University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

Kama mawazo yenyewe ndiyo kama hayo;nasikitika kusema unadhalilisha chama kwa kuweka hiyo Avatar.Tumia akili ya kuzaliwa kujenga hoja hata kama shule haujaenda. Mawazo kama hayao ndiyo yaliyoifikisha CCM hapo ilipo sasa kama na ninyi mnataka kutumia mbinu hiyo hiyo kuleta mageuzi basi tutasubiri sana.
Mengi uliyo andika hapa ,sidhani km umerudia kusoma vyema haya msaada ktk kujenga wala kutetea hoja.Na yote hayashirikiani hata.Zaidi mnazidi tuu kuthibitisha jinsi UDSM hamjaaandaliwa hata kulinda fikra zenu achilia mbali taifa.Ndio maana hamuwezi soma hata mikataba .Mmepandikizwa ujinga wa ujamaa kichwani .Defense zenu za kijinga pale walio tofauti nanyi wanavyothibitisha kuwa nyie ni vilaza na wafuasi wa philosophy za kishetani ni hizi:Mnaonewa wivu,sijui wamekosa,sijui ni wajinga,sijui hawana akili.....KUKUWEKA ZAIDI SAWA...NADHANI UNAWEZA KUMBUKA MAFISADI WANAVYOJITETEA KWA STYLE YENU...ETI WANAOPIGA KELELE NI WALE WALIOKOSA MGAO.KM MNAVYOSEMA WENGINE TUMEKOSA NAFSI UDSM.Hamna hata uwezo wa kujua point of discussion.
 
P1000585.JPG
Huwa nashangaa sana inspiration gani UDSM wanapata ktk hili Jengo....hadi wakaja na wasomi wasiojitambua km tunaowaona nje ya chuo na ndani ya chuo.
 
Hapana nakupinga vikali sana,,Hakuna uhusiano wowote kati ya Udsm na Ufisadi,,Watu waliopo kwenye vitengo nyeti serikalini wamepitia Udsm...kupata elimu kama wengine walivyopita na wanaondelea kupita pale udam na vyuo vingine kupata elimu !! Masuala ya Ufisadi ni Mambo ya mtu binafsi na serikali yetu Dhaifu chini ya Ccm Mimi nimesoma Udsm 2011-2014 nimeshuhudia Harakati nyingi sana kile chuo kuanzia Maandamano na mikutano ya Wanafunzi kujadili mambo mbalimbali Maovu yanayofanywa na Serikalif. Ufisadi na wizi wa Rasilimali za nchi. Waliopita udsm nadhani mnajua nini kinaitwa REVOLUTION SQUARE; wanaharaakati wengi tu kina Sokwe,,Al shabab,,Al shabiby na wengineo pia waliopoteza hata nafasi zao Chuoni kwa sababu tu ya Kuongoza mikutano na Maandamano pale Mlimani Ufisadi unaotendeka Serikalini ni Matokeo ya Wananchi wa Tanzania kuchagua Viongozi Wabovu wasiofahamu uwajibikaji kwa Raia wao ndo maana unaona Raia ndo wanaoumia kila siku!! Nb. Siku nyingine fanya Utafiti kabla ya Kupost maada humu ndani sio kikurupuka kukandia UDSM bila mantiki Chuo cha Taifa pale.... Mkuu Pia najvunia kua Product ya Mlimani kwani nimeelimika na nitaelemika zaidi kadri ya Muda unavoenda.
Kwa akili za UDSM huwezi ona ndio USDM hamjawahi tatua tazito lolote zaidi ya KUPOTOSHA,KUDANDIA MATOKEO NA KUYATAFUTIA MAELEZO NDIO MNATUMIA RESOURCES KIBAO KUFAGILIA MACCM NA UJUMLA WAKE NDIO UNAOIWEKA CCM MADARAKANI.
 
Tatizo ni mfumo wa nchi uliojaa siasa kuliko sheria.
HAHA...Na hiyo siasa ilipikwa na inapaliliwa na kutukuzwa UDSM...kila anayepita anonyeshwa na kufanywa addict.Hope tunarudi ktk problem ili tuanze dili nayo.
 
Hata kama hoja ya mtoa mada haijakizi vigezo vya utafiti kuna ukweli upo hata baadhi ya wahadhiri walio soma udsm wanaofundisha vyuo vya private watabia ya kupenda rushwa kama unabisha acha!!
Haha...jamaa wa UDSM kwa akili zao zilizofifishwa na logic ya wapuuzi wa kijamaa wanatoka jasho hapa wakitoa sababua za kijinga sijui nani kakosa nafasi udsm,sijui udsm ni ya ngapi duniani(Dunia ipi ya wajamaa ?).Hata mafisadi logic yao ndio hiyo ETI WALIOKOSA MGAO NDIO ROHO INAWAUMA ...hawajui kuwa wanatakiwa kusema km wameiba au lah, na wanahitajika kuwajibika kabla ya kuwajibishwa.
 
