuri. Kweli nyani haoni kundu lake.

Halafu kwanini huwezi kutoa hoja bila kutukana??--- Yesu alikuwa hodari wa kutukana na wewe umefuata njia hiyo hiyo ya mwokozi wako wa matusi!!🤣

Domo lako kubwa linatoa harufu kwa matusi kama choo cha stendi ambacho kila msafiri hujisaidia.

Mtume mtukufu Muhammad (saw) alisema: Jiepusheni na husuda kwani husuda inakula mema ya mtu jinsi moto unavyokula kuni.

Islam ranks number one in the list of the fast growing religions in the world, that news cherish us but irk you and your cohorts, the harder you try to frustrate the growth the faster it will keep on growing, the bottom line is; if you can not halt it growth you have to join and support it as it is hand of God which is behind its course.

Adieu.
Yani hapa ndio utafanya turudi kulekule nitafutie wakubwa zako waje tubishane juu ya hili kwa sababu nina hakika na elimu pana sana juu ya Koran.

Nyinyi baadhi ya wavaa vipedo huwa mnajisahau sijui ndio hakuna mlijualo kwenye uislamu iweje uulizwe swali linalohusu Uislamu ujibu kwa kutumia Ukristio?

Si ungumbaru huo.

Sasa chagua moja niletee wakubwa zako hapa ukishindwa tujikite kwenye kujadili hili suala la utumwa wa ngono na violence kiujumla ndani ya kitabu cha Othman, ukishindwa kabisa tuhamie kwenye Ukristo juu ya madai yako kwamba Yesu ni mfuasi wa violence na muanzilishi wa ushoga duniani.

NOTE: Lolote utakalolichagua kati ya kujikita kwenye Utumwa wa ngono na violence kwenye Quran au Yesu muanzilishi wa ushoga na mfuasi wa violence kwenye Biblia tujikite kwenye hilo tu usitapetape kama mjamzito kama ulivyofanya hapa.
 
Yani hapa ndio utafanya turudi kulekule nitafutie wakubwa zako waje tubishane

Wewe ni mbumbumbu wa hali ya juu na wala hujui utendalo kwa maana hiyo namuomba Mungu akusamehe.

Narudua tena, Ni chuki dhidi ya uislamu ndiyo imepofusha sense zako, unataka wakubwa zangu kuja KUBISHANA??!!, huyo mkubwa wangu wa kuja KUBISHANA upuuzi sinaye bali ninao wakubwa wenye busara na hekima.-- kwanza mdomo wako ni mchafu kwa matusi na hii inatosha kujua "who you are".

Wewe unang'ang'ania tu juu ya Sex slavery, mimi nikuulize wewe kama mwanamke/msichana ni kitu gani Uislamu ulikufanyia (sio Waislamu, I am not talking about Muslims ), hadi roho yako ikirihike hivyo kuushambulia??!!, ndiyo maana nikasema toa biriti jichoni mwako ndipo uweze kuona kibanzi jichoni kwa mwenzako, wewe huoni Masista na mapadre wasioolewa na kuoa wamejihifadhi sehemu fulani ya kanisa eti jwa ajili ya kumtumikia bwana, hiyo siyo sex slavery in action??!!, wasichana kamili (matiti saa 6🤣) na Wanaume kamili eti wakae bila kuoa na kuolewa???,

Obolish such sex slavery in your home (christianity) then cross the brigde to Islam to abolish if at all there is any, and I swear in accordance to the pure teachings of Islam there is none.

Adieu.
 
Mbona ni kawaida kwa nyumba za ibada kuwepo maeneo ya vyuo vikuu. Hapo UDOM inakuwaje? Sitaki kuamini kuwa mchora ramani akumbuke kuweka viwanja vya michezo halafu asahau kuweka msikiti, hadi itokee unajengwa na kuvunjwa
Na Yale maspika ya hiyo shuka ndio sands yako pia yawekwe?
 
Wewe ni mbumbumbu wa hali ya juu na wala hujui utendalo kwa maana hiyo namuomba Mungu akusamehe.

Narudua tena, Ni chuki dhidi ya uislamu ndiyo imepofusha sense zako, unataka wakubwa zangu kuja KUBISHANA??!!, huyo mkubwa wangu wa kuja KUBISHANA upuuzi sinaye bali ninao wakubwa wenye busara na hekima.-- kwanza mdomo wako ni mchafu kwa matusi na hii inatosha kujua "who you are".

Wewe unang'ang'ania tu juu ya Sex slavery, mimi nikuulize wewe kama mwanamke/msichana ni kitu gani Uislamu ulikufanyia (sio Waislamu, I am not talking about Muslims ), hadi roho yako ikirihike hivyo kuushambulia??!!, ndiyo maana nikasema toa biriti jichoni mwako ndipo uweze kuona kibanzi jichoni kwa mwenzako, wewe huoni Masista na mapadre wasioolewa na kuoa wamejihifadhi sehemu fulani ya kanisa eti jwa ajili ya kumtumikia bwana, hiyo siyo sex slavery in action??!!, wasichana kamili (matiti saa 6🤣) na Wanaume kamili eti wakae bila kuoa na kuolewa???,

Obolish such sex slavery in your home (christianity) then cross the brigde to Islam to abolish if at all there is any, and I swear in accordance to the pure teachings of Islam there is none.

Adieu.
Obolish = Abolish
Sex slavery = Sexy slavery
Biriti = Boriti
Narudua = Narudia

Hujui hata tofauti ya sex na sexy ndio maana hujui chochote mjinga mjinga tu wewe, kwenye kiingereza hakuna neno obolish hili sijui umelitoa wapi!

Upumbavu wa madrasa umekujaa bwana mdogo funguka, msikiti umeshavunjwa na hamna la kufanya jaribuni kujilipua tuwanyooshe si mnajifanya MAYAZID nyie pumbavu wakubwa nyie.
mimi nikuulize wewe kama mwanamke/msichana ni kitu gani Uislamu ulikufanyia (sio Waislamu, I am not talking about Muslims ), hadi roho yako ikirihike hivyo kuushambulia??!!
hata sikushangai haya ndio mafundisho ya allah wenu na kikalagosi chake Muhammad mfu wake.

Anadharau wanawake na nyie waislamu wa leo mmerithi mnadharau wanawake na mnapewa nguvu na aya za kishenzi ndani ya koran
 
Despite my misspellings, I am happy that you grasped the essence and the message is sent and delivered and felt, that is a soft killing in your heart, I believe you will soon reform yourself concerning Islam. 🤣

لعنة الله عليك

A reply to the bove post no, 1,633
 
Anadharau wanawake na nyie waislamu wa leo mmerithi mnadharau wanawake na mnapewa nguvu na aya za kishenzi ndani ya koran

1 Wakorintho 14:34.

Wanawake hawaruhusiwi kuongea.

1 Tmotheo 2:12.

Wanawake hawaruhusiwi kuhubiri.

Ila kuvaa vimini kanisani na barabarani ruksa,🤣🤣
 
1 Wakorintho 14:34.

Wanawake hawaruhusiwi kuongea.

1 Tmotheo 2:12.

Wanawake hawaruhusiwi kuhubiri.

Ila kuvaa vimini kanisani na barabarani ruksa,🤣🤣
Koran huiwezi mliyofanyiwa kuwa rahisi kuliko kitabu chochote uje uiweze Biblia?

Anza kujifunza Injili ni nini, Yesu alikuja kufanya nini duniani na kwa ajili gani ukishayatambua hayo njoo tujadili japo kiduchu maana elimu yangu ya thiolojia ya dini hizi zote mbili wewe huigusi hata kidogo!
 
Go and read:-

Proverbs 1:17 which runs:-

The fear of Lord is the beginning of knowledge, fools despise wisdom and instruction.

Also read, Proverbs 18:15.

