jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,293
UDSM
hahahahaha karibu pia bossDaah wengine hapatufai hapa.
[HASHTAG]#Lasaba[/HASHTAG]
Post sent using JamiiForums mobile app
FoL ndo UDSoL siku hzi nimeiweka namba moja pale boss.....kwa kutambua kwamba ndio kitivo kongwe kabisaMbona umetuacha wa FOL???
Hakuna FoL siku hizi mkuu, mpaka na-sign out pale panaitwa School of LawMbona umetuacha wa FOL???
Dah kumbe UDSoL ndo before ilikuaga FoL kitivo kongwe hikoHakuna FoL siku hizi mkuu, mpaka na-sign out pale panaitwa School of Law
Nothing is easier than blaming others for your own problems
CONAS wazee wa departmental GPA, ukizubaa kidogo tu bumu la field linakuwa ndio la mwisho!
Kwa mwaka wa mwisho ndio hivyo joho utaishia kuliona kwenye Tv na picha za wenzako!
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
mzeee wa contaimination.Viva CoNAS
Enzi za Prof. Magingo(mkuu wa college), Baadae akafuatia Prof. Mushi.
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Hizo ZL naziskia tu jinsi zinavyokula watu vichwa...!
Kuna kozi kama ZL121 na ZL122(mzungu yule anazingua kinomaaa Prof. Howell)
Hizo kozi zinapoteza walimu sana aisee walimu wengi wanao disco kutoka CoNAS basi ZL zimechangia
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Du kumbe wengi wenu ni watoto wa juzi.Haya sasa tukutane hapa wote ambao tunasoma, tumewahi soma chuo kikuu cha Dar es salaam tufanye ku share uzoefu wetu tukiwa pale na baada ya kutoka pale,
UDSoL
CoET
CONAS
SOED
COSS
COHU
CoICT
SJMC
SOH
UDBS
CoAF
IDS
N.k
karibuni......sana