Unpredictable rulings/judgements from justices of apeal with regard to interpretation of court of appeal rules (some rules). Natoa mfano

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
19,954
Points
2,000

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
19,954 2,000
Nimefuatilia sana hukumu be it rulings/judgements za waheshimiwa majaji wa Rufaa linapokuja suala la tafsiri ya Court of appeal rules, nimeona hakuna consistency. Hii inatokana na scenario kadhaa.

1. Overiding objectives enactment: Kila kundi la majaji (watatu katika kesi husika) wanatoa maamuzi wanayoafikiana wao kama wao na si kufuata/ hakuna guiding principle ya kufuatwa na Court of appeal as a whole.

2. Rule 106 (deleted subsection 9 and its replacement) of court of appeal rules (as amended 2017 amendments majaji are not predictable)..1) wanaweza waka dismiss, 2) wakasema endela na oral submission etc

Wanasheria/mawakili tusaidieni hapo.
 

Forum statistics

Threads 1,364,433
Members 520,742
Posts 33,316,197
Top