Uonavyo: Kati ya prof LIPUMBA na Dr SLAA ni nani zaidi?

Kwangu slaa hana ubavu wa kupambana na prof lipumba.Lipumba level zingine kabisa.Slaa na mtatiro labda
 
Ukipna hii CV wewe wawaza nini? Mimi ni misa tu!
==================================================================================================
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991

POLITICAL EXPERIENCE

CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977

Duh jamaa yuko SHALLOW kinoma... NI MADAYOSISI TU YAMEJAA; huyu anafaa kuwa raisi wa Mbulu/ karatu. LMFAO
 
Juma, huo mtizamo wako alikuwa nao Prof. Safari, akaamua kwenda kwenye chama amabacho aliamini ndio kiko ok, niambie kimemtokea nini? Katumiwa kwenye propaganda, sasa yuko sidelined!

Kwenye mikutano analazimishwa asalimie kwa kumtukuza 'mungu' Yesu! Hii kwake ni kufuru, anafanyaje?

Labda tukubaliane, kama CUF ni tatizo, CDM ni zaidi basi viable option ni CCM? Unamshauri Lipumba aende CCM?

Hapana, wengi tumekuwa na mtizamo wa ajabu katika siasa za Tanzania kiasi cha kuamini kuwa CHADEMA Ndicho chama pekee cha kujiunga nacho kwa kuwa kimemea, hapana. Anaweza kuanzisha chama kipya leo na kikawa na umaarufu kuliko CDM. Si lazima pia aende CCM, Anaweza kwenda chama chochote chenye viongozi makini kabla CUF haijafa kabisa na umaarufu wake kutoweka.
 
Mkuu unachukulia kigezo cha wingi wa kura za tume ya uchaguzi. Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa JK ni Zaidi ya wote Dr Slaa na Lipumba. Wakati wa uchaguzi wa mgombea urais ndani ya uchaguzi wa CCM Mwaka 1995 Kikwete inasemekana kuwa alishinda kwa wingi wa kura lakini Nyerere alijua kuwa zaidi ni Mkapa.

Wewe mwenyewe hujui unachokitaka.Rudi kwenye mada.Tunamlinganisha kichuguu Lipumba na mlima kilimanjaro Dr Slaa.
 
Dr Slaa mmoja,ili angalau kidogo upate kauwiano ,unganisha vichwa
vya viongozi wa MAGAMBA A' na MAGAMBA B'wa juu wote' bado hawawezi
kumfikia Dr Slaa.Kwa ueledi,uelewa na uzalendo wake kw anchi hii.
 
Hapana, wengi tumekuwa na mtizamo wa ajabu katika siasa za Tanzania kiasi cha kuamini kuwa CHADEMA Ndicho chama pekee cha kujiunga nacho kwa kuwa kimemea, hapana. Anaweza kuanzisha chama kipya leo na kikawa na umaarufu kuliko CDM. Si lazima pia aende CCM, Anaweza kwenda chama chochote chenye viongozi makini kabla CUF haijafa kabisa na umaarufu wake kutoweka.

Wewe umetoa mada wacha watu wachangie,sasa kwanini unaSide na Lipumba kila mara?
 
Dr Slaa mmoja,ili angalau kidogo upate kauwiano ,unganisha vichwa
vya viongozi wa MAGAMBA A' na MAGAMBA B'wa juu wote' bado hawawezi
kumfikia Dr Slaa.Kwa ueledi,uelewa na uzalendo wake kw anchi hii.

Ni kweli mkuu nimeshangaa sana kumlinganisha Rais ajaye Dr Slaa na mtu kama Lipumba.
 
Lipumba anapaswa
kuondoka ccm b na kurudi ccm a akamsaidie
jk kwani mambo yamemwelemea sana.
 