Wewe huna hofu ya Mungu bali unayo hofu ya shetani, na inaonekana kiburi cha elimu ya THEOLOGY kimekujaa hadi kichwani umevimbewa.

Listen to A, Einstein:-

Most people say that it is the intellect which majes a great scientist (in this case theologian) they are wrong it is character.

Only two things ate infinite, the universe and HUMAN STUPIDITY and I am not sure about the former.

A, Einstein

Unataka tujadiliane kuhusu injili, wewe injili unaifahamu??!!,🤣🤣
 
MSIKITI WAVUNJWA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM), WAISLAM KUMI NA MOJA (11) WANATAALUMA NA WAENDESHAJI CHUO KIKUU CHA DODOMA WAHAMISHWA (Prof. Petter Msoffe) asimamia kikamilifu zoezi hilo

Tumepokea kwa Masikitiko makubwa sana uhamisho wa watumishi waislamu Chuo Kikuu cha Dodoma uliofanyika ijumaa tarehe 11 January, 2019. Uhamisho huo umefuatia baada ya Amri ya Prof. Msofe DVC ARC (Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma) na Acting VC kuvunja Msikiti uliokuwa unajengwa Chuoni hapo.

Viongozi wote waliokuwa waislam Udom wakiwemo ma Lecturers, Administrative Staffs, Lawyers na Directors wamehamishiwa taasisi zingine za umma.

Harakati hizi za kuondoa waislamu hawa zilishika hatamu mara baada ya kifo cha Prof. Edig Beautus Mobofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo kufariki dunia mnamo tarehe 18 Desemba, 2018. Huku jamii ya UDOM ikishutumu kuwa waislamu wamemloga Prof. Mobofu kwasababu ya kusimamisha ujenzi wa MSIKITI hali ya kuwa vipimo vya hospitali vilionyesha kaagua ugonjwa wa kiharusi.

Kufuatia sintofaham hizo mnamo tarehe 9 Januari , 2019 Siku ya. Jumatano, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo aliyeshika nafasi ya Prof. Mobofu naye ni Prof. Peter Msoffe (DVC - ARC) na Acting VC alitoa amri ya kuvunja Msikiti huo kwa madai kuwa kapokea amri hiyo kutoka juu na kisha watumishi hao waislamu kumi na moja kuhamishwa (11). Tunajiuliza amri hiyo iliyotoka juu imetoka juu kwa nani?

Hatuna shaka na kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli na hatujui kama Mh. Rais anajua hili linaloendelea katika taasis mbalimbali za umma hususani UDOM. Tunamuomba Mh. Rais alitazame hili ktk sura ya kipekee kwani kuachia haya yaliyofanyika yaendelee ni kuleta uhasama na chuki ktk jamii ya wasomi waliobakia Chuo Kikuu cha Dodoma jambo ambalo linaweza kupelekea migogoro ya kidini mpaka kwa wanafunzi. Hivyo ni vyema na busara uhamisho ukatazamwa kwa jicho la kipekee na kuwarejesha watu hawa kuepuka kupandikiza chuki zisizonatija katika jamii ya wasomi..!!!

--------
Uhamisho UDOM
1. Dr. Mariam Khamisi - UDSM
2. Dr. Yusuph Kambuga - ADEM Bagamoyo
3. Dr. Masoud - DIT
4. Dr. Ibuni Kombo -
5. Khamisi Mkanachi - UDSM
6. Mohammed Mwandege - Arusha Atomic Energy
7. Omar Simba - Wizara ya Ardhi
8. Subira Issa Sawasawa - Wizara mambo ya ndani
9. Wema Mbegu - Wizara ya Ardhi
10. Aziz Gendo - Arusha Technical
11. Dr. Mwinyikondo Ameir - UDSM mbeya branch

Pia soma > Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo
Ngoma inogile
 
Sasa ni zamu yenu, tusisikie tena makelee .mkitaka hata chuo kibadilishwe sasa kiwe cha uislam tuuuu
 
Back
Top Bottom