kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,312
Wanabodi naomba mnishauri.
Jana nilikuwa Kata ya Mwavi katika kijiji cha Mkenge wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Lengo la mimi kwenda kwenye eneo hilo ni kutaka kununua shamba la heka 15 kwaajili ya kuanza kilimo cha kisasa cha Mananasi. Nimepata eneo la ndani sana maana maeneo ya karibu tayari yana wenyewe.
Natakiwa kulipa ijumaa ijayo lakini kabla ya kulipa ningependa mnisaidie ushauri na taarifa Zozote kuhusu maeneo hayo.