Unlocking Huawei and ZTE modem

Salum Mwamini

Member
Apr 12, 2020
27
9
Habarini wana JF. Kwa leo ningependa kuja kutoa huduma ya bure kwa wale wanaotumia modem za mtandao mmoja (SIM Locked) na wanataka kuzifanya ziwe universal.

Comment hapa ntakua online kuwasaidia Inshaallah
images.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu..Nina Airtel ZTE ...Model: MF 190..Itawezekana...Maana nimeiweka tu kabatini
 
Usifikiri sijui kuunlock modem. Shida yako unataka upate hela. Sema kama nakuharibia dili. Nimetumia njia hiyo kuunlock modem yangu na ndiyo hii natumia kuandika comment hii. Hiyo namba ya whatsApp ya nini?
Mim mwenyew nimehisi anataka kupiga watu hela,nmemshaur mtu hapo wa mf190 atumie dc unlocker,yeye anakuja niquote eti nishawah jarbu hyo njia ? Wakt mf 190 imeshapata solution kitambo humu jukwani.. yeye anakuvuta WhatsApp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifikiri sijui kuunlock modem. Shida yako unataka upate hela. Sema kama nakuharibia dili. Nimetumia njia hiyo kuunlock modem yangu na ndiyo hii natumia kuandika comment hii. Hiyo namba ya whatsApp ya nini?
Nawe unatafuta viewers .
 
Back
Top Bottom