Mimi naona Dr Slaa ni zaidi jamani maana ametoka kwenye Diploma hadi PHD kwikwikwikwi
 
Hapana, wengi tumekuwa na mtizamo wa ajabu katika siasa za Tanzania kiasi cha kuamini kuwa CHADEMA Ndicho chama pekee cha kujiunga nacho kwa kuwa kimemea, hapana. Anaweza kuanzisha chama kipya leo na kikawa na umaarufu kuliko CDM. Si lazima pia aende CCM, Anaweza kwenda chama chochote chenye viongozi makini kabla CUF haijafa kabisa na umaarufu wake kutoweka.
Juma usiwe na mawazo kama HR. CUF ndio inapita kweneye kipindi cha mpito kutokana na tofauti za baadhi ya viongozi ndani ya chama. lakini kufikiria kuwa kitakufa kwa sababu ya hii ni kichekesho! ushahidi juzi umeuona! Unadahani kwa nini watu waliamua kujitokeza kwa wingi kiasi kile? Lipumba kasafiri mara ngapi nje? Kwa nini hajawahi kupata mapokezi yale? Wanachama walitaka kutuma ujumbe!

Hivi umejiuliza kwa nini HR hakuwahi kupewa nafasi yeyote kubwa ndani ya chama? Fuatilia historia ya uongozi ndani ya CUF, HR alikuwa haaminiwi tangu mwanzo! Akaamua ku-mobilize kundi la wenye njaa ndani ya chama wakaanzisha mgogoro ule! Nakuambia mgogoro huu sio mkubwa kuliko ule wa Zitto/kafulila dhidi ya mbowe ndani ya Chadema! Ila media kwa interest zao zinaamua kuukuza ili CDM inufaike!

Unajua kwanini wana-CUF walitaka kuwapiga waandishi wa NIPASHE? Nipashe haijawahi kuandika kitu chochote chema juu ya CUF! Hilo hata chizi anajua! Kwenye tukio lile wanaandika " Lipumba apokelewa na maalefu, ila Dodoma wanachuo 800 wajiondoa CUF"!!!!!! Can u believe this shit?
 
Kabla ya kujivua gamba la uanachama wa kisiasa nilikuwa CUF. Tena nilikuwa mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu pale Dodoma mjini. Naona maneno yako yamekaa vyema. Kuna haja ya kuyatizama upya kwa upana zaidi.
 
Juma usiwe na mawazo kama HR. CUF ndio inapita kweneye kipindi cha mpito kutokana na tofauti za baadhi ya viongozi ndani ya chama. lakini kufikiria kuwa kitakufa kwa sababu ya hii ni kichekesho! ushahidi juzi umeuona! Unadahani kwa nini watu waliamua kujitokeza kwa wingi kiasi kile? Lipumba kasafiri mara ngapi nje? Kwa nini hajawahi kupata mapokezi yale? Wanachama walitaka kutuma ujumbe!

Hivi umejiuliza kwa nini HR hakuwahi kupewa nafasi yeyote kubwa ndani ya chama? Fuatilia historia ya uongozi ndani ya CUF, HR alikuwa haaminiwi tangu mwanzo! Akaamua ku-mobilize kundi la wenye njaa ndani ya chama wakaanzisha mgogoro ule! Nakuambia mgogoro huu sio mkubwa kuliko ule wa Zitto/kafulila dhidi ya mbowe ndani ya Chadema! Ila media kwa interest zao zinaamua kuukuza ili CDM inufaike!

Unajua kwanini wana-CUF walitaka kuwapiga waandishi wa NIPASHE? Nipashe haijawahi kuandika kitu chochote chema juu ya CUF! Hilo hata chizi anajua! Kwenye tukio lile wanaandika " Lipumba apokelewa na maalefu, ila Dodoma wanachuo 800 wajiondoa CUF"!!!!!! Can u believe this shit?

Mnachokijua nyie ni vurugu.Watanzania hatutaki watu wa aina hiyo.Ulitaka Nipashe waandike Uongo kuhusu waliojitoa CUF? Mnaona dawa ni kupiga na kujeruhi waandishi wa habari? Mnayafanya haya hamjakamata nchi sasa mkikamata si mtatuua kabisa? Hakika nyie hamfai hata kuongoza kijiji.
 
Hamna wana-CUF 800 UDOM.............huo ni uzushi!
mwenyewe kwenye hiyo article kataja 34 tu!
 
Mkuu nakushauri nguvu mliyotumia kukusanya watu kumpokea Lipumba muitumie kuimarisha chama chenu vijijini.Achaneni na kubishana na CDM sio saizi yenu.CDM ni high level
 
Back
Top Bottom