Kama unaamini kuwa UDSM ni mafisadi basi hata vyuo vingine watakuwa wamefundishwa na mafisadi maana madokta, maprofesa na walimu wengi wa vyuo vikuu wamesoma UDSM.
Kuna wanazuoni wengi sana wamepitia UD na ni waadilifu hadi leo

Leo tunawasifia kila siku hapa kwa uadilifu wasomi kama Dr Mvungi(RIP) au Prof Mwesiga au Mzee Warioba wao hawakusoma UD?

Jizi hata lisome Yale kama lina hulka hiyo litakwapua tu
 
Mengi uliyo andika hapa ,sidhani km umerudia kusoma vyema haya msaada ktk kujenga wala kutetea hoja.Na yote hayashirikiani hata.Zaidi mnazidi tuu kuthibitisha jinsi UDSM hamjaaandaliwa hata kulinda fikra zenu achilia mbali taifa.Ndio maana hamuwezi soma hata mikataba .Mmepandikizwa ujinga wa ujamaa kichwani .Defense zenu za kijinga pale walio tofauti nanyi wanavyothibitisha kuwa nyie ni vilaza na wafuasi wa philosophy za kishetani ni hizi:

Mnaonewa wivu,sijui wamekosa,sijui ni wajinga,sijui hawana akili.....KUKUWEKA ZAIDI SAWA...NADHANI UNAWEZA KUMBUKA MAFISADI WANAVYOJITETEA KWA STYLE YENU...ETI WANAOPIGA KELELE NI WALE WALIOKOSA MGAO.KM MNAVYOSEMA WENGINE TUMEKOSA NAFSI UDSM.Hamna hata uwezo wa kujua point of discussion.


Kuchoka kwako kimawazo hakunisumbui ila kinachoniuma ni kutumia hiyo avatar ! Haustahili kuiweka hiyo avatar kama utambulisho wako.Nikuwadhalilisha watetezi wa haki-kweli kwenye Msafara wa Kenge mijusi hawakosi.

Ebu tusaidie wewe umesomea Chuo gani?
Hata anayekulipa kwa kazi hii ya kuponda chuo Kikuu ya Nchi-eti wahadhiri na wahitimu wachache walafi anamapungufu.
Ebu tusaidie kama wewe Mbongo kweli-CCM mbovu je Watanzania wote wabovu?
 
yani wakifanya vitu vizur, wananza kujisifia hao ndio graduates wa UDSM, mbona hamsemi hapo hakuna uhusiano. Wakifanya madudu kama ESCROW eti hakuna uhusiano kati ya UDSM na ufisadi. Humjui kama kila stage na sehemu tunazopitia zina affect maisha utakayoishi badae. Tz kuna vyuo vingi sana y always corrupt leaders coming from UDSM ?
 
Kuchoka kwako kimawazo hakunisumbui ila kinachoniuma ni kutumia hiyo avatar ! Haustahili kuiweka hiyo avatar kama utambulisho wako.Nikuwadhalilisha watetezi wa haki-kweli kwenye Msafara wa Kenge mijusi hawakosi. Ebu tusaidie wewe umesomea Chuo gani? Hata anayekulipa kwa kazi hii ya kuponda chuo Kikuu ya Nchi-eti wahadhiri na wahitimu wachache walafi anamapungufu. Ebu tusaidie kama wewe Mbongo kweli-CCM mbovu je Watanzania wote wabovu?
Bado unaleta cyclic reasoning km wapuuzi wenzui unaowatea hapa.Nikikuambua niliposoma ndio hoja inageuka kuwa kweli?Sishangai kichaa kuona wengine vichaa...angejiona kichaa angekuwa anajitambu na kuacha wehu. Hilo swali ulilojipa linaonyesha jinsi gani ulivyo mpumbavu na imaginations zako ni za kipumbavu.NI KM UNAULIZA KUWA 'CHAKULA KIKIWEKWA CHUMVI PISHI MOJA NDIO KINAKUWA CHUNVI CHOTE? nadhani unaweza ona wapi siku zote logic ya UDSM haiwezi kuondoa wewe na hii nchi ktk upumbavu sana sana mnaongeza mizigo kwa wengine.Nikusaidie tuu ..km ilivyo kwa chumvi effect zake ndizo zinaangaliwa,chumvi utaionja na kuisikia kwa kila kijiko unachochota na ikizidi chakula chote hakifai kula ingawa si chote ni chunvi.UDSM ndio wanatumika kupika hila za CCM na CCM ndio watawala na ushenzi wao ndio unaendesha nchi kwa lazima.Na huo ujinga wao,uovu wao na mwengine ndio yanayowakilisha Tanzania na watanzania nje ya nchi ,na hivyo ndio mahusiano na sura ya tanzania duniani.
 
