Unyama Huu wa Baadhi ya Watanzania Unaharibu Taswira ya Taifa Letu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unyama Huu wa Baadhi ya Watanzania Unaharibu Taswira ya Taifa Letu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ibange, Aug 13, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bystanders

  Soma habari hii ya kusikitisha jinsi Watanzania wenzetu wasio na ubinadamu walivyowatendea majeruhi Wakenya
   
 2. i

  ibange JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
 3. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135


  Watanzania wanaopata ajali karibu kila siku wanatendewa hivyo hivyo sasa cha ajabu nini? au kwa sababu yamewakuta wageni imekuwa tabu, na kukuuma sana?

  Halafu kwa nini wanatoa habari ya upande mmoja ni nani aliwachukua na kuwapeleka hospitalini tumbi na Muhimbili hao majeruhi? na huko hospitalini ni nani aliwatibia kama watanzania ni wabaya hivyo?

  Usikubali kutumiwa kuangamiza upande wako simamia maslahi ya nchi yako na watu wako!

   
 4. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ok nimeisoma but but picha zinaonesha askari polisi wakimsaidia majeruhi kupanda ambulance kazi ambayo ilitakiwa ifanywe na wauguzi.Huoni kuwa huo ni ubinadamu wa hali juu?
  kwa hiyo wasilaumu kwa kila kitu,japo nakiri kuwa wezi waliochukua mali za marehemu baada ya ajali si kitendo cha kiungwana, nadhani ugumu wa maisha ndio unachangia ,na hii tabia si Tz tu bali hata huko kenya mambo ni hayahaya.
  nakumbuka mwaka 1975 mwanamuziki nguli wa TZ MBARAKA MWINSHEE MWALUKA ,alipata ajali mbaya huko kenya lakini naye yalimkuta hayahaya akafariki dunia kwa kukosa huduma na kuibiwa vitu alivyokuwa navyo wakati wa ajali.
   
 5. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Survivors of an accident in Tanzania which claimed 12 members of a church group on Sunday said the death toll might have been lower had there been quick response from the authorities and bystanders.

  “A group of locals gathered around us and just stared without doing anything as the victims were crying out for help while others were dying,” said Ms Agnes Muthoni Muhoro, a member of the Presbyterian Church of East Africa Women’s Guild.

  Gospel mission  She was among 84 mothers from six PCEA churches in Thika Parish, who were travelling for a week-long gospel mission to Dar es Salaam when calamity struck.

  Ms Muhoro, a teacher at St Patrick’s Primary School, said some of the bystanders even stole valuables from the dead before Tanzanian police arrived at the scene.

  Another survivor, Ms Mary Ndung’u, said some youths were demanding to be paid to help rescue the victims.

  Ms Margaret Mukora concurred, saying one of them was heard shouting “nyinyi wa mama wa Kenya si mtoe hela tuwasaidie? (Why don’t you women from Kenya give us some money so that we may help you).”

  However, the Women’s Guild national coordinator Veronica Muchiri and Juja MP William Kabogo praised the Kenyan government’s quick response to the tragedy by airlifting the injured to hospital.

  Earlier, relatives of the victims were overcome by emotions during a joint service for family members held at the PCEA Happy Valley Church in Thika. Rev Festus K Gitonga, the PCEA secretary general, conducted the service.
   
 7. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hilo si jipya, wanafanya hivyo hata kwa watanzania hata wakenya wanafanyiana hivyo. Heri wao wamekuwa wastaaarabu hawajawaibia kama wanavyofanyiana huko kwao Kenya. Wakenya wanapenda kulaumu watanzania kwa kila kitu hata kukataawao wasije kuiba ardhi yetu wakati yao inakaliwa na watawala wao. Wanyarwanda na warundi bado wanailaumu Tanzania kwa kukataa kuruhusu vita yao kuhamia kwetu na mengine mengi ya kipuuzi.
   
 8. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wala si kitu kibaya binadamu hata utendeje watapatikana wa kulaumu tu
   
 9. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  haya ni matokea ya kuwa na pengo kubwA kati ya masikini na matajiri.....kila mmoja anajaribu kuvuka kwa njia yeyote ile.....utu tumeuweka kando tunaabudu pesa/mali......Mungu tusaidie tuepuke na huu unyama
   
 10. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Na unataka kusema hili linafanyika kwa Wakenya tu? Tuweni wakweli na tuache kufanya quick, uninformed generalizations.
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wakenya wenyewe wamewashukuru watz kwa wema waliounesha wewe sijui unasema nini?kuhusu vibaka mbona hata polisi wakati mwingine hutia ndani vitu vya waathirika hasa vya marehemu.wezi wapo kila mahali hapa afrika.
   
 12. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  wakenya wenye 2huma hzo ni sawa na yule mjomba aliyeokolewa kutoka ndani ya 2mbo la joka lililomeza wanakijiji kizima,lakini kwa bahati mbaya mjomba alikatwa kidole katika harakati za kulipasua 2mbo la joka hilo...LAKINI MJOMBA HAKUONA WEMA ALOTENDEWA BADALA YAKE ALITUHUMU NA KULAUMU KUKATWA KIDOLE CHAKE.
   
 13. Bolibo

  Bolibo Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko sawa wewe ndiyo mwanaharakati wa kweli kwanza detail zako nizauhakika big up sana, sio hao wa Tanzania wanao jipaka matope kwa mikono yao wenyewe kwa kuwanufaisha wa kenya. naje wanafahamu mambo yote wanayofanya wa kenya kwa undani au wanalopokatu, waache hizo wala hazina tija kwetu.
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hiyo kuibiwa hata hilo basi lingekua lina watz tupu bado wangeibiwa mwizi hachagui kabila wala dini ye anaiba tu kotekote
   
 15. Dhuks

  Dhuks JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Shame on those who are ok with the act in the name of patriotism, shame on those who think it befell them because they are foreigners. A heinous act is a heinous act and we should all condemn it. It happens even in some parts of Kenya and its a very shameful act to be done by anyone calling himself an adult.
   
 16. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,838
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Yote Hili ni Tatizo!! Kwani ni Hatari sana kusafiri sehemu ya mbali without Knowing the way Halafu Usiku!! Why dont they arrange their Journey during the Day!! Oh God Bless them and Give them internal peace!!
   
 17. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,848
  Likes Received: 2,775
  Trophy Points: 280
  Hivi ajali yenyewe ilikuwaje?

  Hata hivyo mambo ya kuibiwa mpaka marehemu hata kwao yapo sana. Ulizeni wa-TZ waliopata ajali na mabasi yaliyokuwa yanasafiri kati ya Mza na Dar kupitia Nairobi! Ni aibu! Waache kulalama hao manyang'au!!
   
 18. Miss-Thang

  Miss-Thang JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Well said...I second you.
   
Loading...