Unyanyasaji wa hali ya juu Arusha Sunrise Radio...

Nani mmiliki wa hii radio?

dada mmoja wa kiarusha aliolewa na mzungu na lengo la hiyo redio ilikuwa ni kuajiri walemavu na kuwapatia ajira kwa sababu kuna misaada hii redio inapokea toka nje kwa ajili ya kuwalipa hao walemazi hiyo ilikuwa mwaka 2003 sijui kwa sasa kma imeishabadilisha malengo.
 
Basi huyu dada na kupe ananyonya jasho la wazungu wanao tuma pesa na ananyonya jasho la wafanyakazi
 
dada mmoja wa kiarusha aliolewa na mzungu na lengo la hiyo redio ilikuwa ni kuajiri walemavu na kuwapatia ajira kwa sababu kuna misaada hii redio inapokea toka nje kwa ajili ya kuwalipa hao walemazi hiyo ilikuwa mwaka 2003 sijui kwa sasa kma imeishabadilisha malengo.

Kwa hiyo inawezekana hawa waajiriwa wote wameorodheshwa kama walemavu wanaosaidiwa, kumbe wao ndio wanalisha tumbo la "mwekezaji"!!!
 
Kama serikali yenyewe ni wababe..." asiye taka mshahara huu akatafute kazi kwingine..." unatarajia nin i kutoka sekta binafsi.. hawa wataondoka na madeni yao na wengine watakuja kwani uhaba wa ajira, ubinafsi wa watanzania na viburi vya waajiri ikiwemo serikali ya magamba inasababisha hayo...angalia kwa mzee madiba watu 44 wameuwawa na mgomo uko pale pale...watu wanapiga kambi mbele ya mgodi, wake zao wako nyuma yao wakiimba huo ndo mshikamano
 
dada mmoja wa kiarusha aliolewa na mzungu na lengo la hiyo redio ilikuwa ni kuajiri walemavu na kuwapatia ajira kwa sababu kuna misaada hii redio inapokea toka nje kwa ajili ya kuwalipa hao walemazi hiyo ilikuwa mwaka 2003 sijui kwa sasa kma imeishabadilisha malengo.

kumbe redio imepatikana kitandani !
 
Back
Top Bottom