KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,584
- 4,183
Anakamatwa mdhamini wake ambaye utakuta ni mzazi wa huyo anayedaiwa. Mzazi sasa ni mstaafu na anatakiwa aitoe hiyo pesa kupitia "tundu" (sorry to say so) lolote kile hadi pesa hiyo ipatikane.Sifahamu sana kuhusu HESLB lakini kwa hali ya kawaida kama mkataba(makubaliano) yalionesha mengine na badae yakaja kubadilika si huwa kuna haki ya kukataa kulipa?
Ikitokea deni halijalipwa kabisa ni hatua gani inafanyika kwa aliyekataa kulipa?