Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

...QM, wakati unaandika hivi nauhakika ulinifikiria mimi... weee haya bana. Kamwe, nakuhakikishieni hapa kwa vile nimejitolea kumsaidia mama, miye sita - mid-air intercept hilo titi!!

Haka ka sentensi ka mwisho kanaonyesha SteveD muhuni weye.
 
Tunarudi palepale yeah its not an offense lakini mbona mkiangaliwa (macho hayana pazia) mna throw very disgusting looks?
At least cover yourself with those nursing covers as suggested by one of the members.

kwa kweli mie huwa hata muda wa kufikiria kuwa mtu ananiangalia huwa sina hasa huyu mwanagu mkubwa, aah namwachia ajinafasi popote pale, akisema tu mama nyonyo, namwambia jichukulie mwenyewe!

Ukisema tukiangaliwa unamaanisha wanawake wote au baadhi? Kama baadhi nitakubaliana na wewe kiasi fulani. Labda unawaangalia kwa macho mengine na wakishashtukia wanakuwa furious kwa sababu wakati wa kunyonyesha aina fulani ya feelings zinapungua. hivyo ukikodolea nyonyo yake huku unameza mate wanaanza kujisikia kichefuchefu na ndio inakuwa mwanzo wa kutolewa mimacho.
 
Tatizo unaweza kulitupa mgongoni ukafikiri mtoto atalidaka kumbe lifedhuli fulani limempiga kikumbo mtoto na kujipendelea lenyewe....

sio rahisi, kwani kuna hisia za hali ya hatari so utashtukia mapema.

Hivi kua aliyewahi kuonja maziwa ya mama (kutoka kwa wake zenu/wachumba/girlfriends) yana test gani?
 
...QM, wakati unaandika hivi nauhakika ulinifikiria mimi... weee haya bana :( . Kamwe, nakuhakikishieni hapa kwa vile nimejitolea kumsaidia mama, miye sita - mid-air intercept hilo titi!!

Hapana bwana, nilikuwa simaanishi wewe ndio utafanya hivyo.

Kwani kazi yako ya kushikilia mtoto si itahitajika pale tu mtoto atapokabidhiwa nido kwa mbele?

Huko nyuma mtoto lazima atakuwa ndani ya mbebeo... kwa hiyo huna kibarua tena.
 
Hivi kua aliyewahi kuonja maziwa ya mama (kutoka kwa wake zenu/wachumba/girlfriends) yana test gani?

Mama, huo muda wa kuonja utapatikana kweli. Maana Jr. kila akiona unapeleka mkono karibu na chuchu anakunja sura... ukisogelea karibu tu, hicho kilio atachoangusha.... sembuse upeleke domo lako!!!!
 
Mama, huo muda wa kuonja utapatikana kweli. Maana Jr. kila akiona unapeleka mkono karibu na chuchu anakunja sura... ukisogelea karibu tu, hicho kilio atachoangusha.... sembuse upeleke domo lako!!!!

kuna jamaa mmoja huwa anayakomalia usiku hadi yanaisha, inaibidi mama aamke mapema kuanza kunywa supu ili dogo naye ajipatie. Yaani huyo mama akitaka varangati na mumewe lianze amnyime nyonyo, basi maskini mama huyu yu kama ana mapacha!
 
Hivi kua aliyewahi kuonja maziwa ya mama (kutoka kwa wake zenu/wachumba/girlfriends) yana test gani?
....we dare to talk openly Mama, ningeweza kabisa kukujibu, ila naanza kujisikia tunakiuka taboo zetu... some things are just forbidden fruits even to talk about...

....mama, miye ninautundu wangu, lakini kwenye hili siwezi kukujibu, isitoshe ninayetaka kumjibu ni "mama"

....ila nakuhakikishia kuwa ulaya maziwa ya kina mama ni bonge la deal kwa mi-perverts fulani fulani huko ambayo hu-fantasize kunyonyeshwa na kuvikwa nepi kwa malipo.

SteveD.
 
Mtupie mgongoni uone wenye kiu kweli wanalidaka na kulifyonza.
Hujawahi sikia mtu kabakwa kisa alikuwa ananyonyesha?

Watu wanabakwa katika mazingira tofauti. Punguani huweza kumbaka hata ajuza wa miaka 90! Bado sababu hii si muafaka kuwazuia akina mama wenye watoto wachanga kunyonyesha hadharani. Ni undumila kuwili kwa watu wazima, wao kula hadharani ni sawa kabisa wakati huo huo hawataki kuona vichanga vikinyonya hadharani kwa sababu ya mawazo yao finyu yaliyojawa na matamanio yao. Ni taahira tu ambaye atamuona mama ananyonyesha hadharani na kutaka kumbaka, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kabisa kufanya uharamia kama huo.
 
kuna jamaa mmoja huwa anayakomalia usiku hadi yanaisha, inaibidi mama aamke mapema kuanza kunywa supu ili dogo naye ajipatie. Yaani huyo mama akitaka varangati na mumewe lianze amnyime nyonyo, basi maskini mama huyu yu kama ana mapacha!

m m m m m m m , makubwa, wa wapi huyo!!!
 
