Unpomfumania Mkeo kwanini uwe Mbogo??Je yeye akikufumania??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unpomfumania Mkeo kwanini uwe Mbogo??Je yeye akikufumania???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Apr 7, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Sielewi nini kinachotusababisha tuwe na ubinafsi Fikiria weweunamfumania mkeo kwanza usipo muua utamua uliyemkuta naye au kumdhuru au kitu chochote kinachokaribia hapo!!Sasa inapokuja kwa Wewe mkeo/mpenzi wako kakufuma kwanza utafuta visingizio pili utaki kuukubali ukweli kama umefumaniwa mwisho uishia kusema mke/mpenzi wangu twende tukayamalizie nyumbani!!Nauliza hapa nivigezo gani hutumika kujiona wewe makosa kwako nibahati mbaya!??
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  fumanizi ni kukuta uume uko ndani ya uke. Sioni haja ya kuwa mkali nikimfumania. Ntasafiri zangu na kwenda Kitulo National Park nature ikatibu maumivu yangu ya moyo.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,099
  Likes Received: 24,115
  Trophy Points: 280
  Mwanaume kufumaniwa ni ushujaa na urijali: Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja

  Mwanamke kufumaniwa ni dhambi na fedheha kubwa. Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja tu!

  Ukimfumania mwanamke, piga chini.....tafuta mwingine.
  Wanawake acheni tabia mbaya ya kuwafuatilia wanaume zenu, mnataka hao wanawake lukuki wasio na wanaume nao wasifaidi? Uchoyo tuuu! Waone kwanza!
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeah, kwa wakristo unaruhusiwa tu kumpiga chini ukimfumania mkeo ana-do na mtu mwingine, ila maandiko yako silent if converse is the case, teh! Anyway, kufanya nje ya ndoa ni dhambi, tafakari.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  HOVYo!
   
 6. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kuna sred naiandaa na ikiwa tayari nitalembea hewani, nimeona hapa JF kuna wimbi la kulinganisha wanaume na wanawake. Lazima tukubali bana kwamba wanaume na wanawake ni tofauti kihisia, kimaumbile, kimtazamo, kijinsia nakazalika halkazalika, na tukikubali ukweli huu na kila mtu akakubali kubeba nafasi yake katika jamii, hapo dunia itakuwa paradiso ndogo. Amen!
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwingine huyo!
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  fafanua.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanaohalalisha mambo ya ajabu kwa visingizio vya tofauti kati ya mwanamke na mwanaume!
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  sayansi inathibitisha, maumbile yanathibitisha , imani zinathibitisha . Beijing peke yake ndio inakanusha tena bila sabab za msingi. naomba uniconvince ili niamini adhawaizi
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ningekukomvinsi sema baada ya somo utaishia kua king'ang'anizi so bora nikuache uendelee kupotoka!
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  katika principle zangu za maisha hakuna neno king'ang'anizi.
  bek to ze topik: kinachoshangaza ni kwamba mnaona kabisa matiti yamewekwa kifuani kwa mwanamke halaf mnataka mwanaume ndio anyonyeshe mtoto. sasa hapa ndio nafeli somo!
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mnyonyeshe nini?Vidole eeh?Swala hapa ni nyie kuona mna haki ya kufanyia wanawake ushenzi ila wao hawana!
   
 14. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Mkuu upo kwenye very thin line kuna mambo mengi sana ya kuangalia kabla ya kuja na jibu. Kwanza ni mila, pili ni dini gani unaikubali na tatu maadili ya wazazi wako. Zingatia kama ni dini inasema nini, kama ni mila nani mkuu wa nyumba na maadili kutoka kwa wazazi wako etc.

  Mfano kiafrika nani hutoa mahali na mahali huliwa na nani? Je kama hakuna mahali mipaka ipo vipi kati ya mke na mume?
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kabla kuendelea labda nikuulize, una moyo wa huruma?, kuna suala litafatia
   
 16. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kamanda naomba umpe Liz nafasi apumzike unamuandama kila thread ? you have been warned.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa nani?Labda kwa mwana/wanangu tu!Kwa wa aina yako sina kabisa!Mtu akifanya mchezo nampiga na mpini wa kichwa!Enhe...........?
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uporoto dearest you have been missed!Achana na Kloro anadhani bado anapatikana famasi na mimi namjulisha hata kwa bei ya bure chini ya kaunta hamna anaemtaka!
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe kamanda JF bila lizzy ni sawa na ugoro bila chafya, yaani hainogi. halaf michelle umempeleka wapi?
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  suala la nyongeza cancelled! lakini kuna point nilitaka kukupa kama ungejibu vere honest.
   
Loading...