Akifanya hivyo atajikuta ana kesi isiyo ns dhamana!Kama ni kweli afungue kesi,hatutaki watu kuonewa bila makosa.
Weka akiba ya maneno ,mwenzako akinyolewa zako tia maji, vitu vingine soma kisha uviache, hapo huwezi jua nani anamakosa ww kaa kimya tuSiamini hata kdg kama vyombo vyetu vya ulinzi na amani vinaweza kuonea watu bure, HAPANA. Lazima kuwe na sababu, kutofuata amri au maelekezo: Mkiambiwa fuateni utaratibu hamsikii, mnataka vurugu, kutaka kuiingiza nchi kwa machafuko. Dawa ya moto ni moto, hapana chezea amani yetu, kaa mbali na chokochoko. Kuna baadhi ya watu wamelewa kwa ajili ya amani, siku tukiingia kwenye vurugu kama Libya tunaanza kujuta. Lazima amani, utulivu na mshikamano wetu ulindwe kwa nguvu zote.
Leo ACT wazalendo wanataka kuwasaliti wafuasi wao! Mungu anawaona.Mzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka wanako kujuwa wao na kumfanyia unyama huo. Mzee Ameir hapungukiwi miaka 80 kwa kukisia.
Allah ndie mlipaji
View attachment 1632457
View attachment 1632458
Wewe ndo ukae kmy, vitu viko wazi kabisa. Wapemba ni wakorofi sana, wasipothibitiwa ipasavyo hawakawii kulipuaWeka akiba ya maneno ,mwenzako akinyolewa zako tia maji, vitu vingine soma kisha uviache, hapo huwezi jua nani anamakosa ww kaa kimya tu
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
KWA maoni yako huyo mzee aliandamna?? Akwilina akifanya kosa gani? Nilipi kosa la Ben Mungu muweza akupe somo hayo makucha ya utawala ya mkute mmoja ya wanafamilia yako Kisha urudi hapa kuandika huu uharoSiamini hata kdg kama vyombo vyetu vya ulinzi na amani vinaweza kuonea watu bure, HAPANA. Lazima kuwe na sababu, kutofuata amri au maelekezo: Mkiambiwa fuateni utaratibu hamsikii, mnataka vurugu, kutaka kuiingiza nchi kwa machafuko. Dawa ya moto ni moto, hapana chezea amani yetu, kaa mbali na chokochoko. Kuna baadhi ya watu wamelewa kwa ajili ya amani, siku tukiingia kwenye vurugu kama Libya tunaanza kujuta. Lazima amani, utulivu na mshikamano wetu ulindwe kwa nguvu zote.
Ile risasi iliyotoa roho ya Akwilina alifanya kosa lipi nyinyi ni MADHALIMU hizo damu hamtokua na sabuni za kuziosheaAmevuna alichopanda, nani alimwambia afanye fujo, amlaumu aliemwambia akafanye fujo.
Yule mwanafunzi alipatwa na risasi bahati mbaya, ila chanzo ni maandamano ya chadema. Ndo maana wana kesi.Ile risasi iliyotoa roho ya Akwilina alifanya kosa lipi nyinyi ni MADHALIMU hizo damu hamtokua na sabuni za kuzioshea
Utawala katili wa kinyama kama huu unatakiwa kulaaniwa popote dunianiMzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka wanako kujuwa wao na kumfanyia unyama huo. Mzee Ameir hapungukiwi miaka 80 kwa kukisia.
Allah ndie mlipaji
View attachment 1632457
View attachment 1632458
Mi simkubali hata kidogo nasikia alikuwa dikteta hivihivi, pia katuachia katiba mbovu sn.Mwalimu nyerere ANGEYAONA HAYA HAKIKA ANGELIA KILIO KIKUU.
NCHI ALIYOIPIGANIA KWA DAMU NA JASHO WAO KWA WAO WAMEANZA KUCHINJANA KAMA WANYAMA.
Jiwe ni Mtusi ndio maana katili watanzania tulizoea kuishi kwa upendo.
Jiwe analipeleka wapi hili Taifa?
Pole zake, ajifunze kwa nini akina Zitto na Seif huwa hawaumiiMzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka wanako kujuwa wao na kumfanyia unyama huo. Mzee Ameir hapungukiwi miaka 80 kwa kukisia.
Allah ndie mlipaji
View attachment 1632457
View attachment 1632458