Loy MX
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 1,253
- 312
Hii ni hatari aisee
Hiyo ni konyagi mzee!! Kiroba ni stori ingine kabaisa.
We nae una unaa fulani! sasa hiyo picha ya Mr FFU akidondoka nayo ni viroba!?Hii ni hatari aisee
Unapiga ramli sio! Haya kajifunze Kwa Prof Maji marefu!we ni FFU au ni mke wa FFU?? huyo kanywa viroba afu ndo anaenda kazini..! hulazimishwi kuamini..
Viroba ni balaa tutakwisha kwa huu utanda wizi. Viroba jamani vipigwe marufuku maana watu wanakunywa pombe saa zote. Vijana wetu sasa hatari kila upande, bangi, viroba wee acha tu.Hii ni hatari aisee
Viroba ni balaa tutakwisha kwa huu utanda wizi. Viroba jamani vipigwe marufuku maana watu wanakunywa pombe saa zote. Vijana wetu sasa hatari kila upande, bangi, viroba wee acha tu.
ndo yeye Mkuu na hayo ndo maji yake ya mazoezini
Hilo ndo Jibu mkuu