Unywaji wa viroba ni hatari kwa akili yako.........!!! kudadeki...

Loy MX

JF-Expert Member
Mar 26, 2012
1,253
312
Hii ni hatari aisee
 

Attachments

  • 45185_227459744062375_382869211_n.jpg
    45185_227459744062375_382869211_n.jpg
    14.8 KB · Views: 508
  • 205886_488667714512332_1772322129_n.jpg
    205886_488667714512332_1772322129_n.jpg
    36.7 KB · Views: 442
  • 544457_416937575025683_671768664_n.jpg
    544457_416937575025683_671768664_n.jpg
    39.1 KB · Views: 467
  • viroba.jpg
    viroba.jpg
    11.9 KB · Views: 282
  • 430118_487290437961268_1435107506_n.jpg
    430118_487290437961268_1435107506_n.jpg
    11.4 KB · Views: 573
Viroba ni balaa tutakwisha kwa huu utanda wizi. Viroba jamani vipigwe marufuku maana watu wanakunywa pombe saa zote. Vijana wetu sasa hatari kila upande, bangi, viroba wee acha tu.

watu wengi wamekuwa wahanga wa haya makitu mpaka maafande
 
siku hizi mikoa ya baridi ina viroba hadi vya shilingi mia sasa sijui ni gongo wanaifunga kwenye maratasi unakuta kiroba kinaitwa jogoo
 
Back
Top Bottom