Unyumba maana yake nini?

Quinty

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
462
74
Nimejiuliuliza mara nyingi kuhusu suala la unyumba...ni nini maana yake? Eti kaninyima unyumba,ama mpe unyumba. Kwanini watu wasiwe wawazi
 
Nimejiuliuliza mara nyingi kuhusu suala la unyumba...ni nini maana yake? Eti kaninyima unyumba,ama mpe unyumba. Kwanini watu wasiwe wawazi
Ni tamathali za semi tu hakuna jipya hapo! Unyumba=mbunye
 
Vp wanandoa wakienda guest bado ni unyumba, undoa au ugesti?
 
Tendo si linafanyika?tena ukizingatia guest ni ndani hahahaha,bora ungesema machakani,,lol
okey so hilo la machakakani linaitwa uchakani ama? Na kwa wasio na nyumba wanaita unyumba ama waite uroda?
 
unyuma=kuta4 zikiungana wakiwemo wanandoa wenye tendo la ndoa ndan
ambapo viungo vyao vikimatiplai by 2 divide by 4 u get .....
duduz ndo muhimili wa nyumba na ndyo inayojengta nyumba so usizan wakisema unyumba wanamaanisha buildng
lakin ili neno linaniboa...et kaninyma unymba asi ungeondoka na umlango wake bas....
 
euphemism not just for sex related languages but even for death, relieving oneself etc etc....some things huwezi kutumia direct language jamani
 
Nimejiuliuliza mara nyingi kuhusu suala la unyumba...ni nini maana yake? Eti kaninyima unyumba,ama mpe unyumba. Kwanini watu wasiwe wawazi
Hapo imetumika tafisida. Maana yake ni kitendo cha Mwanamume na Mwanamke walio kwenye ndoa kuingiliana Kingono.
 
Back
Top Bottom