Unyama gani huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unyama gani huu?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 12, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
  </td> <td width="606">

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Mwili wa mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, anayekisiwa kuwa na umri wa kati ya miaka 40 hadi 45, umekutwa ukiwa umetupwa katika bonde la Mkwajuni lililoko Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mwili huo ambao uliogunduliwa na watu waliokuwa wakikata majani ya kulishia mifugo, ulikuwa umeanza kuharibika kiasi cha kutoa harufu kali. Inakadiriwa kuwa huenda mwili huo ulitupwa hapo siku tatu au nne zilizopita.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuuangalia mwili huo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Picha ikiuonesha mwili wa mtu huyo ukiwa umeharibika vibaya. Taarifa zilizoelezwa baadae zinasema kuwa mwili ulizikwa eneo la tukio kutokana na kuwa umeharibika sana. Eneo hilo ni miongoni mwa maeneo hatari ya jiji la Dar es salaam kupita nyakati za usiku na hata kuharibikiwa gari usiku katika eneo hilo ni hatari, kwani kuna maficho ya wahalifu hatari.

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  r.i.p!!!!
   
 3. M

  Mimmah Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ndo mwisho wa dunia,unyama umezidi.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  tunahitaji rehema maalum
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni kisiwa cha amani.
  Sijui haya mambo kweli ndiyo amani yenyewe?
   
Loading...