University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Hodi hodi dasilam npokeen hapo panapoitwaga ubungo stand ili nielekee chuo kikuu cha taifa hakika mungu mkubwa sasa nakuja kuiona dasilam aisee kusoma kumbe raha cjawah kusafiri nje ya mkoa Wa iringa namshukur mungu na mkopo juu nmepata.

Ahsante rais Wa wanyonge mh prof john pombe magufuli kwa kuelekeza mikopo kwa watoto Wa Wa wakulima.

Ccm hoyeeeeeeeeeeeee nitakuchagua tena magufuli babaaa
Usijitie ujinga,kumshukuru mtu mmoja,huo mkopo ni Kodi ya baba yako.
 
kwa aliesoma/anaesoma Bsc in computer science na ana desa za first year especially MT 100 and c programming.tusaidiane
 
Wakuu nmetoka Ordinary level na Pass zifuatazo
Mathematics "F"
Physics "B"
Geography "B"
Language "C"
History "B"
Je naweza kuanza Diploma moja kwa moja ? Kwamaana ctak kwenda Advance na sitaki kusoma faculty za sanaa ,nisaidien
Unaweza but math imezingua sana
 
UDSM na DARUSO wenu mmekua mazwazwa sana dogo wa expansion joint katiwa ndani nyie mnashinda instagram.... watu wa ajabu sana
 
Udsm tulitisha zamani. Ck hizi hata vilaza mnasoma hapo. Division 2, 3 unamkuta anasoma sheria Udsm. Hizo ni dharau kubwa kwa chuo hiki kikuu hapa duniani.
 
Kwa mnaofanya masters hivi wanaposema module huwa inakuwa na urefu wa wiki ngapi??? Yaani tofauti ya semester na module ni nini

TheMason
 
Udsm enzi zile ilikuwa kunji kunji kweli....sio hiki kizazi cha earphone masikion na wanyoa viduku
Sasa kama enzi zenu earphones hazikuepo mngevaa nini masikioni?

Ndio advancement yenyewe bwana alumni.
Heshima yako mkuu

Alafu sidhani kwamba fujo(kunji) ni suala la kujivunia katika ulimwengu wa wasomi wa chuo kikuu Mlimani
 
Unapoanzisha thread maalum ya UDSM unatakiwa ujue kuwa UDSM ni chuo chenye heshima zake, hivyo na kinachojadiliwa hapa lazima kibebe maudhui ya special thread ya UDSM, mijadala ya msingi ndio kitu cha msingi sio mipasho ya viduku mnadhalilisha chuo
 
Udsm Wale Ambao Hawajasaini Ada, Tazama Jina lako Hapa!
Mnakumbushwa Kusaini leo. Ukizingatia Matokeo ya Aris yanakaribia Kutoka!
 

Attachments

  • Retirement 2017-2018 II.pdf
    327.8 KB · Views: 102
  • Retirement 2017-2018 III.pdf
    501.6 KB · Views: 33
  • Retirement 2017-2018.pdf
    501.6 KB · Views: 54
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom