Ununuaji wa korosho kupitia stakabadhi ghalani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ununuaji wa korosho kupitia stakabadhi ghalani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bartazar, Oct 4, 2012.

 1. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kuna tetesi kuwa wakulima wa Tandahimba na Newala watagoma kuuza korosho zao msimu huu kwa mfumo wa stakabadhi ghalani kwa madai kwamba mfumo huo unawanyonya. Kwa hiyo wamekubaliana kuwa wao wenyewe watapeleka korosho mnadani! Itakuwa hivi: Watatafuta soko na watakodi magari kwenda mnadani wenyewe. Kwa hiyo, kila kaya yenye korosho itamtoa mwakilishi mmoja!

  Mfumo wa stakabadhi ghalani umekuwa ukilalamikiwa sana kwamba umejaa ubabaishaji na una harufu ya ufisadi, hali ambayo imepelekea wakulima kupoteza imani kabisa kwa mfumo huo, ambao unaonekana kuwa na maslahi kwa viongozi kuliko wakulima wenyewe!
   
Loading...