University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Kuna jamaa yangu amelamba ajira pale TBS juzi ,alisoma Petroleum Chemistry UDSM
 
Nawashayri Vijana kwa sasa wasome CIVIL ENGINEERING maana Milelee itakuwepoo tu
 
najuta kuchagua hili lichuo pumbaaaav shetwain likubwa ili
yaan mpaka asa hivi sijui hatma yangu ni nini shiit bora ningeconfirm udom
aaaah najuta najuta najuta tena jamani
 
najuta kuchagua hili lichuo pumbaaaav shetwain likubwa ili
yaan mpaka asa hivi sijui hatma yangu ni nini shiit bora ningeconfirm udom
aaaah najuta najuta najuta tena jamani
kwaniniii mkuu
 
sijui nimetoka wapi na hili li chuo jamani mpaka sasa sijui kama ntapata mkopo maana chuo hakikupeleka taarifa zangu heslb,hostel wameninyima ,koz ya kifala,kujisajili tu imekua ugomvi aaagh!! i swear nikipewa nyuklia naiharibu udsm yooooote
jaman jaman udom please nisameheni pamoja na kunipigia simu mara mbili bado nikawatolea njee daah nahis hii dhambi ndio inayonitafuna sasa pleeeease udom forgive me
 
kwaniniii mkuu
chuo hakikupeleka taarifa zangu tcu ili ziende bodi ya mikopo mkuu ,admission letter yangu hawakua nayo wakidai jina halipo ,bas ata admission letter mmenipa hostel mmeninyima wakati udom walinipa uhakika wa hostel hata kabla sijafika daah nakua kama mwana mpotevu jaman kosa langu lipi ,
 
Kuna Office ya Admission Hapo Administration ya chuo embu Jaribu kuongea Nao Vizuri
 
0862c7ce95ba4838a496b58214807ed4.jpg
asa jamani si bora ningeenda tu software Engineering udom
 
mkuu nilienda acha tu wanaongea vibaya wale wadada eeeeeh wanajibu kunya hatari
Wanaongea Kunya Kichizi afu wale elimu yao Ndogo Kichizii huezi amini kuna lile linene kidogoo Linaongea kwa Kujidai kichizi
 
Wanaongea Kunya Kichizi afu wale elimu yao Ndogo Kichizii huezi amini kuna lile linene kidogoo Linaongea kwa Kujidai kichizi
Yaan linaongea vibaya kinyama wakati jioni ikifika linatanuliwa miguu na wahuni kama kawa na makofi ya matako linakula
 
fafanua mkuu
chuo hakikupeleka taarifa zangu tcu ili ziende bodi ya mikopo mkuu ,admission letter yangu hawakua nayo wakidai jina halipo ,bas ata admission letter mmenipa hostel mmeninyima wakati udom walinipa uhakika wa hostel hata kabla sijafika daah nakua kama mwana mpotevu jaman kosa langu lipi ,
 
Wakuu nmetoka Ordinary level na Pass zifuatazo
Mathematics "F"
Physics "B"
Geography "B"
Language "C"
History "B"
Je naweza kuanza Diploma moja kwa moja ? Kwamaana ctak kwenda Advance na sitaki kusoma faculty za sanaa ,nisaidien
 
Natafuta watu wa coss hususani bages (BA. Geo and environmental studies)
Jamani udsm ngumu sana kujua colleagues wa course yako.. Masomo shagara bagara
 
Back
Top Bottom