Bado unaleta cyclic reasoning km wapuuzi wenzui unaowatea hapa.Nikikuambua niliposoma ndio hoja inageuka kuwa kweli?Sishangai kichaa kuona wengine vichaa...angejiona kichaa angekuwa anajitambu na kuacha wehu. Hilo swali ulilojipa linaonyesha jinsi gani ulivyo mpumbavu na imaginations zako ni za kipumbavu.NI KM UNAULIZA KUWA 'CHAKULA KIKIWEKWA CHUMVI PISHI MOJA NDIO KINAKUWA CHUNVI CHOTE? nadhani unaweza ona wapi siku zote logic ya UDSM haiwezi kuondoa wewe na hii nchi ktk upumbavu sana sana mnaongeza mizigo kwa wengine.Nikusaidie tuu ..km ilivyo kwa chumvi effect zake ndizo zinaangaliwa,chumvi utaionja na kuisikia kwa kila kijiko unachochota na ikizidi chakula chote hakifai kula ingawa si chote ni chunvi.UDSM ndio wanatumika kupika hila za CCM na CCM ndio watawala na ushenzi wao ndio unaendesha nchi kwa lazima.Na huo ujinga wao,uovu wao na mwengine ndio yanayowakilisha Tanzania na watanzania nje ya nchi ,na hivyo ndio mahusiano na sura ya tanzania duniani.


Hao ambao siyo wapuuzi na hawajasomo hapo UDSM kama wewe ni akina nani na wamefanya nini ?.
Issue ya chumvi haisaidi-na ni moja mfano kitoto kabisa! Usisahau binadamu ni kiumbe/mnyama na huwezi kufananisha na vitu.

Narudia nafasi uliyopata hata kuwa na uwezo wa kuandika na kusoma basi shirikisha kichwa na mwili-kwamba UDSM itakuwapo hata CDM iingie pale magogoni-kilicho muhimu ni mimi,wewe na nduguzo kujitambua na kuachana na ujinga wa kupokea Ubwabwa na kanga na kuwapa Kura hao unaowaita wa kutoka UDSM!


 
Hao ambao siyo wapuuzi na hawajasomo hapo UDSM kama wewe ni akina nani na wamefanya nini ?. Issue ya chumvi haisaidi-na ni moja mfano kitoto kabisa! Usisahau binadamu ni kiumbe/mnyama na huwezi kufananisha na vitu. Narudia nafasi uliyopata hata kuwa na uwezo wa kuandika na kusoma basi shirikisha kichwa na mwili-kwamba UDSM itakuwapo hata CDM iingie pale magogoni-kilicho muhimu ni mimi,wewe na nduguzo kujitambua na kuachana na ujinga wa kupokea Ubwabwa na kanga na kuwapa Kura hao unaowaita wa kutoka UDSM!
Nimekuambia wewe ni mwehu,na unachofanya hapa ni kuleata sababu za kuzunguka biashara ya kuku na yai..tuu.Kila unacholeta unahitaji msaada wa kufikiri.Sasa wasio ktk nafasi ya kufanya lolote,na waliopo ktk sehemu za kuwajibika ni wapuuzi tunaowasema ambao wanatumia kila rasilimali iliyopo ili kuhakikisha mwenye akili timamu asifike malai pa kufanya kitu sahihi.Mojawapo ni wewe hapa ujinga owte unaandika hapa hujapata akili ya kuangalia jinsi ya kutatua tatizo.Kwa vile una akili pungufu ya kudhani kukubali kuwa UDSM sasa hivi ni hasara ktk hii nchi kimaadili,kitaaluma na hata ktk usalama wa nchi na Africa nzima.Ukiangalia kwa makini ni dunia nzima usalama unatobolewa na UDSM.Siasa wa Palestina,Iran na mataifa mengine ya kifisadi,kigaidi na migogoro sisi ndio tumewekeza kuvuruga njia sahihi.WEWE MPUUZI SIJASEMA KYK HAITOKUWEPO NA HILO HALIWEZ KUWA SULUHISHO KM AKILI INAVYOFIKIRI YALE MAJENGO NI MALI YA NCHI NA HAYAWEZI TUPYA,ILA FIKRA ZINAZOZUNGUKA PALE NI HASARA.HAPO PATABADILISHWA NA KUWA CHUO CHENYE FAIDA.WEWE UNAONGOZWA NA TUMBO NA KUJIAMINI KIJINGA NDIO UNAONA TISHIO KUWA KITAFUNGWA UKOSE UGALI.
 
