OFFORO
Member
- Aug 18, 2008
- 40
- 3
Wandugu, Wajameni, Kaka ,dada ,mama Na Baba
Katika Pitapita Zangu Katika Magazeti Ya Kibongo Nilikuta Habari Moja Ya Kuwa "tanzania Kupitia Vikao Halali Vya Bunge Kuwa Ina Mpango Wa Kununua Rada Mpya Ya Hali Ya Hewa"
Hii Habari Ilitolewa Maoni Na Baadhi Ya Watz Sasa
Baadhi Walikubali Ununuzi Huo Wa Rada
Wengine Walikataa Na Kusema Kuwa Hatuna Sababu Ya Kununua Rada Ya Hali Ya Hewa Kwa Kuwa Hali Ya Hewa Kwetu Tanzania Si Muhimu
Wadau Wa Jf
Nyie Mwasemaje?[/b]