Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda
nawasilisha
nawasilisha