University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Vijana wote watarajiwa wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2019/2020 karibuni sana UDSM, Nitakuwepo wiki zile mbili za Orientation, unaweza kunicheki ukitaka kupafahamu hapa vizuri!

Hongereni na Karibuni sana UDSM!

Khan!
 
Mimi nimefanya application ya masters UD 2019/2020...naomba kuunifahamishe kama matokeo yake yameshatoka

Tayari mkuu ili uyaone fungua account yako ya application utaona link imeandikwa selection results fungua hapo utaona admission letter na docs nyingine muhimu
 
samahan hivi kuna uwezekano wa kubadilisha kozi mfano kutoka B of education in administration kwenda human resources management
 
iv jaman bachelor of Physical education and sport science,msomaji anaweza akafundishwa na masomo mengine ya Darasani kama mwalimu wa kawaida mashuleni
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom