Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

Nilionja siku moja katika sarakasi nikajikuta nayaonja.......mhh yana radha sio nzuri na nilijisikia kichefuchefu kidogo nitapike......nilikoma

Wakina mama wakishajifungua kwanza huwa wanakuwa hawana aibu kutoa nyoyo hadharani haina noma hata ukilishika hawashituki tofauti na wale zilizochongoka

...unaona sasa...

...ndio maana ukaambiwa 'chakula cha mtoto' mpaka pale ulipoachishwa, umri wa miaka miwili na ushee hivi. Majority enzi za utoto tulikuwa tunalilia na kung'ang'ania hilo hilo titi tamu la mama bila kujali yeyote, tena mahali popote bila wasiwasi wowote.

Ni vizuri mwanamke kujistiri kwasababu kuna wanaume wengine wana ule ugonjwa wa 'mfadhaiko' ~pervets

:D
!

...Ni vizuri mwanamke kujistiri kwasababu kuna wanaume wengine wana ule ugonjwa wa 'mfadhaiko' ~pervets

:D!

Sidhani kama kuna mwanaume anaweza pata mfadhaiko kwa kuona titi la mama anayenyonyesha!
 
Sidhani kama kuna mwanaume anaweza pata mfadhaiko kwa kuona titi la mama anayenyonyesha!

...:D

...ukiona kinachozungumziwa zaidi ni titi, badala ya haki ya mtoto kunyonya, ujue kuna walakini,...
.
 
sasa hapo mm nataka kujua....kwa nini mwanamke akiwa hajazaa hapendi kabisa kuonyesha maziwa/matiti yake hadharani na hata anapoenda kuoga lazima atayaficha vilivyo yasionekane kabisa inakuwa kama sumu[hapa kwa sisi wa uswazi] alafu mwanamke huyo huyo aliye kuwa akifanya hivyo aje azae mtoto ooh utaona maziwa hadharani anayaanika wakati anamnyonyesha mtoto au mtoto kamaliza kunyonya yeye kajisahau basi ndo hivyo tena yanakuwa hadharani.
Je mwanamke kabla hajazaa matiti yake iwa yanakuwa marketable au???Na kwa nini wanayaficha sana kipindi hivho???
 
Je mwanamke kabla hajazaa matiti yake iwa yanakuwa marketable au???Na kwa nini wanayaficha sana kipindi hivho???
Mimi naona hii ni natural tu ndo tulivyoumbwa!Naona mtu akipata mtoto yale matiti yanakuwa haki ya mtoto wake ukizingatia ndo source ya chakulachake!So inakuwa haina haja kuficha source ya chakula cha mtoto
Asante!
Hollo
 
Kwa hiyo anavyo kuwa msichana au bado hajazaa anakuwa na aibu akisha zaa inamlazimu anyonyeshe hadharani???
Au akionyesha matiti hadharani akiwa binti lazima wazee watasema hana adabu ila akizaa akionyesha ooh sawa tu hapo sasa kwa nini>?Nalo si kosa jamani?
 
Sidhani kama kuna mwanaume anaweza pata mfadhaiko kwa kuona titi la mama anayenyonyesha!

---wewe wewe ndugu yangu, kuwa na tahadhari tafadhali sana!!
---huko maulaya kwenu ndiyo usiombee kabisaaa, majitu yanakula hadi nyama za watu huko!

---juzi juzi kuna mmoja limekamatwa kwa kuwafungia watoto wake ambalo lilizaa na binti wake lenyewe (yaani najisikia kinyaa hata kuongelea)

---mimi hapa mwenyewe nilipobahatika kuwepo huko kwa muda kuna siku nilikumbana na bahati mbaya ya kukutana na limoja ambalo nililifurumua toka dukani.. nilikuwa ndani ya duka la cd za miziki, mara nikaliona jitu linakuwa linafatafata wanawake kwa nyuma. sijui machale yalinicheza vipi maana nililiona limeshika ka video camera kadogo mkononi, nikaanza kulichora lilichokuwa linataka kufanya. halikunistukia.... nikajifanya natazama tazama cd kwa jicho la pembeni nikilitazama nikifikiria kuwa lilikuwa linataka kuiba cd. mara hilo likainama chini pale mwanamke aliyekuwa amevaa sketi alipopita...lilidondosha cd kutoka kwenye shelves makusudi... kumbe wakati lina ziokota kamera yake ilikuwa on, hivyo lilikuwa linamrekodi huyo mama kwa chini ndani ya sketi yake... lilinishtukia kuwa nimeliona linachofanya, dah, niliposhituka na kuelewa lilichokuwa linafanya nikaondoka mara moja pale na kuwa approach security.... jamaa lilitimua mbio kabla hata sijawafikia security!!

