Unukaji wa papuchi

Kidasa

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
309
108
Wana JF,Kuna hii ishu ya akina mama,kujaribu kufunga uzazi kwa muda kwa njia ya kitanzi au kijiti,katika njia zote zina side effects yake kwa mwanamke,lakini hii ya kitanzi japo akina mama wanaipenda binafsi nawaonea huruma kwani ni mateso tu:
1.Inamsababishia mdada kuchukua muda mwingi kukaa kwenye siku zake na damu kutoka kwa wingi.Hizo siku anazokaa zaidi ya siku 7 inasababisha mateso kwa mume wake kwani anakosa papuchi kwa wakati unaotakiwa,sometimes kumlazimu kutafuta ya pembeni.
2.Kwa vile anakutana mara kwa mara na mume wake,manii zinafika kwenye ukingo wa kitanzi na kugota hapo hivyo kusababisha harufu kali sana wakati wa kufanya tendo.KWA KWELI HII HARUFU UNAWEZA KUSEMA PANYA KAFIA KWENYE PAPUCHI.
Nawashauri akina mama the only safe way ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa ni kutumia Condom tu.Nyingine ni majanga sana.
 
Papuchi inanuka duu utalala kweli hivi hakuna pafyumu ya kupulizia kwenye shimo hilo ili isinuke na mpuliziaje sijui awe umbali gani akiiona live atazima hapohapo maana inatisha sana
 
Acha utoto mama yako hana papuchi. Acha matusi kwa wanawake kwa kejeli. Ujue kuwa na mama yako ana papuchi
 
Nileteeni zenye harufu mie nizame chumvini, Nani amewahi kula kitimoto bila shombo yake? UKITAKA CHA UVUNGUNI ......
 
Papuchi inanuka duu utalala kweli hivi hakuna pafyumu ya kupulizia kwenye shimo hilo ili isinuke na mpuliziaje sijui awe umbali gani akiiona live atazima hapohapo maana inatisha sana
Acha udhalilishaji wewe
 
Hizo siku anazokaa zaidi ya siku 7 inasababisha mateso kwa mume wake kwani anakosa papuchi kwa wakati unaotakiwa,sometimes kumlazimu kutafuta ya pembeni..

kwakuwa huyo mwanamke anapoenda zaidi ya siku saba hapati mateso.
mijianaume ya kibongo inatia kichefuchefu jinsi inaendekeza michepuko. hivi mnafikiri hao wanawake hawawazagi kulala na wanaume wengine?

yani siku hizi michepuko inaongelewa kama kitu cha kawaida kweli. hadi wanawake wanakubali kabisa mwanamume bila mchepuko haiwezekani.
kinachotia hasira ni kuwa ni wanawake wanaoamini katika monogamy. basi anakaa hapooo wanawaza huko duniani lazima kuna wanaume wanaweza kuishi in monogamy sema ni wachache na yeye hajabahatika kupata. basi wanabaki kujisikitikia.

basi mimi ndo nikae kumfariji....stupid women. the sad thing is i work to console them. stupid.
 
Toa solution mkuu hakuna tusi apo ili kama ke na ke wenzio wajue jinsi ya ku-avoid ilo tatizo

Ukiwa na mama na dada, shangazi, mtoto wa kike, mke huwezi kuandika kama alivyoandika huyo niliyemjibu. Na hakuna mwanamke anayenuka sehemu hizo. Wanawake wako makini sana na usafi wao. Huyo ni mpuuzi kutaka kuwadhalilisha watoto wa kike. Ajue kuwa anachokidhania kwa watoto wa wenzake na mama yake anacho, aende amuombe anuse!
 
Back
Top Bottom