University of Dodoma - Photos !

Josh Michael

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,523
77
Katika hatua ya serikari ya awamu ya nne ya rais Jakaya Kikwete kuona kuwa imefanya yale ambayo jamii ya Tanzania ilitaka hata kuitikia wito wa kujenga chuo Kikubwa sana katika historia ya Taifa letu. hivyo hapa nitawapa baadhi ya picha zetu kutoka Dodoma, UDOM ambazo camera yangu ilibahatika kuchukua
 

Attachments

  • UDOM008.jpg
    UDOM008.jpg
    35.9 KB · Views: 26,867
  • UDOM016.jpg
    UDOM016.jpg
    43 KB · Views: 15,160
  • UDOM013.jpg
    UDOM013.jpg
    29.9 KB · Views: 14,974
  • UDOM012.jpg
    UDOM012.jpg
    30.5 KB · Views: 4,084
  • UDOM0010.jpg
    UDOM0010.jpg
    39.3 KB · Views: 4,255
  • UDOM007.jpg
    UDOM007.jpg
    23.3 KB · Views: 13,846
  • UDOM006.jpg
    UDOM006.jpg
    31.1 KB · Views: 3,911
  • UDOM.jpg
    UDOM.jpg
    31.2 KB · Views: 15,332
  • UDOM017.jpg
    UDOM017.jpg
    28.8 KB · Views: 4,521
  • UDOM011.jpg
    UDOM011.jpg
    39.9 KB · Views: 4,353
  • UDOM019.jpg
    UDOM019.jpg
    27.9 KB · Views: 4,000
  • UDOM020.jpg
    UDOM020.jpg
    36.8 KB · Views: 14,424
Hiki ndicho kitu pekee ambacho nitamsifu JK hadi kufa kwangu.

JK ni mtekelezaji tu, hiyo yote ni plan ya Mkapa! Mbaya zaidi hiyo ndiyo plan pekee ambayo Mkaapa aliiacha na JK ameikamilisha. Barabara zilizokuwa vipande vipande ameshindwa kuzikamilisha japo pesa zilikuwepo!
 
Kaongelee pumba zako Bagamoyo.

Utakuwa na upungufu wa akili kama utashindwa kuappreciate hilo.,Kikwete ana mapungufu yake lakini kwa hili la kuchukua initiative ya kuanzisha chuo hiki ni lazima tumpe sifa zake,tusiwe wanafiki na wachoyo wa fadhila kiasi hiki,jiulize zaidi ya Nyerere mbona hakuna rais mwingine alieanzisha chuo kikuu tena from the ground zaidi ya kikwete.,sio mwanachama wa CCM wala shabiki wa JK lakini hilo halinifanyi nishindwe kusema kuwa hiyo ni ahadi pekee ya JK iliyotimia.
 
I am impressed. Hopefully the quality of education that is delivered there is up to standard.

I also hope the students currently enrolled are aware of the investment in time, money, personnel and otherwise that has gone into establishing this place na sio waanze kuvunja vioo, kukojoa sakafuni na mambo ya kibush kama hayo manake kuna watu wengine siwaelewi, wakienda nchi za nje wanaishi kwa usafi tena na adabu ya ajabu lakini wakiwa nyumbani ni madudu tu wanafanya.

Naomba kama unaweza pia kutuwekea picha ya nembo (coat of arms) ya chuo tuone.
 
Kwa nini mwamsifu Kikwete na Mkapa?

Hizi ni pesa za Billy Gates? Kiwete mwenyewe alisema kuwa Gates Foundation wamekubali kukijenga hiki chuo na kitakuwa chuo kikubwa kupita vyote vya IT Africa.

Mpeni hongera zake mtoa pesa na siyo ......

Gates Foundation, asanteni kwa msaada wenu.
 
Those buildings look cheap. I doubt if they gonna last longer.....for the investment to meet sustainability criteria. University is something which should be built to last forever. Hayo majengo ya rangi za kichina hayafai kwa taasisi kama hiyo.
 
Utakuwa na upungufu wa akili kama utashindwa kuappreciate hilo.,Kikwete ana mapungufu yake lakini kwa hili la kuchukua initiative ya kuanzisha chuo hiki ni lazima tumpe sifa zake, tusiwe wanafiki na wachoyo wa fadhila kiasi hiki,jiulize zaidi ya Nyerere mbona hakuna rais mwingine alieanzisha chuo kikuu tena from the ground zaidi ya kikwete., sio mwanachama wa CCM wala shabiki wa JK lakini hilo halinifanyi nishindwe kusema kuwa hiyo ni ahadi pekee ya JK iliyotimia.

"Render to Caesar the things that are Caesar’s and to God the things that are God’s." Saa nyingine nyie niseme washabiki wa Kikwete mnachefua sana, JK angekuwa na uwezo kama huo wa kutimiza ahadi zake leo hii tusingekuwa katika hali ambayo taifa inalo kwa kiasi tulichofika. Just imagine ni pesa ngapi za walipa kodi zinateketea na wala hajali?

Hiki chuo kilianza kuchukua wanafunzi 1000 mwaka 2007, sasa hebu niambie JK ameingia madarakani let say Nov 2005 katika kipindi cha miezi 12 ameweza kufanikisha a mighty project.

1. Tuwekee hapa jinsi alivyoweza kufanikisha huenda mimi ndio nina makengeza kwa sababu yeye ni mchapakazi mahiri. Ukitilia maanani juhudi zake ambazo bile yeye kisingefanikiwa? (i.e. kama JK asingekuwepo hiki chuo nacho kisingekuwepo)

2. Tuwekee hapa jinsi chuo hiki kilivyojengwa nani an-finance na kwa kiasi gani? Kama bajeti yake ipo kwenye matumizi ya serikali ilipitishwa na bunge la kikao kipi? (dates please)

3. Taaluma ambazo zitakuwa zinatolewa hapo chuoni?

4. Je, ni gharama ya kiasi gani mwanafunzi analipia kwa mwaka tangu kianze?
 
Back
Top Bottom