Unyama Wa Serekali Tanzania Washangaza Dunia: Ripoti Mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unyama Wa Serekali Tanzania Washangaza Dunia: Ripoti Mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kenyan-Tanzanian, Nov 9, 2007.

 1. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu Majirani Wetu,

  http://www.hrw.org/reports/2002/tanzania/

  Kwa kweli haya yanatisha. Yaani sasa ni bayana hamna tofauti kati ya Tanzania na Kenya ilivyokuwa katika awamu ya Mstaafu Rais Toroitich Moi

  Hii ripoti inahuzunisha lakini naomba kuelezwa kweli ni nini haswa mbali na CCM inaikandamiza Tanzania na misingi aloweka Nyerere?
   

  Attached Files:

 2. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2007
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kenyan-Tanzanian, asante kwa ripoti. Lakini imetolewa lini? na nani? haya ni muhimu katika kujua kama tunajadili suala lililokwisha jadiliwa au la...na chombo kipi kimetoa inasaidia kupima credibility ya yaliyomo, nisahihisheni kama nakosea ndugu.
   
 3. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..hili suala lilishaongelewa sana huko nyuma!

  ..wenye makosa wakaambiwa na kusutwa!

  ..kwasasa hakuna jipya hapo!
   
 4. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2007
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Dar Si Lamu...nilitaka kuhakikisha tu kama kumbu kumbu yangu ni sahihi. Thanx
   
 5. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kenyan-Tanzanian ameweka link ya chanzo cha habari,ukisoma utaelewa ripoti ilitoka lini,mimi nimefungua link source ni Human right watch,ripoti ya April,2002.Nafikiri hakujua kama ilikwisha jadiliwa,lakini hata kama ilikwisha jadiliwa ameomba kueleweshwa ukweli.Nakushauri ndugu kenyan-Tanzanian fanya marejeo ya post zilizopita kama hutapata majibu huko nafikiri unaweza kuuliza tena,au unaweza kuuliza sasa swali mahsusi kuhusu ripoti hii nafikiri utapata majibu hapa JF
   
 6. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2007
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Asante Ndugu kwa hilo.
   
Loading...