Nimekuambia wewe ni mwehu,na unachofanya hapa ni kuleata sababu za kuzunguka biashara ya kuku na yai..tuu.Kila unacholeta unahitaji msaada wa kufikiri.

Huku ulikofikia sisi wengine tulikwisha achana nako!


Sasa wasio ktk nafasi ya kufanya lolote,na waliopo ktk sehemu za kuwajibika ni wapuuzi tunaowasema ambao wanatumia kila rasilimali iliyopo ili kuhakikisha mwenye akili timamu asifike malai pa kufanya kitu sahihi.
Mojawapo ni wewe hapa ujinga owte unaandika hapa hujapata akili ya kuangalia jinsi ya kutatua tatizo.

Una matatizo au ugonjwa wa kusahau?

quote_icon.png
By Mp Kalix2

Hao ambao siyo wapuuzi na hawajasomo hapo UDSM kama wewe ni akina nani na wamefanya nini ?. Issue ya chumvi haisaidi-na ni moja mfano kitoto kabisa! Usisahau binadamu ni kiumbe/mnyama na huwezi kufananisha na vitu. Narudia nafasi uliyopata hata kuwa na uwezo wa kuandika na kusoma basi shirikisha kichwa na mwili-kwamba UDSM itakuwapo hata CDM iingie pale magogoni-kilicho muhimu ni mimi,wewe na nduguzo kujitambua na kuachana na ujinga wa kupokea Ubwabwa na kanga na kuwapa Kura hao unaowaita wa kutoka UDSM!

Narudia tatizo siyo Chuo,wala wahadhiri ,tatizo ni wewe na watanzania wengine wasiojitambua.

vile una akili pungufu ya kudhani kukubali kuwa UDSM sasa hivi ni hasara ktk hii nchi kimaadili,kitaaluma na hata ktk usalama wa nchi na Africa nzima.Ukiangalia kwa makini ni dunia nzima usalama unatobolewa na UDSM.


Maswali machache pengine tutaelewana je watanzania wanalazimishwa kusoma UDSM?
Je ukiwa UDSM kinachofundishwa ni Ufisadi au?
Je kwani lazima kuwa fisadi hata kama Elimu inayofundishwa ni uwizi na Ufisadi?
Je watanzania wangapi wamesomea pale UDSM na wako Serikalini na si Mafisadi?
Uko nyuma sana bandugu jitathimini utawapoteza wanakondoo wa mageuzi! Na hawa ni pamoja na waliopitia hapo UDSM.



Siasa wa Palestina,Iran na mataifa mengine ya kifisadi,kigaidi na migogoro sisi ndio tumewekeza kuvuruga njia sahihi.WEWE MPUUZI SIJASEMA KYK HAITOKUWEPO NA HILO HALIWEZ KUWA SULUHISHO KM AKILI INAVYOFIKIRI YALE MAJENGO NI MALI YA NCHI NA HAYAWEZI TUPYA,ILA FIKRA ZINAZOZUNGUKA PALE NI HASARA.HAPO PATABADILISHWA NA KUWA CHUO CHENYE FAIDA.WEWE UNAONGOZWA NA TUMBO NA KUJIAMINI KIJINGA NDIO UNAONA TISHIO KUWA KITAFUNGWA UKOSE UGALI.

Kama unashirikisha akili kwa kiwango hiki na wasiwasi wewe utakuwa muathirika kisaikolojia katika mizani ya kisiasa! Badala ya siasa kukukomboa inakuboa.
 
