Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Wadau, ni kweli UDSM imetupwa mbali kiasi hiki safari hii? Nini tatizo..........?
URAP - University Ranking by Academic Performance
URAP - University Ranking by Academic Performance
Acha tu........... wamenistua hata mimi mkuu
Hao wana rank hivi vyuo ni matapeli tu utafiti wa academic perfomance wanafanyia wapi.
Haiwezekani UDSM iipiku UDOM wakati ndo chuo kikuu kikubwa east and central africa.Hivi inakuja akilini kweli?
pambaaaaaf sako ilikuaje ukajiunga JF?????yaani unapima chuo kwa wingi wa majengo??????shheeenzi au chuoni kwenu UDOM ndo walikua wanawapa moyo hivo kisam mna majengo mengi?????/kwa hali hii sidhani hata ka utapitia interview hata moja.Haiwezekani UDSM iipiku UDOM wakati ndo chuo kikuu kikubwa east and central africa.Hivi inakuja akilini kweli?
Hii URAP ranking is a bit suspect. Haijajieleza credibility yake. Pamoja na Tanzania kuwa na universities/colleges nyingi wame-rank tatu tu: UDSM, MUHAS na SUA ambazo ni public universities. Maana yake ni kwamba hawana taarifa za kutosha kuhusu Tanzania (hawakufanya research) au wanaokoteza information kutoka rankings zingine. TCU inapaswa kufanya utafiti na kutayarisha local ranking ya vyuo hapa TZ kwa kutumia vigezo dhahiri.
Haiwezekani UDSM iipiku UDOM wakati ndo chuo kikuu kikubwa east and central africa.Hivi inakuja akilini kweli?
Haiwezekani UDSM iipiku UDOM wakati ndo chuo kikuu kikubwa east and central africa.Hivi inakuja akilini kweli?
nadhani umekurupuka kuchangia hoja, umesahau methali isema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, Udom hamna kitu mkuu.
sawa UDOM hamna kitu lakin watu kibao wa UDOM tupo makazini na tunakubalika,
zaidi ya ualimu,hakuna mwenye kazi ya maana.