Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

Tatizo firmware pa kuipata ndiyo nimeshindwa hiyo modem ni Shanghai notion m022, nikiipata firmware kila kitu kitakuwa sawa. Ina online dashboard unafanya update huko
Point ni kwamba Haiwezekani,na ikitokea ukapata hiyo fimware

wakati unajaribu ku update kuwa tayari kwa kuiua hio moderm
 
Point ni kwamba Haiwezekani,na ikitokea ukapata hiyo fimware

wakati unajaribu ku update kuwa tayari kwa kuiua hio moderm
Sasa firmware halisi ya Modem ambayo mi unlocked to all sim itaharibu vipi? Nachojua ukitumia wrong firmwarr ndiyo unaiua
 
Daah! Nilitaka ninunue hii ya TTCL kumbe ni changafire kuifungua tena..

Vipi ile ya Airtel wanayouza 70k na GBs 40? Inaweza kua unlocked..?
 
Ukipata jaribu uje unipe mrejesho boss
Sehemu ya upgrade ni hiyo hapo, tatizo software tu
IMG_20210425_153130_2.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom