Unyanyapaa kazini umekithili

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
998
1,000
Habari!!
Mimi ni mhanga wa hili tatizo,sijajua kwa wengine!!Siku hizi waajiri wanawanyanyapaa wafanyakazi kwa kisingizio cha ugumu wa maisha,mtumishi hapewi likizo,kutukanwa nk.Mimi ni mwalimu wa awali,utakuta eti mtoto wa tajiri anaingilia kazi yangu tena atakavy,duh!!
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,985
2,000

Ukikumbali kuajiliwa hayo yote lazima uyavumilia nisehemu ya mchezo huo.....wala usilalamike jibu nikujiajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adilinanduguze

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
983
1,000
Habari!!
Mimi ni mhanga wa hili tatizo,sijajua kwa wengine!!Siku hizi waajiri wanawanyanyapaa wafanyakazi kwa kisingizio cha ugumu wa maisha,mtumishi hapewi likizo,kutukanwa nk.Mimi ni mwalimu wa awali,utakuta eti mtoto wa tajiri anaingilia kazi yangu tena atakavy,duh!!
Sometimes you need to lose the battle so that you can win the war.

Zidisha kujifanya fala huku ukiangalia sehemu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trainer

Member
Dec 28, 2018
87
125
Habari!!
Mimi ni mhanga wa hili tatizo,sijajua kwa wengine!!Siku hizi waajiri wanawanyanyapaa wafanyakazi kwa kisingizio cha ugumu wa maisha,mtumishi hapewi likizo,kutukanwa nk.Mimi ni mwalimu wa awali,utakuta eti mtoto wa tajiri anaingilia kazi yangu tena atakavy,duh!!
Ukiskia able to work under pressure ndo hiyo sasa . Kama cv yako umeweka kwamba u can work under pressure basi ulidanganya.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Johsal

Senior Member
Oct 23, 2014
158
250
Una nafasi kubwa ya kufanya kitu kizuri out of hayo manyanyaso. Huwa naamini kuwa IF GOD WANT TO ELEVATE YOU, HE MAKES YOU UNCONFORTABLE.....be positive and think what the best you can do, sulely utatoboa na hayo yoote unayopitia yatakua story tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rolla

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,057
2,000
"....ukitaka kula sharti uliwe japo kidogo....teh teh teh teh...sina maana hiyo...." Rais wa awamu ya nne H.E Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom