Sexless
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 9,016
- 2,000
Huyu mtu anaye wakomoa hawa Waheshimiwa hana roho ya utu, hana ubinadamu na kwa kweli siyo mtanzania
Watanzania bara huwa wana simile, wana kiasi na wana huruma. Watanzania visiwani wana muhali na huruma. Huyu anayewatesa wahe Mbowe na Matiko anatoka upande upi wa Tanzania?
Kwa hali ya kawaida tu, kiubinadmu na kiutu wanayofanyiwa Matiko na Mbowe hayakubaliki
Walahi ninaapa mbele ya mbingu na ardhi ya kwamba ipo siku maumivu na mateso yao yatajibiwa kwa vitendo.
Nimekasirika sana, unayechangia mada hii kuwa makini.