---na kutahadhirisha sana mwenzangu, be careful, kuna ma perverts na ma voyeurs/peepers duniani. the problems is you won't know the extent of their perversions. Baadae.

SteveD.
 
Kwa hiyo anavyo kuwa msichana au bado hajazaa anakuwa na aibu akisha zaa inamlazimu anyonyeshe hadharani???
Au akionyesha matiti hadharani akiwa binti lazima wazee watasema hana adabu ila akizaa akionyesha ooh sawa tu hapo sasa kwa nini>?Nalo si kosa jamani?

...Fidel, zama hizi za G-strings, thongs, na push up bra, hizo haya na staha kwa wazee/hadharani eti zishapitwa na wakati, no wonder mambo hadharani!

...Thumbs up kwa kina mama wachache 'waliobakia' wanaojistiri maumbile yao, hata wakati wa kunyonyesha.
 
...licha ya kunyonyesha hadharani, tabia nyingine inayonikera ni hii ya mwanamke kutokuvaa 'ternity'...!
--mchongoma, hilo mimi sina tatizo nalo hata kidogo... hata wasipofunika kwa asilimia 98% hilo halitanikera... maana naamini kuwa duniani culture zinatofautiana na hubadirika, utaalam wa kujisitili kwa mavazi unatofautiana na husambaratika duniani.

--mfano, miaka 270 iliyopita, je mama wa bibi wa bibi zetu walipokuwa wajawazito walijifunika na nini?

--pia, kule umasaini au kule swaziland, je akina mama wajawazito wanajifunika maumbile yao by 100%?!

--hivyo mimi naona hili ni blurred area ambayo ni cultural na subjective judgement juu yake inakuwa vigumu kui-justify.

SteveD.
 
-pia, kule umasaini au kule swaziland, je akina mama wajawazito wanajifunika maumbile yao by 100%?!

SteveD.

...You may be right SteveD, hasa unapokuja kwenye how people perceive things, na ndio maana nakereka. Asili yangu ni kuona mwanamke anajistiri, na hata mimba inastiriwa kwenye mavazi yake, sio kufanywa kituko.

mwanamke wa ki Swazi akijenga;
View attachment 1744

kina mama wa ki Swazi;View attachment 1745

familia ya kihadzabe;View attachment 1746

Wanamke wa kimasai, wakikamua maziwa;View attachment 1747

...Kwenye royal Swazi reed dance yale mavazi wanayovaa wale wasichana 'bikira' ni mavazi rasmi kwa shughuli ile tu, sio mavazi ya kawaida yanayovaliwa kila siku.
 
rrrrrgh... leo jioni baada ya kusoma thread hii... nilianza kusikia harufu ya maziwa ya kopo au fresh yaliyochemshwa yakiungulia hivi.. ;)

....giza limeingia nami nimeamua kupata kinywaji changu.... tatizo kila nikinywa togwa yangu nasikia kwa mbali harufu ya maziwa ya mgando kama ile inayotokea pale vichanga vinapo cheua... :( ... sijui vipi hiki kibuyu, naona hawakukiosha vizuri... ugumu ni kwamba kila kikioshwa kwa sabani kinabakia na harufu ya sabuni, na nikikisuuza tu haya mambo ndiyo yanajitokeza... rrrrrgh..

kwi kwi kwi... wewe sasa naona wazimu umekufikia babuu... una hangover ya
maziwa ama nini?...sasa hatujui kama ni ya mtindi au freshi...LOL!!

Acha sasa nami nikuchekeshe babuu.... Miaka miwili iliopita niliende kukutana
na wakuu wa Ganda(Immigration Officers) na nikawa na wasiwasi kweli.Basi wakili wetu, mama mmoja wakiyahudi akatutonya mimi na mke wangu (ambaye alikua mnyamwezi) kua maswali yakizidi bila muelekeo, basi la kufanya nikumchuna mtoto wetu aliyekua na miezi takriban sita na pindi aanzapo kulia, toa nyonyo umpachike mdomoni.Lahaula!!!!...niliona kama tuko uswahilini vile.

Tulipoingia mle ndani kukutana na kina yakhe basi mambo yalianza poa mpaka tuliopofikia ule ujinga wa...'mkeo anapenda rangi gani,sijui mlikula nini on your first date...n.k'.My wife wangu, just like she was reading on cue, did like she had been told.Amini usiamini we were out of there in minutes.Mama wa kizungu aliyekua anatuhoji became vividly disgusted pamoja na kibaraka f'lani aliyekua amekaa pembeni....Moyoni nilikua navunjika mbavu maana niliona bonge la dili na ikabidi wakili wangu wakiyahudi nimpe cash yote kwa mbinu zake kali...BTW kadi ya kijani ilidunda mlangoni within no time na mpaka wa-leo hua nacheka nikikumbuka hio siku.

Kwa hivyo kina mama, hususan wa kikwetu, endeleeni kuwapa watoto Nido na
msiogope macho ya wanaume kwani wataishia kunawa tu na kula hawaliiii!!!
 
Amazing tale Ab-Titchaz!! Thanks.... kingine, nasikia watu huwa wanaulizwa hadi rangi za chupi/vinasa za wenzawao! yaani wanakubandika na maswala so personal unaweza hata kuwaziria maganda yao.. nashukuru Mungu mlifanikiwa... ujio wa huyo dogo ulikuwa well timed!! .... lol
 
Hiyo shughuli ya kujificha ili kunyonyesha si nitapitwa na mavituz harusini? Vinginevyo nisihudhurie kabisa; ila napenda sana nihudhurie, tafadhali.

Kama nyonyo ni ndefu kiasi kwamba inafika mgongoni, je ukimtupia hata ukiwa umembeba kuna ubaya wwt?

Honey, you are so funny! he he heeee, mie sipendi kama nini ukinyonyesha hadharani basi tu navumiria sitaki kukuudhi.
 
Nilionja siku moja katika sarakasi nikajikuta nayaonja.......mhh yana radha sio nzuri na nilijisikia kichefuchefu kidogo nitapike......nilikoma

Wakina mama wakishajifungua kwanza huwa wanakuwa hawana aibu kutoa nyoyo hadharani haina noma hata ukilishika hawashituki tofauti na wale zilizochongoka

Inakuwa shida sana mama anapokuwa ananyonyesha na katika nanino anataka lazima matiti yake yanannino....:) Njemba mmoja...:) iliwahi kunihadithia kwamba maziwa ya mama yana ladha tofauti kutegemea na chakula anachokula. Kama anakula matunda hasa mananasi, mapapai na machungwa basi yanakuwa matamu na kama anakula nyama sana basi ndiyo yanakuwa na ladha inayoweza kukufanya ukasikia kichefuchefu.

Njemba inadai ilionja maziwa wakati inaninoo maziwa ya mawaifu wake na ndio ikagundua kama kuna ladha mbili tofauti na baada ya kufanya uchunguzi wa kina ndio ikagundua ni wakati gani maziwa yanakuwa na ladha nzuri hata kwa njemba na wakati gani yanakuwa na ladha mbaya.
 
katika kipindi chote cha uchunguzi, dogo arikuwa napata kitu hapo baada ya jamaa kujishindia chakula yake.
 
katika kipindi chote cha uchunguzi, dogo arikuwa napata kitu hapo baada ya jamaa kujishindia chakula yake.

LOL!...kama njemba ilikuwa haimalizi msosi basi inaelekea dogo alipata msosi wake kama kazi...:)
 
Mtoto inapaswa alishwe ad libidum kwa hiyo kina mama washukuriwe kwa kuwanyonyesha wakati wowote wanaohitaji.ikumbukwe kuwa this is not about making the public happy or anything, its about ensuring the babies get enough nitrients.
 
Na imagine kama vichanga navyo vingekuwa vinauwezo wa kuongea ili vijitete katika hili, nadhani kauli zao zingemaliza kabisa mjadala huu sehemu mbali mbali duniani. Kwenye nchi zinazodai zina haki za binadamu kwenye masurper markets au malls akina mama wanaonyesha wanaambiwa wakanyonyeshee vyooni!!! ili kutoonyesha sehemu ya matiti yao hadharani!!!! hebu mwambie mtu mzima anayekula hadharani hastahili kufanya hivyo au akalie chooni, purukushani zake zitakuwa za patashika nguo kuchanika na anaweza kabisa kufungua law suit.
 
Back
Top Bottom