University of Dar es Salaaam ranked best university in East Africa

Kwenye riadha hapana wao wanapeleka 20 sisi 1 huyo moja akizingirwa na watu 20 hafui dafu, lakini tumeanza kuonyesha njia tutafika tu.
Mkuu kuna criteria inayotumika kupata mwaliko kushiriki haya mashindano, serikali ingekua serious na dira ya kufanya Tz iwe na wanariadha wenye ushindani ingeweza kujenga vituo maana hali ya hewa ya wanakofanyia mazoezi hawa majirani sio tofauti sana na Moshi/Arusha/Makete/Njombe...hapa tunahitaji kujitazam upya maana tumeng'aninia soka nako sio kivile...naamini riadha tunaweza, kwani wao wawezaji
 
Kuna taasisi nyingi zinazofanya rankings za vyuo vikuu. Na vigezo vya kila moja ni tofauti. Kwa hiyo si ajabu UDSM kuvizidi vyuo vingine vya EAC. Inategemea aliyefanya ranking na vigezo alivyoangalia.

Kwa taarifa za 2013???? Fungua hiyo video...
 
hawa wabongolala,, siku yenye watatuzidi na kitu chochote, wanaeza kunia juu ya vichwa zetu.
 
hahahahahahahha waaaaaaa hii ni noma, Erick Njoka I saw him jana kwa K24 nimeshangaa leo tena ameamkia KTN aje!!! Eish this Geza guy can make a good conman at river road.
 
Kenyatta University is coming fast, already it has passed University of Dar es salaam
True KU is moving up fast While Catholic University is doing the opposite. They need to save CUEA. MKU is also moving up pretty well.
 
Actualy UDSM ni bora kwenye masuala ya Arts ila huku kwetu kwenye Engineering sidhani kama ni Bora Kiasi Hicho Mark my Words
 
Back
Top Bottom