Unlock this puzzle: The 4 public servants in these photos have got one thing in common. What is it?

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Good luck....

IMG_20190725_221931.jpg
IMG_20190725_221926.jpg
IMG_20190725_221914.jpg
IMG_20190725_221920.jpg
 
Wote wala rushwa wakubwa! Lakini bado wanashika ofisi muhimu za umma!
Wote ni CCM
Wote ni wala rushwa wakubwa
Wote kesi zao za kupokea rushwa kubwa zilifutwa na kupewa vyeo vikubwa zaidi ya walivyokuwanavyo
Hii ndiyo Tanzania
 
Hawa wote makada wa ccm, matapeli wezi wapiga dili wanaominika na chama na kupewa uongozi.
Na hawa ndio wanaothibitisha ccm ni pango la wanyang'anyi
Jpm sijui anakwama wapi kuwatambua hao
 
Back
Top Bottom