Watu wanabakwa katika mazingira tofauti. Punguani huweza kumbaka hata ajuza wa miaka 90! Bado sababu hii si muafaka kuwazuia akina mama wenye watoto wachanga kunyonyesha hadharani. Ni undumila kuwili kwa watu wazima, wao kula hadharani ni sawa kanisa wakati huo huo hawataki kuona vichanga vikinyonya hadharani kwa sababu ya mawazo yao finyu yaliyojawa na matamanio yao. Ni taahira tu ambaye atamuona mama ananyonyesha hadharani na kutaka kumbaka, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kabisa kufanya uharamia kama huo.

we BAK, you are misunderstnding me and others who have raised their issues here, ukweli ni kwamba mtoto anyonyeshwe popote pale, BUT kuondoa aibu ya kujionyesha hadharani kwa mama na kumpa mtoto nafasi ya kuconcentrate, ndio maana nikasuggest kutumia feeding covers, hata tulipokuwa tunakua wengi wetu tuliambiwa tusile vitu barabarani. depende on where u grew up ;)

pili wengi wetu tumelelewa kwenywe mazingira ya dini ambayo haturuhusiwi kutembea uchi, sasa kwangu mie lazima nitatumia hiyo cover tu, kama wengine wamezoea kuonyesha vitu vyao, kauli yao!

so really the issue here is not abt the actual feeding but how u do it, which will depend on personal preferences.
 
m m m m m m m , makubwa, wa wapi huyo!!!

wa Tanzania, anapenda sana nyonyo, dawa yake huyo ni nyonyo tu, anakuwa kama mume bwege...atapika, atafua, ataenda sokoni na kufanya kila kitu ambacho wanaume hawapendi kufanya.
 
we BAK, you are misunderstnding me and others who have raised their issues here, ukweli ni kwamba mtoto anyonyeshwe popote pale, BUT kuondoa aibu ya kujionyesha hadharani kwa mama na kumpa mtoto nafasi ya kuconcentrate, ndio maana nikasuggest kutumia feeding covers, hata tulipokuwa tunakua wengi wetu tuliambiwa tusile vitu barabarani. depende on where u grew up ;)

pili wengi wetu tumelelewa kwenywe mazingira ya dini ambayo haturuhusiwi kutembea uchi, sasa kwangu mie lazima nitatumia hiyo cover tu, kama wengine wamezoea kuonyesha vitu vyao, kauli yao!

so really the issue here is not abt the actual feeding but how u do it, which will depend on personal preferences.

Ukiingiza maswala ya dini basi mimi sina la kusema, lakini wako wengine waislamu ambao nimeshawaona wakinyonyesha hadharani bila matatizo yoyote na wala kujisitiri. Si unajua kuna waislam wale maninja wanaojifunika mwili mzima na kuacha macho tu....:), wengine wanavaa nguo ndefu na ushungi na wengine wao huenda na fashion hivyo mavazi ya kininja na kujifunika ushungi vichwani mwao hayamo kabisaaaa....;)
 
Kinachokera kwenye suala hili ni jinsi ambavyo matiti ya mwanamke yanashuka thamani ghafla baada ya kuanza kunyonyesha. Ni matiti hayo hayo ambayo mwanamke angekuwa tayari kufa kuliko kuyachomoa kwenye dalala kama angekua hajazaa.
 
rrrrrgh... leo jioni baada ya kusoma thread hii... nilianza kusikia harufu ya maziwa ya kopo au fresh yaliyochemshwa yakiungulia hivi.. ;)

....giza limeingia nami nimeamua kupata kinywaji changu.... tatizo kila nikinywa togwa yangu nasikia kwa mbali harufu ya maziwa ya mgando kama ile inayotokea pale vichanga vinapo cheua... :( ... sijui vipi hiki kibuyu, naona hawakukiosha vizuri... ugumu ni kwamba kila kikioshwa kwa sabani kinabakia na harufu ya sabuni, na nikikisuuza tu haya mambo ndiyo yanajitokeza... rrrrrgh..
 
...hakuna ubaya, ila ni vizuri mama akiwa kajistiri. Ngoma inakuja kuwa ngumu mtoto keshavuka miezi kadhaa hataki kufunikwa, mbaya zaidi awe ananyonya huku mkono mwingine anang'ang'ania kuchezea chuchu, aaarrrggghhh....!
 
sio rahisi, kwani kuna hisia za hali ya hatari so utashtukia mapema.

Hivi kua aliyewahi kuonja maziwa ya mama (kutoka kwa wake zenu/wachumba/girlfriends) yana test gani?
Nilionja siku moja katika sarakasi nikajikuta nayaonja.......mhh yana radha sio nzuri na nilijisikia kichefuchefu kidogo nitapike......nilikoma

Wakina mama wakishajifungua kwanza huwa wanakuwa hawana aibu kutoa nyoyo hadharani haina noma hata ukilishika hawashituki tofauti na wale zilizochongoka
 
breast feeding in public siyo mbaya .. ila the best way ni utembee na kipande cha kanga unajifunika kanga kuanzia shingo ; kifuani na mtoto pia then unatoa ziwa ukiwa umejisitiri

Wazee wetu wanatuambia kwamba mtoto anaenyonyeshwa in public bila kustiriwa anakuwa hana aibu mpaka ukubwani .. ndiyo maana sikuhizi aibu duniani hamna .. i guess they are right
 
Kunyonyesha hadharani sio kosa kabisa!mimi mwanangu akitaka nyonyo hata iwe wapi anapata tu na wala sidhani hata kama kuna haja ya kufunika funika!
 
Back
Top Bottom