Unyanyapaa ndio KINGA pekee ya UKIMWI

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
Katika Maandiko Matakatifu, UKOMA kama ulivyo UKIMWI ulikuwa ugonjwa wa kuambukiza usio na tiba wagonjwa walitenngwa. Tusome Mambo ya Walawi 13:45-46.
Mtu mwenye ukoma aliye na pigo ndani yake, atavaa nguo zilizoraruka, na nywele timutimu; na ataufunika mdomo wake wa juu na kusema, "Ni najisi, ni najisi" Kwa siku zote ambazo pigo litakuwa ndani yake atakuwa najisi, ataishi kwa upweke katika makazi yake, nje ya kambi.
 
Tafakari upya hii kauli yako itapendeza kama
utafuta kauli na kuomba radhi kwa wadau
hapa JF. Hata kama ipo huku JF CC bado ni
hoja hatari, Tofautisha magonjwa yanayoenezwa
kwa hewa n.k na HIV. Si un aona wagonjwa wa
kipindupindu wanavyotengwa? Cause ni tafauti
kabisa na HIV
 
Dr.RIWAAA!! uko wapi unisaidie kupa somo huyu kijana anaeshindwa kutofauticha kati ya NJAA na UROHO???
 
Katika Maandiko Matakatifu, UKOMA kama ulivyo UKIMWI ulikuwa ugonjwa wa kuambukiza usio na tiba wagonjwa walitenngwa. Tusome Mambo ya Walawi 13:45-46.
Mtu mwenye ukoma aliye na pigo ndani yake, atavaa nguo zilizoraruka, na nywele timutimu; na ataufunika mdomo wake wa juu na kusema, "Ni najisi, ni najisi" Kwa siku zote ambazo pigo litakuwa ndani yake atakuwa najisi, ataishi kwa upweke katika makazi yake, nje ya kambi.

Tafuta msaada wa kisaikolojia haraka iwezekanavyo!
 
Tafakari upya hii kauli yako itapendeza kama
utafuta kauli na kuomba radhi kwa wadau
hapa JF. Hata kama ipo huku JF CC bado ni
hoja hatari, Tofautisha magonjwa yanayoenezwa
kwa hewa n.k na HIV. Si un aona wagonjwa wa
kipindupindu wanavyotengwa? Cause ni tafauti
kabisa na HIV

LOoo! nimegusa maslahi ya majority, hasa NGOs. Nasikia hata donors wameanza kujiengua, ni kweli?!
 
Back
Top Bottom