Huku ulikofikia sisi wengine tulikwisha achana nako! Una matatizo au ugonjwa wa kusahau? Narudia tatizo siyo Chuo,wala wahadhiri ,tatizo ni wewe na watanzania wengine wasiojitambua. Maswali machache pengine tutaelewana je watanzania wanalazimishwa kusoma UDSM? Je ukiwa UDSM kinachofundishwa ni Ufisadi au? Je kwani lazima kuwa fisadi hata kama Elimu inayofundishwa ni uwizi na Ufisadi? Je watanzania wangapi wamesomea pale UDSM na wako Serikalini na si Mafisadi? Uko nyuma sana bandugu jitathimini utawapoteza wanakondoo wa mageuzi! Na hawa ni pamoja na waliopitia hapo UDSM. Kama unashirikisha akili kwa kiwango hiki na wasiwasi wewe utakuwa muathirika kisaikolojia katika mizani ya kisiasa! Badala ya siasa kukukomboa inakuboa.
wewe choo kweli ulipopotoka ukaelekea wapi?Mbona km ulitoka ktk kuwa na akili ukaelekea ktk upumbavu baada ya kupita UDSM kunahibitisha zaidi ya kukuondoa ktk hili.Nimekuambia unaleta fikra mzunguko tuu hapa km habari za KUKU NA YAI hatuwezi ondoka km tunaendelea kusikiliza.Ndio maana nakuambia ni pumbavu tuu wewe.Tatizo watanzania hawajitambui na si UDSM ndio nini sasa unaongea?Kwanini UDSM isiwatumbushe?Km umesahau kazi yao nini nini na wanafanya nini sasa hivi na tafiri za kupika,propaganda na upuuzi mwingine.Wewe watanzania wasipojitambua inahusiana vipi na UDSM kuwa laana?Wao ndio wanaowaelimisha wahadhiri? maswali yako ni ya wendawazimu sana..km ndivyo mnavyojenga research questions kwanini msishindwe solve bigger problems.Si ndicho Chuo Mengi aliwakumbusha kuwa UDSM sio SOKOINE hadi wafuge Ng`ombe ndani.Wasomi hawana intellectual property ya kuuza wanaishia kuwa mafisadi na wezi,kupe wana faida gani.hembu niambie kuna patents ngapi zimekuwa developed pale UDSM?
 
Wadau tujadili mada na sio personality
nawasilisha

mod naomba usiihamishe hii thread wala kuifuta kama ulivyoacha ile ya udom
 
Mi naona ni visa tu apa mbona wengi waliosoma ud ni organic interlecho kama akina samwel sitta ;mwakyembe; zitto kabwe kwaninimsisifie awo kwanza ufisadi ni mtu binafsi sana na ukizingatia wote wamesoma elimu ya ujamaa na kujitegemea kama kuna mafisadi wamejifunza huko kwingine
 
Wadau tujadili mada na sio personality
nawasilisha

mod naomba usiihamishe hii thread wala kuifuta kama ulivyoacha ile ya udom

Naona unajibu ile kuidharau UDOM. Kwa kasi UDOM inayoenda nayo, baada ya miaka 5 ijayo mtatuzalishia vitu vya ajabu sana kulinganisha na UDSM ambayo ipo kwa 50+ now. UDOM pana ujinga mwingi sana.
 
P1000585.JPG



Chuo hiki kumekuwa na kazi moja tuu. Kina CONVEYOR BELT ya ku produce watu wasio na huruma wala uzalendo na nchi hii.

Angalieni list ya Mafisadi, kuanzia watuhumiwa mpaka ambao wanaendelea na wizi leo wote wame graduate UD au walifanya first degree pale Mlimani. Naona kabla hawajaenda Utumishi au hawajapewa kazi utumishi wa Umma bas naamini kuwa wana crush course ya wizi na uhujumu uchumi.

Najua wana UD watakuja kukitetea chuo chao lakinii enough is enough. Ukiwatazama kuanzia walioko kwenye media, military, civiservice, usalama, judiciary, private sector mpaka political life (nazungumia mpaka walioko kwenye vyama vya upinzani) karibuni wote ni watu wasio na huruma hata kidogo na nchi hii.

Hivi wao kijikwaza kwa kwa kusema HEKIMA NI UHURU naona wao wanafanya kinyume kabisa

Mbaya zaidi wana kiji OLD BOY NETWORK chao hivyo hata wakipelekana mahakamani nothing huoni wakifungana.

Siwezi kutaja majina kwa haraka haraka lakini niko tayari ku edit hii thread kama tukianza kupata majina

Idarau AVARD UNIVERSITY ya vijisenti.
 
wanaofanya chuo kionekanae dam dam na mafisadi ni kina mkandala na bensona bana!!! haukna mprofesa wehu kama hawa chuo iki iliowai kuwapata toka kianzishwe kama ma profesa wazima wanakuja na utafiti wa kupima umaaruf wa rais kikwete unategemea nn??? hawana muhim la kitaaluma kufanyia utafiti??
 
Wengine wana wivu kwasababu miaka Ya 2000 kurudi nyuma UDSM was the only university katika nchi hii kutoa elimu Ya chuo kikuu na ilikuwa kazi kubwa kupata chuo.

Sasa wengine mulishindwa kupata nafasi pale Na sasa mnamimina shutuma kwa UDSM kwasababu Ya wivu wa kukosa nafasi.
 
Back
Top Bottom