Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,189
- 79,420
Hahhaaa!!naona elimu kidogo imekuingi sasa baada ya kuona katila sekta ya egovernance tumewapiga bao..
Umeona baadhi ya Wabunge wana-take part in Bunge sessions remotely? Huko Kunyaland mmesimamisha Bunge kwa vile hamna ready infrastructure for that!Hahhaaa!!naona elimu kidogo imekuingi sasa baada ya kuona katila sekta ya egovernance tumewapiga bao..
Enheee!!haya leo pia wacha upewe somo kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya kwa midomo hamuwezani lakini kwa ground ni Zero.
Wakumbushe mbwebwe zao za laptop per child