Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 2,987
- 4,886
Makapuku wanapeleka tu Pesa kumtajirisha tajiri mmoja ambae anautumia ujinga wao kujitajirisha,Inafikirisha sana🤔🤔
Makapuku wanapeleka tu Pesa kumtajirisha tajiri mmoja ambae anautumia ujinga wao kujitajirisha,Inafikirisha sana🤔🤔
Andiko gani linasema Mungu ana nafsi tatu?Kitendo cha kumgawa Mungu katika nafsi tatu tayari umeshatekwa kimawazo. Ni mtu wa kuitikia tu bila kuhoji.